Tanzania ni miongoni mwa Mataifa yatakayoshiriki mashindano matatu ya efootball Mobile, Console na Rocket kuanzia Septemba 2, 2025 kwa njia ya mtandao, wakali wa PS ni wakati wenu kujisajili kushiriki mashindano hayo kuelekea Kombe la Dunia 2025, jisajili kupata akaunti ya FIFA ID kupitia tovuti ya fifa.gg ili kutambulika kama mchezaji ambaye unaweza kupata fursa ya kuwa mchezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania. @fifae

haya sasa wa Dream league mje mtwambie ligi yenu lini
🚹🚹Tanzania ni miongoni mwa Mataifa yatakayoshiriki mashindano matatu ya efootball Mobile, Console na Rocket kuanzia Septemba 2, 2025 kwa njia ya mtandao, wakali wa PS ni wakati wenu kujisajili kushiriki mashindano hayo kuelekea Kombe la Dunia 2025, jisajili kupata akaunti ya FIFA ID kupitia tovuti ya fifa.gg ili kutambulika kama mchezaji ambaye unaweza kupata fursa ya kuwa mchezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania. @fifae haya sasa wa Dream league mje mtwambie ligi yenu lini😂😂😂😂
0 Commentaires ·0 Parts ·26 Vue