kwa mujibu wa Jarida la Forbes, hii hapa orodha ya Jamii ya Watu Weusi wenye utajiri mkubwa Duniani kwa Mwaka 2025 ambapo wanakadariwa kumiliki utajiri wa dola bilioni 96.2. Wengi wao utajiri wao unatokana sekta za teknolojia, fedha, nishati na burudani, huku Mfanyabiashara Aliko Dangote wa Nigeria akiongoza kwa kuwa na utajiri wa dola bilioni 23.9.
1. Aliko Dangote (Nigeria) : $23.9B (Saruji, sukari)
2. David Steward (Marekani) : $11.4B (Teknolojia)
3. Robert F. Smith (Marekani) : $10.8B (Uwekezaji binafsi)
4. Alexander Karp (Marekani) : $8.4B (Programu za uchambuzi wa data)
5. Mike Adenuga (Nigeria) : $6.8B (Mawasiliano, mafuta)
6. Abdulsamad Rabiu (Nigeria) : $5.1B (Saruji, sukari)
7. Michael Jordan (Marekani) : $3.5B (Michezo, matangazo)
8. Patrice Motsepe (Afrika Kusini) : $3B (Madini)
9. Oprah Winfrey (Marekani) : $3B (Runinga)
10. Jay-Z (Marekani) : $2.5B (Muziki, biashara)
11. Adebayo Ogunlesi (Marekani) :$2.2B (Uwekezaji binafsi)
12. Magic Johnson (Marekani) : $1.5B (Michezo, uwekezaji)
13. Femi Otedola (Nigeria) : $1.5B (Nishati)
14. Tope Awotona (Marekani) : $1.4B (Programu "Calendly")
15. Tyler Perry (Marekani) : $1.4B (Filamu, Runinga)
16. Tiger Woods (Marekani) : $1.4B (Gofu)
17. Rihanna (Barbados) : $1.4B (Muziki, urembo)
18. Mo Ibrahim (Uingereza) : $1.3B (Mawasiliano)
19. LeBron James (Marekani) : $1.3B (Kikapu)
20. Strive Masiyiwa (Zimbabwe) : $1.2B (Mawasiliano)
21. Michael Lee-Chin (Canada) : $1.1B (Uwekezaji wa fedha)
22. Herriot Tabuteau (Marekani) : $1.1B (Afya)
23. Sheila Johnson (Marekani) : $1B (Runinga, hoteli)

kwa mujibu wa Jarida la Forbes, hii hapa orodha ya Jamii ya Watu Weusi wenye utajiri mkubwa Duniani kwa Mwaka 2025 ambapo wanakadariwa kumiliki utajiri wa dola bilioni 96.2. Wengi wao utajiri wao unatokana sekta za teknolojia, fedha, nishati na burudani, huku Mfanyabiashara Aliko Dangote wa Nigeria 🇳🇬 akiongoza kwa kuwa na utajiri wa dola bilioni 23.9.
1. Aliko Dangote (Nigeria) : $23.9B (Saruji, sukari)
2. David Steward (Marekani) : $11.4B (Teknolojia)
3. Robert F. Smith (Marekani) : $10.8B (Uwekezaji binafsi)
4. Alexander Karp (Marekani) : $8.4B (Programu za uchambuzi wa data)
5. Mike Adenuga (Nigeria) : $6.8B (Mawasiliano, mafuta)
6. Abdulsamad Rabiu (Nigeria) : $5.1B (Saruji, sukari)
7. Michael Jordan (Marekani) : $3.5B (Michezo, matangazo)
8. Patrice Motsepe (Afrika Kusini) : $3B (Madini)
9. Oprah Winfrey (Marekani) : $3B (Runinga)
10. Jay-Z (Marekani) : $2.5B (Muziki, biashara)
11. Adebayo Ogunlesi (Marekani) :$2.2B (Uwekezaji binafsi)
12. Magic Johnson (Marekani) : $1.5B (Michezo, uwekezaji)
13. Femi Otedola (Nigeria) : $1.5B (Nishati)
14. Tope Awotona (Marekani) : $1.4B (Programu "Calendly")
15. Tyler Perry (Marekani) : $1.4B (Filamu, Runinga)
16. Tiger Woods (Marekani) : $1.4B (Gofu)
17. Rihanna (Barbados) : $1.4B (Muziki, urembo)
18. Mo Ibrahim (Uingereza) : $1.3B (Mawasiliano)
19. LeBron James (Marekani) : $1.3B (Kikapu)
20. Strive Masiyiwa (Zimbabwe) : $1.2B (Mawasiliano)
21. Michael Lee-Chin (Canada) : $1.1B (Uwekezaji wa fedha)
22. Herriot Tabuteau (Marekani) : $1.1B (Afya)
23. Sheila Johnson (Marekani) : $1B (Runinga, hoteli)
0 Σχόλια
·0 Μοιράστηκε
·103 Views