Ugomvi umeisha na Feisal Salum anakaribia kurudi kwenye klabu yake ya zamani ya Yanga SC ambapo tunaelezwa kila kitu kinakaribia kukamilika kwa pande zote mbili kwa Mchezaji mwenyewe na klabu ya Azam FC.

Mwanzoni, klabu ya Simba SC ilikuwa imeingiza mguu lakini klabu ya Yanga SC iliongeza dau hadi kufikia takribani Shilingi milioni 800 na kuahidi kumjengea Nyumba licha ya Mama yake Feisal Salum kuonyesha kuwa hapendi Mwanae arudi Yanga SC kutokana na kile kilichotokea siku za nyuma.

MB: Ni tetesi.

Toa maoni yako
Ugomvi umeisha na Feisal Salum anakaribia kurudi kwenye klabu yake ya zamani ya Yanga SC ambapo tunaelezwa kila kitu kinakaribia kukamilika kwa pande zote mbili kwa Mchezaji mwenyewe na klabu ya Azam FC. Mwanzoni, klabu ya Simba SC ilikuwa imeingiza mguu lakini klabu ya Yanga SC iliongeza dau hadi kufikia takribani Shilingi milioni 800 na kuahidi kumjengea Nyumba licha ya Mama yake Feisal Salum kuonyesha kuwa hapendi Mwanae arudi Yanga SC kutokana na kile kilichotokea siku za nyuma. MB: Ni tetesi. Toa maoni yako
Like
1
· 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·225 Views