Tunaambiwa Uwanja wa klabu ya Real Madrid (𝗦𝗮𝗻𝘁𝗶𝗮𝗴𝗼 𝗕𝗲𝗿𝗻𝗮𝗯𝗲́𝘂) unaandaliwa vyema kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya klabu ya Arsenal FC ambao iliitwanga Real Madrid mabao matatu kwa sifuri (0-3).

Klabu ya Real Madrid inatakiwa kufunga angalau mabao matatu ili kufufua matumaini ya kufuzu hatua ya nusu fainali ya klabu bingwa barani Ulaya (UEFA Champions League) ilihali klabu ya Arsenal FC ina rekodi ya kutokufungwa mabao matatu katika mchezo mmoja tangu Desemba 2023 yaani mechi 83 zimepita kwa klabu ya Arsenal FC bila kuruhusu mabao matatu.

Tunaambiwa Uwanja wa klabu ya Real Madrid (𝗦𝗮𝗻𝘁𝗶𝗮𝗴𝗼 𝗕𝗲𝗿𝗻𝗮𝗯𝗲́𝘂) unaandaliwa vyema kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya klabu ya Arsenal FC ambao iliitwanga Real Madrid mabao matatu kwa sifuri (0-3). Klabu ya Real Madrid inatakiwa kufunga angalau mabao matatu ili kufufua matumaini ya kufuzu hatua ya nusu fainali ya klabu bingwa barani Ulaya (UEFA Champions League) ilihali klabu ya Arsenal FC ina rekodi ya kutokufungwa mabao matatu katika mchezo mmoja tangu Desemba 2023 yaani mechi 83 zimepita kwa klabu ya Arsenal FC bila kuruhusu mabao matatu.
Like
1
· 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·345 Views