Muigizaji wa filamu kutoka Nchini Korea Kusini , O Yeong Su, ambaye alitamba kwenye Tamthilia ya "Spuid Game" katika uigizaji wake kama "Player namba 001", amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja Jela kwa kosa la unyanyasaji wa kingono katika tukio analilolifanya mwaka 2017.
Muigizaji huyo mwenye umri wa miaka 80 kwa sasa, alipatikana na hatia ya kumnyanyasa kingono Mwanamke mdogo wa kikundi chake cha maigizo kwa kumlazimisha kwa nguvu kufanya nae mapenzi huku akimbusu bila ridhaa yake karibu na Nyumba yake.
Hata hivyo, O Yeong Su amekanusha mashtaka hayo na kusema kuwa hana hatia. Amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela baada ya waendesha mashtaka Tawi la Seongnam la Mahakama ya Wilaya ya Suwon kudai kwamba alitumia vibaya mamlaka yake kama Mwigizaji Mkuu anayeheshimika dhidi ya Mwenzake.
Mwigizaji huyo bado ameendelea kukanusha mashtaka hayo na amekata rufaa tena huku rufani yake ikitarajiwa kusikilizwa kwa mara ya mwisho Juni 3, 2025.
Toa maoni yako

Muigizaji wa filamu kutoka Nchini Korea Kusini ๐ฐ๐ท, O Yeong Su, ambaye alitamba kwenye Tamthilia ya "Spuid Game" katika uigizaji wake kama "Player namba 001", amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja Jela kwa kosa la unyanyasaji wa kingono katika tukio analilolifanya mwaka 2017.