Pamoja na uwezo wa ugomvi wa Mashabiki ambao ulitokea kwenye mchezo wa jana kati ya Mamelodi Sundowns dhidi ya Esperence kwenye mchezo wa klabu bingwa barani Afrika (CAF Champions League) lakini hiki kitendo kimesisimua zaidi Mashabiki wengi.
Picha hii inaeleza sababu milioni ya upendo ambao unatakiwa pindi Mashabiki wawapo Uwanjani. Mpira wa miguu unatufanya kuwa ndugu hii ndio maana unaitwa Football kwa kiingereza.

Pamoja na uwezo wa ugomvi wa Mashabiki ambao ulitokea kwenye mchezo wa jana kati ya Mamelodi Sundowns 🇿🇦dhidi ya Esperence 🇹🇳 kwenye mchezo wa klabu bingwa barani Afrika (CAF Champions League) lakini hiki kitendo kimesisimua zaidi Mashabiki wengi.
Picha hii inaeleza sababu milioni ya upendo ambao unatakiwa pindi Mashabiki wawapo Uwanjani. Mpira wa miguu unatufanya kuwa ndugu hii ndio maana unaitwa Football kwa kiingereza.
0 Σχόλια
·0 Μοιράστηκε
·44 Views