Privaldinho akijibu hoja pichani.

"Biashara ya usemaji sio kama biashara ya matikitiki.

Media ni kiungo muhimu sana kinachounganisha Idara ya Masoko na wanachama na mashibiki
Idara ya Masoko na Wadau
Idara ya masoko na jamii

Usemaji ni zaidi ya tambo za mitandaoni mnazoona.

Tumefanya activations nyingi sana ambazo msimamizi mkuu ni Ally Kamwe akishirikiana na @i_sammjr

Ally Kamwe alianzisha match day treatment and agenda, Mfano Aziz Ki Day. Baadae wadau wakaweka fedha kwenye mechi za Bacca Day, Muda Day, Max Day na Pacome Day tulipaka bleech

Tulipata wadau kama vile, ZIC, ZIPA PZB na CRDB. CRDB walisupport safari yetu ya kwenda Afrika Kusini Twenzetu kwa madiba ambapo Ally Kamwe aliongoza kampeni hiyo kupitia Azam TV.

Ally Kamwe akaanzisha kampeni ya kupeleka mashabiki Rwanda na DR Congo ambazo zote ni ilikuwa media agenda, na klabu ilikusanya zaidi ya 100m.

Tulipata dili za Visit Zanzibar ni moja ya dili kubwa sana ambapo klabu imeingiza zaidi ya milion 500. Dili hili limekuja kutokana na hamasa kubwa ya media ambayo imeongozwa na Ally Kamwe

Supu Day ilidhaminiwa na Sportpesa na GSM klabu iliingiza zaidi ya milion 30. Kitabu, Documentary kote huku tumeingiza mamilion ya fedha.

Tulikuwa na Public viewing hapa Jangwan tukiwa na GSM, Haier ambapo klabu iliingiza fedha kupitia hilo na yote hayo ilikuwa media agenda.

Ukiachana na Hamasa ya media, kupitia idara ya media fedha nyingi zimeingia moja kwa moja chini ya usimamizi wa Msemaji wetu.

Yanga SC inaingiza mamilion ya fedha kila mwezi kupitia Yanga APP ambapo hivi karibu tumekusanya zaidi ya milion 300 kupitia APP

Yanga ndio klabu namba moja kwa views zaidi kupitia ukurasa wa Youtube barani AFRIKA ikiwa na views 221m. Huku YouTube kila mwezi Yanga inaingiza mamilion ya fedha.

Media ya Yanga ndio imepush agenda kubwa ya usajili wa wanachama kwa klabu ambapo kwa mwaka tumekuwa na wastani Tsh 1 bilion kwenye zoezi ya usajili.

Unaposema wasemaji unapaswa kumuondoa Ally Kamwe kwanza kisha ujadili hao wanaobakia.

Hamasa ni hela. Tunaongelea Hamasa sio comedy. Kazi kubwa ambayo ameifanya Ally Kamwe imeiingizia Yanga mabilion ya hela. Tumeondoka kwenye Hamasa zaidi Makelele tukafanya biashara" - Privaldinho, Mkuu wa kitengo cha maudhui wa klabu ya Yanga SC.

Privaldinho akijibu hoja pichani. "Biashara ya usemaji sio kama biashara ya matikitiki. Media ni kiungo muhimu sana kinachounganisha Idara ya Masoko na wanachama na mashibiki Idara ya Masoko na Wadau Idara ya masoko na jamii Usemaji ni zaidi ya tambo za mitandaoni mnazoona. Tumefanya activations nyingi sana ambazo msimamizi mkuu ni Ally Kamwe akishirikiana na @i_sammjr Ally Kamwe alianzisha match day treatment and agenda, Mfano Aziz Ki Day. Baadae wadau wakaweka fedha kwenye mechi za Bacca Day, Muda Day, Max Day na Pacome Day tulipaka bleech Tulipata wadau kama vile, ZIC, ZIPA PZB na CRDB. CRDB walisupport safari yetu ya kwenda Afrika Kusini Twenzetu kwa madiba ambapo Ally Kamwe aliongoza kampeni hiyo kupitia Azam TV. Ally Kamwe akaanzisha kampeni ya kupeleka mashabiki Rwanda na DR Congo ambazo zote ni ilikuwa media agenda, na klabu ilikusanya zaidi ya 100m. Tulipata dili za Visit Zanzibar ni moja ya dili kubwa sana ambapo klabu imeingiza zaidi ya milion 500. Dili hili limekuja kutokana na hamasa kubwa ya media ambayo imeongozwa na Ally Kamwe Supu Day ilidhaminiwa na Sportpesa na GSM klabu iliingiza zaidi ya milion 30. Kitabu, Documentary kote huku tumeingiza mamilion ya fedha. Tulikuwa na Public viewing hapa Jangwan tukiwa na GSM, Haier ambapo klabu iliingiza fedha kupitia hilo na yote hayo ilikuwa media agenda. Ukiachana na Hamasa ya media, kupitia idara ya media fedha nyingi zimeingia moja kwa moja chini ya usimamizi wa Msemaji wetu. Yanga SC inaingiza mamilion ya fedha kila mwezi kupitia Yanga APP ambapo hivi karibu tumekusanya zaidi ya milion 300 kupitia APP Yanga ndio klabu namba moja kwa views zaidi kupitia ukurasa wa Youtube barani AFRIKA ikiwa na views 221m. Huku YouTube kila mwezi Yanga inaingiza mamilion ya fedha. Media ya Yanga ndio imepush agenda kubwa ya usajili wa wanachama kwa klabu ambapo kwa mwaka tumekuwa na wastani Tsh 1 bilion kwenye zoezi ya usajili. Unaposema wasemaji unapaswa kumuondoa Ally Kamwe kwanza kisha ujadili hao wanaobakia. Hamasa ni hela. Tunaongelea Hamasa sio comedy. Kazi kubwa ambayo ameifanya Ally Kamwe imeiingizia Yanga mabilion ya hela. Tumeondoka kwenye Hamasa zaidi Makelele tukafanya biashara" - Privaldinho, Mkuu wa kitengo cha maudhui wa klabu ya Yanga SC.
Love
1
· 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·35 Visualizações