Klabu ya Al Masri ya Misri imesasisha picha hiyo kwenye ukurasa wao wa Instagram na kusema kuwa wamefutahia kukutana na Mashabiki wa klabu ya Yanga SC.

Ukiangalia chapisho hili la klabu ya Al Masry, utagudua kuwa klabu hiyo wanafuatilia mpira wa Tanzania na wanajua mpinzani wa klabu ya Simba SC ni Yanga SC. Pia wanajua kua Mashabiki wa Yanga watakua Uwanjani kuwashangilia.

Klabu ya Al Masri ya Misri ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ imesasisha picha hiyo kwenye ukurasa wao wa Instagram na kusema kuwa wamefutahia kukutana na Mashabiki wa klabu ya Yanga SC. Ukiangalia chapisho hili la klabu ya Al Masry, utagudua kuwa klabu hiyo wanafuatilia mpira wa Tanzania na wanajua mpinzani wa klabu ya Simba SC ni Yanga SC. Pia wanajua kua Mashabiki wa Yanga watakua Uwanjani kuwashangilia.
0 Comments ยท0 Shares ยท31 Views