๐ŸŽ™ " Tumezoea kuwaona wakiongoza msimamo lakini mwisho wa siku wanakosa Ubingwa ila huu ni mwaka wao Sikuwahi kuwa na Uhakika na kitu lakini msimu huu nauhakika ni mwaka Wao".

" Arsenal wamekuwa tofauti na misimu ya nyuma wanajiamini sanaa wanacheza kitimu na kubwa zaidi wameweza kuyaziba mapungufu yao yaliyokuwa yakiwasumbua misimu ya nyuma"

" Imani yangu huu ndio wakati wa Arsenal kuchukua Ubingwa".

Gary Neville
โœ๏ธ๐ŸŽ™ " Tumezoea kuwaona wakiongoza msimamo lakini mwisho wa siku wanakosa Ubingwa ila huu ni mwaka wao Sikuwahi kuwa na Uhakika na kitu lakini msimu huu nauhakika ni mwaka Wao". " Arsenal wamekuwa tofauti na misimu ya nyuma wanajiamini sanaa wanacheza kitimu na kubwa zaidi wameweza kuyaziba mapungufu yao yaliyokuwa yakiwasumbua misimu ya nyuma" " Imani yangu huu ndio wakati wa Arsenal kuchukua Ubingwa". ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น Gary Neville
0 Comments ยท0 Shares ยท48 Views