Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa amekubali kujiweka pembeni kwenye kusimamia Uwanja baada ya ombi la Wazee wa klabu ya Simba SC kumtaka kufanya hivyo mpaka mwisho wa mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika (CAF Confederation Cup) Kati ya Simba SC dhidi ya All Masry ya Misri utakaochezwa keshokutwa April 9, 2025

Wazee wa klabu ya Simba SC walienda kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa asubuhi wakimtaka Meneja wa Uwanja huo kuondoka mara moja kwa sababu hawana imani naye wakihofia kuwa anaweza kuwahujumu kwenye mchezo wao dhidi ya klabu ya Al Masry. Wazee hao wanadai kuwa hata mchezo wao dhidi ya klabu ya Yanga SC ulioahirishwa chanzo ilikuwa yeye Meneja

Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa amekubali kujiweka pembeni kwenye kusimamia Uwanja baada ya ombi la Wazee wa klabu ya Simba SC kumtaka kufanya hivyo mpaka mwisho wa mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika (CAF Confederation Cup) Kati ya Simba SC dhidi ya All Masry ya Misri 🇪🇬 utakaochezwa keshokutwa April 9, 2025 Wazee wa klabu ya Simba SC walienda kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa asubuhi wakimtaka Meneja wa Uwanja huo kuondoka mara moja kwa sababu hawana imani naye wakihofia kuwa anaweza kuwahujumu kwenye mchezo wao dhidi ya klabu ya Al Masry. Wazee hao wanadai kuwa hata mchezo wao dhidi ya klabu ya Yanga SC ulioahirishwa chanzo ilikuwa yeye Meneja
0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·18 Views