Kocha wa Tottenham Hotspur, Thomas Frank, haridhishwi na Dominic Solanke na anaweza kumuuza mwezi Januari.

Taarifa kutoka kambi ya mazoezi ya Spurs zinaeleza kuwa Frank hapendezwi sana na mshambuliaji huyo wa pauni milioni 60.

(Chanzo: Football Insider)
๐Ÿšจ Kocha wa Tottenham Hotspur, Thomas Frank, haridhishwi na Dominic Solanke na anaweza kumuuza mwezi Januari. Taarifa kutoka kambi ya mazoezi ya Spurs zinaeleza kuwa Frank hapendezwi sana na mshambuliaji huyo wa pauni milioni 60. (Chanzo: Football Insider)
0 Comments ยท0 Shares ยท55 Views