_||๐๐๐๐๐๐๐: Ligi Kuu ya Ugiriki (Greek Superleague) imesitishwa kwa muda usiojulikana baada ya tukio la kushangaza kutokea...
Rais wa klabu ya PAOK Salonika, Ivan Savvidis, alivamia uwanja akiwa na bunduki kiunoni wakati wa mchezo dhidi ya AEK Athens.
Sababu ya hasira zake ni baada ya bao la timu yake kufutwa kwa madai ya offside dakika za mwisho. Savvidis alijaribu kumkabili refa wa mchezo huo!

๐จ_||๐ฃ๐๐๐๐๐๐๐: Ligi Kuu ya Ugiriki ๐ฌ๐ท (Greek Superleague) imesitishwa kwa muda usiojulikana baada ya tukio la kushangaza kutokea...
๐จ๐ผRais wa klabu ya PAOK Salonika, Ivan Savvidis, alivamia uwanja akiwa na bunduki kiunoni wakati wa mchezo dhidi ya AEK Athens.
๐ฎ Sababu ya hasira zake ni baada ya bao la timu yake kufutwa kwa madai ya offside dakika za mwisho. Savvidis alijaribu kumkabili refa wa mchezo huo! ๐ฒ
0 Comments
ยท0 Shares
ยท12 Views