.Exclusive kumhusu Mohammed Doumbia 馃嚚馃嚠

鈻笌Elewa kuwa, Mohammed Doumbia amekaa nje ya kiwanja kwa zaidi ya siku 366 (wastani wa mwaka mmoja). Sababu kubwa ni mvutano mkubwa kati yake na management yake.

鈻笌Elewa kuwa, Young Africans Sports Club hawakuwaza kabisa kumsajili Doumbia, na pengine akina Hersi Said walikuwa hawamjui kabisa. Nani aliwaunganisha.?

鈻笌 Stephanie_aziz_ki ndiye aliyetumika kama daraja kwenye dili hili. Aliwaambia viongozi wa juu wa klabu kuwa, "kuna mchezaji mzuri; ni kiungo wa kati, anaweza kucheza kama kiungo mkabaji lakini amekaa nje ya pitch kwa muda mrefu kidogo. Kama itawezekana mnaweza kumtazama."

鈻笌Uongozi wa klabu ukiongozwa na Mhandisi Hersi Said uliwasiliana na mchezaji na muda mchache, taratibu za kumsafirisha kuja Dar es Salaam zilianza.

鈻笌Mohammed Doumbia alipokelewa vizuri na Uongozi. Bahati nzuri alifika siku ambayo klabu ilikuwa na session ya mazoezi jioni; Uongozi uliungana na Miloud Hamdi kumtazam Mohammed Doumbia kwenye pitch akifanya mazoezi na wenzake.

鈻笌Kila mtu alitikisa kichwa. Kila mtu alikubali uwezo wake.! Huu ndio usajili wa kwanza kufanyika na Yanga msimu huu.

#NB: Mohammed Doumbia, Pacome Zouzoua walienda nchini Czech Republic kwa pamoja; cha kukusisitiza ni kwamba Pacome Zouzoua alirudi Afrika, Doumbia aliendelea kukiwasha huko.
.Exclusive kumhusu Mohammed Doumbia 馃嚚馃嚠 鈻笌Elewa kuwa, Mohammed Doumbia amekaa nje ya kiwanja kwa zaidi ya siku 366 (wastani wa mwaka mmoja). Sababu kubwa ni mvutano mkubwa kati yake na management yake. 鈻笌Elewa kuwa, Young Africans Sports Club 馃嚬馃嚳 hawakuwaza kabisa kumsajili Doumbia, na pengine akina Hersi Said walikuwa hawamjui kabisa. Nani aliwaunganisha.? 馃憞馃憞 鈻笌 Stephanie_aziz_ki ndiye aliyetumika kama daraja kwenye dili hili. Aliwaambia viongozi wa juu wa klabu kuwa, "kuna mchezaji mzuri; ni kiungo wa kati, anaweza kucheza kama kiungo mkabaji lakini amekaa nje ya pitch kwa muda mrefu kidogo. Kama itawezekana mnaweza kumtazama." 鈻笌Uongozi wa klabu ukiongozwa na Mhandisi Hersi Said uliwasiliana na mchezaji na muda mchache, taratibu za kumsafirisha kuja Dar es Salaam zilianza. 鈻笌Mohammed Doumbia alipokelewa vizuri na Uongozi. Bahati nzuri alifika siku ambayo klabu ilikuwa na session ya mazoezi jioni; Uongozi uliungana na Miloud Hamdi kumtazam Mohammed Doumbia kwenye pitch akifanya mazoezi na wenzake. 鈻笌Kila mtu alitikisa kichwa. Kila mtu alikubali uwezo wake.! Huu ndio usajili wa kwanza kufanyika na Yanga msimu huu. #NB: Mohammed Doumbia, Pacome Zouzoua walienda nchini Czech Republic 馃嚚馃嚳 kwa pamoja; cha kukusisitiza ni kwamba Pacome Zouzoua alirudi Afrika, Doumbia aliendelea kukiwasha huko. 馃
Like
Love
2
0 Commentarios 0 Acciones 498 Views