Yanga walianza mchezo vizuri sana kwa kufanya kila kitu kwa usahihi pale wanapokuwa na mpira na wasipokuwa na mpira . Kivipi ?
1: Wakati wanaanza build up wanakuwa na muundo mzuri wa 2-3-4-1 unawapa walinzi wao machaguo ya kupasia mipira (Job na Bakari wanakuwa nyuma then FBs wanakuwa mstari moja na Aucho , hapo Yanga wanapata msingi sahihi ya kufika kwenye eneo la mwisho kwa kupitia katikati na pembeni ya uwanja , rahisi kuishinda pressing ya Coastal ambayo hawakuwa na idadi nzuri ya wachezaji wakati wanaweka presha .
2: Kwasababu Coastal Union hawakuweka presha vizuri kwenye mpira na positioning ya wachezaji wa Yanga ilikuwa nzuri , hapo ikawa rahisi kwa Yanga kufika eneo la mwisho baada ya hapo ni Yanga kuwa wafanisi mbele ya goli (unatumiaje nafasi kuimaliza game) .
Maxi na Pacome waliuliza maswali magumu kwa walinzi wa Coastal walibadilishana nafasi kutokana na wapi mpira ulipo , nafasi zilikuwepo hasa kwenye zile “Half Spaces” na ndio maana pamoja na Coastal kuzuia wakiwa chini mda mwingi lakini Yanga waliwafungua kirahisi kwasababu wachezaji wao walikuwa mara nyingi wanachelewa kufika kwenye eneo la tukio .
Nafikiri Coastal walijua kabisa hawawezi kupishana na Yanga kutokana na ubora wa mpinzani wake , wakaamua kuchagua vita yao ya kuzuia wakiwa chini na kuweka mtego wa kushambulia kwa kushtukiza . Lakini kuna nyakati wakivuka kwenye mstari wa kati wanachotegemea ni ubora wa mchezaji mmoja mmoja kufanya jambo kubwa .
NOTE :
1: Golikipa wa Coastal “FALESI” kafanya saves nyingi nzuri (kupunguza idadi ya magoli)
2: Maxi na Pacome wamecheza game nzuri sana (Rotation ya nafasi , positioning zao zilikuwa sahihi )
3: Lawi kacheza vizuri sana kwenye kiungo nimependa Energy ya Maabad
4: Pacome goli la 8 kwenye NBCPL ( anakupa magoli na kufanya vitu vingine vitokee uwanjani kwa dribbling na Positioning yake )
FT: Yanga 1-0 Coastal Union .
(Kelvin Rabson).

✍️ Maxi na Pacome waliuliza maswali magumu kwa walinzi wa Coastal walibadilishana nafasi kutokana na wapi mpira ulipo , nafasi zilikuwepo hasa kwenye zile “Half Spaces” na ndio maana pamoja na Coastal kuzuia wakiwa chini mda mwingi lakini Yanga waliwafungua kirahisi kwasababu wachezaji wao walikuwa mara nyingi wanachelewa kufika kwenye eneo la tukio .
✍️ Nafikiri Coastal walijua kabisa hawawezi kupishana na Yanga kutokana na ubora wa mpinzani wake , wakaamua kuchagua vita yao ya kuzuia wakiwa chini na kuweka mtego wa kushambulia kwa kushtukiza . Lakini kuna nyakati wakivuka kwenye mstari wa kati wanachotegemea ni ubora wa mchezaji mmoja mmoja kufanya jambo kubwa .
NOTE :
1: Golikipa wa Coastal “FALESI” kafanya saves nyingi nzuri (kupunguza idadi ya magoli)
2: Maxi na Pacome wamecheza game nzuri sana (Rotation ya nafasi , positioning zao zilikuwa sahihi 🔥)
3: Lawi kacheza vizuri sana kwenye kiungo 👏 nimependa Energy ya Maabad ✅
4: Pacome goli la 8 kwenye NBCPL ( anakupa magoli na kufanya vitu vingine vitokee uwanjani kwa dribbling na Positioning yake )
FT: Yanga 1-0 Coastal Union .
(Kelvin Rabson).
0 Reacties
·0 aandelen
·58 Views