Jini ni mchezaji mzuri,miguu yake ina shabaha haswaa,kwenye ubora wake anaweza kuamuwa mechi yoyote Ila kusema ukweli Msimu huu bado sijamuona Jini.

Yuko Down sana,fitness Yake bado Siyo nzuri,ile confidence ya ku-risk mbele ya goli iko chini sana hata work rate Yake imepungua.

Mbaya zaidi Fadlu humwambii chochote kwa Jini Kwani anaamini huyu ndo Süper star wa Simba hivyo hata acheze vibaya atabaki uwanjani….kwa kifupi Jini wa Fadlu ni untouchable

Hans Rafael
Jini ni mchezaji mzuri,miguu yake ina shabaha haswaa,kwenye ubora wake anaweza kuamuwa mechi yoyote Ila kusema ukweli Msimu huu bado sijamuona Jini. Yuko Down sana,fitness Yake bado Siyo nzuri,ile confidence ya ku-risk mbele ya goli iko chini sana hata work rate Yake imepungua. Mbaya zaidi Fadlu humwambii chochote kwa Jini Kwani anaamini huyu ndo Süper star wa Simba hivyo hata acheze vibaya atabaki uwanjani….kwa kifupi Jini wa Fadlu ni untouchable 🖐️ Hans Rafael
0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·129 Views