Klabu ya Al Ahli SC wapo tayari kutoa kiasi cha euro milioni 15 ili kuipata saini ya mshambuliaji wa Pyramids, Fiston Mayele Kalala "Cyborg" .

Klabu iyo kutokea nchini Saudia Arabia wapo tayari kumpa Mayele mshahara wa euro milioni 3 kwa mwaka !
🚨 Klabu ya Al Ahli SC 🇸🇦 wapo tayari kutoa kiasi cha euro milioni 15 ili kuipata saini ya mshambuliaji wa Pyramids, Fiston Mayele Kalala "Cyborg" 🇨🇩. Klabu iyo kutokea nchini Saudia Arabia wapo tayari kumpa Mayele mshahara wa euro milioni 3 kwa mwaka ! 💵
0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·324 Visualizações