*Habari ya jion wapendwa kipekee sana nitumie nafasi hii kuwakaribisha katika mfungo wa maombi ya kutwa kwa siku 21 tu.*

*Twendeni tukazidai na kuziomba ahadi za Mungu tulizosimuliwa*

*Twedeni tukamuombe Mungu asimame na Tanzania kama lango la uamsho haki ikazae amani.*

*Twendeni tukamuombe Mungu atujalie ndoa za kheri na baraka*.

Twendeni tukazikatae roho za kucheleweshwa na kufishwa .

Kama utapenda utaunganishwa kwa group la watsap kwa namba 0622625340
*Habari ya jion wapendwa kipekee sana nitumie nafasi hii kuwakaribisha katika mfungo wa maombi ya kutwa kwa siku 21 tu.* *Twendeni tukazidai na kuziomba ahadi za Mungu tulizosimuliwa* *Twedeni tukamuombe Mungu asimame na Tanzania kama lango la uamsho haki ikazae amani.* *Twendeni tukamuombe Mungu atujalie ndoa za kheri na baraka*. Twendeni tukazikatae roho za kucheleweshwa na kufishwa . Kama utapenda utaunganishwa kwa group la watsap kwa namba 0622625340
0 التعليقات ·0 المشاركات ·34 مشاهدة