Nyota wa Real Madrid, Endrick ameomba kuondoka Real Madrid January kwa mkopo ili kulinda kiwango chake.

Chini ya Xabi Alonso nyota huyo amekosa nafasi kabisa ya kucheza, mara ya mwisho kuonekana uwanjani ilikuwa May 18 dhidi ya Sevilla.

Source [ El Chiringuito TV ]
Nyota wa Real Madrid, Endrick ameomba kuondoka Real Madrid January kwa mkopo ili kulinda kiwango chake. Chini ya Xabi Alonso nyota huyo amekosa nafasi kabisa ya kucheza, mara ya mwisho kuonekana uwanjani ilikuwa May 18 dhidi ya Sevilla. Source [ El Chiringuito TV ]
0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·20 Visualizações