"Goli mbili ni nyingi kwenye soka la Africa,tena kwa bahati mbaya ni 2-0,hivyo kwenye mechi ya pili Simba wanatakiwa kufunga goli tatu huku wakipambana kutoruhusu goli lolote….huu ni mlima mkubwa sana.

Kuna mtu atakwambia Simba wamecheza vizuri,walikuwa na on target 7 na total shots 18 ila mwisho wa Siku hakuna goli.

Narudia tena mechi za mtoano watu hawaangalii umiliki wa mpira bali matokeo ya mwisho,ndio maana ushangai kuona Al ahly anapaki Bus kwenye mechi za ugenini.

Ni kweli Simba walikuwa na umiliki mkubwa ila nyuma hawakuwa na nidhamu,Al Masry walikuwa tishio kwenye counter na hata goli la pili limetokana na counter.

Haya ni makosa ya miaka yote ya Simba kutaka umiliki mkubwa kuliko matokeo ya kupita.

Nilitarajia Simba kupaki bus na kupiga counter ila imekuwa tofauti na goli mbili wamefungwa baada ya kuingia kwenye mtego wa Masry

Simba wametengeneza mlima mkubwa sana" - Hans Rafael, Mchambuzi.

"Goli mbili ni nyingi kwenye soka la Africa,tena kwa bahati mbaya ni 2-0,hivyo kwenye mechi ya pili Simba wanatakiwa kufunga goli tatu huku wakipambana kutoruhusu goli lolote….huu ni mlima mkubwa sana. Kuna mtu atakwambia Simba wamecheza vizuri,walikuwa na on target 7 na total shots 18 ila mwisho wa Siku hakuna goli. Narudia tena mechi za mtoano watu hawaangalii umiliki wa mpira bali matokeo ya mwisho,ndio maana ushangai kuona Al ahly anapaki Bus kwenye mechi za ugenini. Ni kweli Simba walikuwa na umiliki mkubwa ila nyuma hawakuwa na nidhamu,Al Masry walikuwa tishio kwenye counter na hata goli la pili limetokana na counter. Haya ni makosa ya miaka yote ya Simba kutaka umiliki mkubwa kuliko matokeo ya kupita. Nilitarajia Simba kupaki bus na kupiga counter ila imekuwa tofauti na goli mbili wamefungwa baada ya kuingia kwenye mtego wa Masry🥲 Simba wametengeneza mlima mkubwa sana" - Hans Rafael, Mchambuzi.
Like
2
· 0 Commenti ·0 condivisioni ·74 Views