5.WATU WANAO WEZA KUKUTAMBULISHA.
Zawadi kubwa mtu anayo pewa na Mungu ni watu .
Ukipata watu wanao weza kukutambulisha au kutambulisha maono yako basi jua umepiga hatua.
Kila aliye fanikiwa anao watu walimshikaga mkono na kuntambulisha kwebye jamii na jamii ikaanza kumuamini kama inavyo muamini aliye kutambulisha.
Daudi pamoja na kupakwa mafuta lakini bado ili ufalme ukamilike alijitaji mtu anaye weza kutambulisha .
1 Samweli 16:17-18
[17]Basi Sauli akawaambia, Vema, nitafutieni mtu aliye stadi wa kupiga kinubi, mkaniletee.
[18]Ndipo akajibu mmoja wa watumishi wake akasema, Tazama, nimemwona mwana mmoja wa Yese, Mbethlehemi, aliye stadi wa kupiga kinubi, tena ni mtu shujaa, hodari wa vita, anenaye kwa busara, mtu mzuri, ambaye BWANA yu pamoja naye.
Ile Daudi kupakwa mafuta peke yake haikumfanya awe mfalme ni mpaka alipo patikana mtu anayeweza kuntambulisha na huyu akikutambulisha vyema umeiteka dunia.
Mfano mwingine Yusuph aliota ndoto akiwa mdogo kuwa ndugu zake na baba yake wote wanamtumikia .
Lakini ili itimie ndoto ile ilihitaji mtu anaye weza mtambulisha
Mwanzo 41:9-14
[9]Basi mkuu wa wanyweshaji akamwambia Farao akisema, Nayakumbuka makosa yangu leo.
[10]Farao aliwakasirikia watumwa wake, akanitia nifungwe nyumbani mwa mkuu wa askari, mimi na mkuu wa waokaji.
[11]Tukaota ndoto usiku mmoja, mimi na yeye; kila mtu kwa tafsiri ya ndoto yake tukaota.
.
[12]Na huko pamoja nasi palikuwa na kijana; Mwebrania, mtumishi wa mkuu wa askari, tukamhadithia, naye akatufasiria ndoto zetu; akamfasiria kila mtu kama ilivyokuwa ndoto yake.
.
[13]Ikawa, kama vile alivyotufasiria ndivyo ilivyotokea; mimi nalirudishwa katika kazi yangu, na yeye alitundikwa.
.
[14]Ndipo Farao akapeleka watu, akamwita Yusufu, wakamleta upesi kutoka gerezani. Akanyoa, akabadili nguo zake, na kuingia kwa Farao.
Kukamilika kwa ndoto alizo ota akiwa mdogo Yusuph ni mpaka alipo patikana mtu anayeweza kuntambulisha tu.
Jifunze kuwa na prayer point ya kumuomba Mungu akupe mtu anaye weza kukutambulisha na watu wakamkubali hakika
Changamoto kubwa ya vijana wengi leo hawako tayari kuwa heshimu watu hivyo wanakosa watu wanao weza kuwapa mkono wa shirika na kuwatambulisha.
Nikwambie ukweli akuna chochote duniani kinakuwa bila watu kukupa mkono wa shirika na kukutambulisha.
Niwatakie asubui njema na siku njema. Usisahau kutufollow sikiliza mwanangu
Sylvester Mwakabende
Build new eden
0622625340

0 Yorumlar
·0 hisse senetleri
·9 Views