Mkulima mmoja mwenye umri wa miaka 55 kutoka Mkoa wa Shandong Nchini China , ambaye ana ulemavu wa akili, alitumia miaka kadhaa kujenga Nyumba ya Ghorofa saba (7) kwa mkono. Alijenga Jengo hilo akiwa na matumaini kwamba Ndugu zake wawili (2) wangekuja na kuishi naye, licha ya kuambiwa mara nyingi na Wanakijiji kuwa kaka zake hao walikuwa wamefariki Dunia muda mrefu uliopita.

Aidha, Jengo hilo lililojengwa kwa mawe, mbao, na udongo, linasimama kama ishara yenye nguvu ya kujitolea na upendo wake kwa familia yake. Hata hivyo, Serikali ya eneo hilo iliingilia kati kwa kumsaidia kumjengea Nyumbani nyingine ambayo ilijengwa na kijiji hicho kwa ajili ya ustawi wake kisha kumhamisha katika Nyumba hiyo mpya.

Toa maoni yako
Mkulima mmoja mwenye umri wa miaka 55 kutoka Mkoa wa Shandong Nchini China 🇨🇳, ambaye ana ulemavu wa akili, alitumia miaka kadhaa kujenga Nyumba ya Ghorofa saba (7) kwa mkono. Alijenga Jengo hilo akiwa na matumaini kwamba Ndugu zake wawili (2) wangekuja na kuishi naye, licha ya kuambiwa mara nyingi na Wanakijiji kuwa kaka zake hao walikuwa wamefariki Dunia muda mrefu uliopita. Aidha, Jengo hilo lililojengwa kwa mawe, mbao, na udongo, linasimama kama ishara yenye nguvu ya kujitolea na upendo wake kwa familia yake. Hata hivyo, Serikali ya eneo hilo iliingilia kati kwa kumsaidia kumjengea Nyumbani nyingine ambayo ilijengwa na kijiji hicho kwa ajili ya ustawi wake kisha kumhamisha katika Nyumba hiyo mpya. Toa maoni yako
Like
1
· 0 Commenti ·0 condivisioni ·151 Views