OFFICIAL Kocha Wa Real Madrid Xabi Alonso amesema Dean Huijsen, Trent Alexander-Arnold, Dani Carvajal na Dani Ceballos wote wako tayari kwa mchezo wa El Clasco.

Alonso amesema wachezaji pekee wataukosa mchezo wa El Clasco ni Antonio Rudiger na David Alaba wengine wapo.
๐Ÿšจ OFFICIAL Kocha Wa Real Madrid Xabi Alonso amesema Dean Huijsen, Trent Alexander-Arnold, Dani Carvajal na Dani Ceballos wote wako tayari kwa mchezo wa El Clasco. Alonso amesema wachezaji pekee wataukosa mchezo wa El Clasco ni Antonio Rudiger na David Alaba wengine wapo.
0 Comments ยท0 Shares ยท13 Views