Panya wa kutoka Nchini Tanzania mwenye jina la Ronin ambaye ni maalum kwa kunusa, amefanikiwa kunusa mabomu 109 yaliyotegwa ardhini Nchini Cambodia na kuvunja Rekodi ya Dunia ya Guinness kwa mabomu mengi ya ardhini yaliyogunduliwa na Panya Duniani.

Panya huyo mwenye umri wa miaka mitano (5) amepata vipande 15 vya ziada vya silaha ambazo hazijalipuka tangu kutumwa Nchini Cambodia na Shirila la APOPO, linalofundisha Panya na Mbwa kugundua mabomu ya ardhini na kifua kikuu.

Ronin alivunja rekodi ya hapo awali, ya Magawa, ambaye aligundua mabomu 71 ya ardhini na vipande vya silaha ambazo hazijalipuka 38 wakati wa kazi yake ya miaka mitano, na alikufa baada ya kustaafu Januari 2022.

Panya wa kutoka Nchini Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ mwenye jina la Ronin ambaye ni maalum kwa kunusa, amefanikiwa kunusa mabomu 109 yaliyotegwa ardhini Nchini Cambodia ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ญ na kuvunja Rekodi ya Dunia ya Guinness kwa mabomu mengi ya ardhini yaliyogunduliwa na Panya Duniani. Panya huyo mwenye umri wa miaka mitano (5) amepata vipande 15 vya ziada vya silaha ambazo hazijalipuka tangu kutumwa Nchini Cambodia na Shirila la APOPO, linalofundisha Panya na Mbwa kugundua mabomu ya ardhini na kifua kikuu. Ronin alivunja rekodi ya hapo awali, ya Magawa, ambaye aligundua mabomu 71 ya ardhini na vipande vya silaha ambazo hazijalipuka 38 wakati wa kazi yake ya miaka mitano, na alikufa baada ya kustaafu Januari 2022.
0 Comments ยท0 Shares ยท234 Views