13/21. ROHO YA UDANGANYIFU KANISANI.
Torati 13:1-2
*1 Kukizuka katikati yako nabii, au mwotaji wa ndoto, akikutolea ishara au ajabu, 2 ikatukia hiyo ishara au hiyo ajabu aliyokuambia akisema, Na tuifuate miungu mingine usiyoijua, tuitumikie hiyo*
Hayo ndiyo maagizo ambyo Mungu alimpatia Musa ili ayaweke kama kumbukumbu kwa taifa lake (kanisa ) lake hapa duniani .
*Kumbe inshu siyo anaweza kukuambia kuwa anaona au anaota mambo yako ukajua ni mtu wa Mungu peke yake ,hapana kama tu anaweza yeye kuabudu miungu mingine ujue kabisa uyo si mtu wa Mungu.*
Unasema nimejuaje andiko linasema *wataponya ,watatoa pepo kwa jina langu lakini mimi sikuwatuma*.
*Kumbe kutoa pepo kusikufanye uamini sana kama mtu wa Mungu kutabiriwa pia lakini utamtambua jinsi anayo weza kuichukia zambi kwa roho yote.*
Kukujulisha maisha yako ya nyuma siyo ishara ya kuwa ni mtumishi wa Mungu. Vipi kuhusu yule msichana aliye kuwa na pepo la uaguzi .
(Ukisoma matendo 16:16-18 utaona )
*“Hawa watu ni watumishi wa Mungu Mkuu.*
Ko ukiangalia alikuwa anapenda kufanya hivyo siku hadi siku anajichanganya na watumishi wa kweli akina Paulo ili zsijulikane lakini alikuwa anapepo la uaguzi kwa lugha nyepesi ni *mganga wa kienyeji anaye tabiria watu kanisani*
Ko muhimu sana kujua ulipo wanakuandaa kwenda mbinguni au wanakuandaa tu kuishi .
Muombe sana Mungu akusaidie usiende kanisani kwa sababu ya kupata tu unabii au kuwekewa mkono wakti mwingine unajikuta umeenda kuongeza matatizo kwa kigezo cha kutoa tatizo.
Kama wokovu kwako umejengwa katika dhana ya kutabiriwa peke yake basi kwako wokovu ni kitu kigumu sana .
Ukisoma Yeremia 28:
Utaona habari za mtu mmoja anaitwa hanania aliingia hekaruni na kuanza kutabiri neema mbele ya makuhani na yeremia mwenyewe ,lakini kw kuwa nabii Yeremia alikuwa ni mtu wa Mungu aligundua kuwa huyu ananinia ni nabii wa uongo .
, *“Sikiliza, Hanania, Mwenyezi-Mungu hakukutuma, nawe unawafanya watu hawa waamini uongo*(Yeremia 28:15)
Lakini ninacho tamani ujue huyu mtu aliingia kama mtu wa Mungu inamaana bila uimara wa Yeremia nabii kanisa lote lingekuwa limelishwa uongo na imani yake katika uongo.
Lazima kama watumishi wa Mungu tuombe Mungu sana kipindi cha hiki uamsho mkubwa unapokwenda kutokea Tanzania kuna watu wengi watanyanyuka kusema lakini ukweli watakuwa si watu wa Mungu bali wana nguvu iliyo nyuma yao.
Na bahati mbaya sana watu tunapenda saba ishara basi tunaona hapa ndo penyewe kumbe ni yule binti mwenye pepo la uaguzi.
Ni kwambie ukweli kanisa la kweli haliwezi kuongozwa na roho ya yezebeli( Zinaa na uasherati) vikawa vitu vya kawaida kanisani.
Oh mimi napokea kila mtu hapana si kanisa hilo ni lango la shetani *" si maanishi kanisani kwenda lazima mtu awe ameokoka lakini tunategemea baada ya kwenda aanze kubadilika so anatokz church ni worshipa anaenda ghetho kwa msela kuzini hii haikubaliki"*
Ko kama dunia yatupasa kujiazali sana unabii na mafunuo juu ya ndoto zako si kigezo cha kuwa mtu wa Mungu bali mtawatambua kwa matendo yao.
Hizi ni nyakati za mwisho ko wapo masihi (watumishi) wa Bwana ambao kazi yao kueneza injiri lakini pia wapo washetani ambao kazi yao ni kulipeleka matopeni kanisa la Mungu pasipo hao watu kujua.
Unasema nimejuaje kamuulize Ahabu na Yeoshafath walipo taka kwenda vitani manabii wengine wote *waliingiziwa roho ya uongo (shetani) ili wampotoshe ahabu* lakini alikuwepo mmoja anaitwa *Mikaya yeye alikuwa jitu la mbinguni na akukubalika kirahisi mbele ya ahabu sababu ya matendo yake ahabu.*
Ndivyo ilivyo hata leo manabii wa uongo wanawajaza viongozi wa serikari matumaini pasipo kujua kuwa Mungu anamtaka mtu mnyenyekevu .
Nazungumza na mgombea mmoja ambaye yeye anatumia kafara arafu anaenda kuuliza kwa manabii uongo na wanampa tumaini na simama kama mikaya nataka nikwambie ukigombea huwezi kushinda kabisa kabisa.
Manabii wa uongo wamejaa wao kila wakikutana na viongozi wanawatabiria maswala ya amani tu wakati wanaona kabisa mambo hayaeleweki
Yeremia 28:9
*Nabii atabiriye habari za amani, neno la nabii yule litakapotokea, ndipo nabii yule atakapojulikana, kweli kuwa BWANA amemtuma.*
Lakini lisipo tokea mana yake ni wauongo na mwaka huu Mungu anakwenda kulionyeaha taifa kwamba roho za Hanania ni nyingi kanisani zinatabiri uongo kuwapa watu matumaini tu lakini si kweli .
*Hakuna haki hakuna amani unashindwaje kuliambia taifa ukweli kabisa*
Tuwaepuke sana manabii wa uongo wanakula sana jitihada za imani zetu kama vijana watoto wa Mungu.
Dada acha kumue mue kila mtumishi lazima uende wewe na kuzungukia makanisa kama umeambiwa wanakupa ela vile kila siku unaenda kuuliza mambo yako bila kufanya kazi acha uo ujinga.
Mwamini Mungu kuwa hizi ni siku za mwisho bado kidogo sana masihi aje awachukue walio wake.
Ahsante sana naitwa Sylvester Mwakabende kutoja (build new eden)
Karibu sana ujifunze nasi kupitia status pia 0622625340
#build new eden
#Restoremenposition

0 Commentaires
·0 Parts
·78 Vue