Dunia imechanganya sana baina ya neno ndoa na uchumba.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya uchumba na ndoa, japo watu wengi wanaishi kama wanandoa ili hali bado wajaona na hili ndilo hupelekea anguko la kanisa.
Vijana wajafundishwa kwa uhalisia mipaka iliyopo kati ya uchumba na ndoa .
Na kutokana na kuwa walagai wamekuwa wengi mjini wamelihwribu kanisa na wachungaji wamebaki tu kufukuza watu wazinifu kanisani na si kulitibu kanisa.
Laiti kama vijana wangekuwa walau kila mwezi mwaka wanasemina maalumu ya kujifunza kuhusu mtazamo sahii wa biblia kuhusu ndoa pengine tungepunguza hali ya anguko la kanisa
Bahati mbaya sana unakuta dada anaimba kwaya lakini anawanaume watatu sio labda tu be bali wote anawahudumia kama mke hii ni hatari sana kwa kanisa .
Mchumba ajawai kuwa mke na hili tusifichane ndilo limepelekea anguko la kanisa chanzo kikubwa ni malezi mabovu ya wazazi kwa watoto wao .
Mama wa binti anafahamu vijana watano wa mwanae na anahisi mwanae anapendwa akili au matope ?
Yaaani mwanao anathamani sawa na nyumba ya wageni au gest na mama unaona ni sifa hili baya sana.
Maneno magumu lakini ndo ukweli sasa kama unawanaume zaidi ya mmoja wewe si ni pumziko la wengine au kipozeo cha wengine wewe na gest tofauti yenu nini hasa?
Dear my sister kuna mapepo mnasumbua wachungaji wawaombee lakini chanzo chake ni zinaa na siyo tu zinaa peke yake wewe ni mama huruma ?
Naamaanisha nini dada kila kijana anaye kuja wewe kigezo ni pesa anaweza kuchungulia ndani ya nguo zako kuna nini basi jua umepoteza thamani yako.
Yaani vijana wanalugha yao utasikia beki hazikabi kabisa yule na unajua kabisa wale ni marafiki na wewe kisa ana gari unatembea naye pia yaani marafiki wawili wanakuvua nguo kama ujionei huruma wewe muonee huruma mama yako.
Lazima tuikatae zinaa hasa kipindi hiki cha uhamsho kwani tunajaribu kujifichia kwenye uchumba ili hali sisi ni wazinzi wanao ishi .
Ok najua nimekukela lakini siyo mbaya naitwa Sylvester Mwakabende kutoka (build new eden)

0 Comments
·0 Shares
·15 Views