Power of choice part 5.
Neno msingi. "Angalia na wawekea mbele yako yaani baraka na laana" torati 11:26
Tunaendelea na madhara ya kujiongoza vibaya katika kutumia nguvu ya kuchagua.
Na kwakuanza jana tulimuona Sauli na matokeo aliyo yapata kutokana na kushindwa kuchagua kwani maamuzi yote yapo ndani ya Nguvu inayo twa chaguo.
Leo tutaingia ndani kidogo tumtazame mnadhiri wa Bwana kwa kudhariwa .
2.SAMSON
Samsoni alikuwa mwamuzi wa islaeri kwa miaka 20 .
Alifanya makubwa sana juu ya kulilinda na kulipambania islaeri juu ya wafiristi.
Samsoni pamoja na uimara wote huo bado alishindwa kuielewa nguvu anayo itoa roho mtakatifu inayo itwa nguvu ya kuchagua.
Samsoni akaangukia kwenye penzi la mfiristi la kwanza lakini haikuwa nadhani fungu lake .
Waamuzi 14:16
[16]Basi mkewe Samsoni akalia mbele yake, akasema, Wewe wanichukia tu, wala hunipendi; wewe umewategea kitendawili hao wana wa watu wangu, nawe hukuniambia mimi. Naye akamwambia, Angalia, sikumwambia baba yangu wala mama yangu, nami nikuambie wewe?
Samsoni ni lover boy ambaye alitoa kitendawili lakini watu walimtumia mkewe akategua kitendawili .
Lakini pia kisa pendwa cha samsoni na kahaba Delila sanson alipo chagua kuingia penzi na kahaba ndipo uharibifu ukamuotea tena .
Samsoni ameulizwa juu ya siri ya nguvu mara tatu zaidi bado hakushtuka kwa kuwa nguvu ya ndani ya kuchagua maamuzi sahii ilikuwa imetoweka sababu ya dhambi.
Matokeo ya kujiongoza kuchagua mtu hodari sana katika islaeri anadhihakiwa na watu wasio tahiriwa (wasio wabarikiwa)
Samsoni alikuwa mnadhiri au mtu aliye zaliwa na kupewa nguvu lakini sababu ya kukosa nguvu ya kuchagua samsoni alipoteza focus yake.Waamuzi 16:17,28
[17]Ndipo alipomwambia yote yaliyokuwa moyoni mwake, akamwambia, Wembe haukupita juu ya kichwa changu kamwe; maana mimi nimekuwa Mnadhiri wa Mungu, tangu tumboni mwa mama yangu; nikinyolewa, ndipo nguvu zangu zitanitoka, nami nitakuwa dhaifu, nitakuwa kama wanadamu wenzangu.
Ndivyo ilivyo hata leo kuna watumishi wengi sababu tu ya kukosa nguvu ya kuchagua au kwa kufanya maamuzi yasiyo paswa kuyachagua wanapoteza vipawa vyao .
Wengine wanashindwa kuchagua utakatifu wanaangukia kwenye zinaa na majivuno na wao pia wanapoteza uhusiano na Mungu.
[28]Samsoni akamwita BWANA, akasema, Ee Bwana MUNGU, unikumbuke, nakuomba, ukanitie nguvu, nakuomba, mara hii tu, Ee Mungu, ili nipate kujilipiza kisasi juu ya Wafilisti kwa ajili ya macho yangu mawili
Bila neema ya kristo katika roho huwezi kufanya maamuzi mema .
Ok naitwa sylvester Mwakabende (build new eden )
#build new eden

0 Комментарии
·0 Поделились
·27 Просмотры