WAZEE WANASEMA;

"Mtu anayekwenda hospitalini na kuishia kueleza ugonjwa wa mwenzake kuliko ugonjwa wake, hakika atarudi nyumbani akiwa mgonjwa bado." Tutambue kwamba nisitegemee mwenzangu ameze dawa ili ugonjwa wangu upone. Dawa napaswa nimeze mimi. Mara nyingi tunaona shida za wenzetu kuliko za kwetu. Tunafikiria ati wenzetu ndio wenye matatizo bila kujua kwamba matatizo yapo kwetu sisi wenyewe. Tunataka wenzetu wakameze dawa wakati sisi ndio wagonjwa. Tujiulize, dawa zetu tutameza saa ngapi? Unataka mzinzi au aliyefumaniwa akameze dawa-jiulize, na wewe dawa yako ya umbea utameza saa ngapi?, dawa zako za uchoyo, ukatili utazimeza lini?"

Pd.PK,
WAZEE WANASEMA; "Mtu anayekwenda hospitalini na kuishia kueleza ugonjwa wa mwenzake kuliko ugonjwa wake, hakika atarudi nyumbani akiwa mgonjwa bado." Tutambue kwamba nisitegemee mwenzangu ameze dawa ili ugonjwa wangu upone. Dawa napaswa nimeze mimi. Mara nyingi tunaona shida za wenzetu kuliko za kwetu. Tunafikiria ati wenzetu ndio wenye matatizo bila kujua kwamba matatizo yapo kwetu sisi wenyewe. Tunataka wenzetu wakameze dawa wakati sisi ndio wagonjwa. Tujiulize, dawa zetu tutameza saa ngapi? Unataka mzinzi au aliyefumaniwa akameze dawa-jiulize, na wewe dawa yako ya umbea utameza saa ngapi?, dawa zako za uchoyo, ukatili utazimeza lini?" ©️Pd.PK,
0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·6 Visualizações