Power of choise part 3.

Maisha ni kanuni uwezi kufanikiwa kama uzijui kanuni za mafanikio.

Na kwa kuwa Mungu wetu ni Mungu wa kanuni na utaratibu basi moja ya kanuni hizo ni NGUVU ya kuchagua.

Tunaendelea kuongozwa na neno la msingi hili

Torati 11:26 "Angalia nawawekea mbele yenu baraka na laana."

Vyote viwili viko mbele yako yaani baraka na laana pia .

Kila matokeo utakayo yapata duniani yameyokana na nguvu iliyo ndani yako na nguvu hiyo ni nguvu ya kuchagua.

Hata kuokoka ni matokeo ya kuchagua pia .

Zaburi 27:4-6
Neno Moja nimelitaka kwa BWANA, Nalo ndilo nitakalolitafuta, Nikae nyumbani mwa BWANA Siku zote za maisha yangu, .

Kumbe hata kupata nguvu na kukaa uweponi pia ni matokeo ya kuchagua pia

Eliya alisimamisha mvua kwa miaka mitatu na nusu kwa kuwa tu aliweza kuijua nguvu ya kuchagua na akachagua kutembea na Bwana .

Katikati ya Mungu wa bahari jabari la Mungu eliya aliamua kumdhiiriaha Mungu na moto ulishuka ukasababisha hata wasio amini wachague kumwamini Mungu wa Elia.

Matokeo ya kuchagua kwa eliya ndiyo yalileta matokeo ya maamuzi ya watu kusema anaye paswa kuabudiwa ni Mungu wa Elia.

Ukikosea kuchagua au kuto kujua nguvu ya kuchagua ni kumkosea Mungu wako pia.

Yoshua pia aliiijua nguvu hii ndiyo alipo wapa machaguo wana wa islaeri kwamba chagueni hivi leo mtakaye mtumikia.

Yoshua 24:15
Nanyi kama mkiona ni vibaya kumtumikia BWANA, chagueni hivi leo mtakayemtumikia; kwamba ni miungu ile ambayo baba zenu waliitumikia ng'ambo ya Mto, au kwamba ni miungu ya wale Waamori ambao mnakaa katika nchi yao; lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia BWANA.

Ahsante sana naimani kuna kitu umejifunza katika nguvu ya kuchagua

Naitwa Sylvester Mwakabende kutoka (build new eden)

#build new eden
#Restoremenposition
Power of choise part 3. Maisha ni kanuni uwezi kufanikiwa kama uzijui kanuni za mafanikio. Na kwa kuwa Mungu wetu ni Mungu wa kanuni na utaratibu basi moja ya kanuni hizo ni NGUVU ya kuchagua. Tunaendelea kuongozwa na neno la msingi hili Torati 11:26 "Angalia nawawekea mbele yenu baraka na laana." Vyote viwili viko mbele yako yaani baraka na laana pia . Kila matokeo utakayo yapata duniani yameyokana na nguvu iliyo ndani yako na nguvu hiyo ni nguvu ya kuchagua. Hata kuokoka ni matokeo ya kuchagua pia . Zaburi 27:4-6 Neno Moja nimelitaka kwa BWANA, Nalo ndilo nitakalolitafuta, Nikae nyumbani mwa BWANA Siku zote za maisha yangu, . Kumbe hata kupata nguvu na kukaa uweponi pia ni matokeo ya kuchagua pia Eliya alisimamisha mvua kwa miaka mitatu na nusu kwa kuwa tu aliweza kuijua nguvu ya kuchagua na akachagua kutembea na Bwana . Katikati ya Mungu wa bahari jabari la Mungu eliya aliamua kumdhiiriaha Mungu na moto ulishuka ukasababisha hata wasio amini wachague kumwamini Mungu wa Elia. Matokeo ya kuchagua kwa eliya ndiyo yalileta matokeo ya maamuzi ya watu kusema anaye paswa kuabudiwa ni Mungu wa Elia. Ukikosea kuchagua au kuto kujua nguvu ya kuchagua ni kumkosea Mungu wako pia. Yoshua pia aliiijua nguvu hii ndiyo alipo wapa machaguo wana wa islaeri kwamba chagueni hivi leo mtakaye mtumikia. Yoshua 24:15 Nanyi kama mkiona ni vibaya kumtumikia BWANA, chagueni hivi leo mtakayemtumikia; kwamba ni miungu ile ambayo baba zenu waliitumikia ng'ambo ya Mto, au kwamba ni miungu ya wale Waamori ambao mnakaa katika nchi yao; lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia BWANA. Ahsante sana naimani kuna kitu umejifunza katika nguvu ya kuchagua Naitwa Sylvester Mwakabende kutoka (build new eden) #build new eden #Restoremenposition
Yay
1
· 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·409 Views