RASMI:
Klabu ya Napoli imethibitisha kuwa kiungo wa Cameroon Franck Zambo Anguissa amepata jeraha kubwa la misuli.

Kwa mujibu wa taarifa za kitabibu, Anguissa atakuwa nje kwa miezi kadhaa, hali inayoweza kumfanya aukose AFCON 2025 nchini Morocco.
Pigo kubwa kwa Cameroon.

Anguissa ni mhimili mkubwa wa kiungo cha Cameroon, hivyo kutokuwepo kwake kunaathiri uimara wa timu katika presha kubwa ya mechi za AFCON.

Unadhani Cameroon wataimudu AFCON bila Anguissa?
Je, nafasi yake inapaswa kuzibwa na nani?

๐Ÿ”ต RASMI: Klabu ya Napoli imethibitisha kuwa kiungo wa Cameroon ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฒ Franck Zambo Anguissa amepata jeraha kubwa la misuli. Kwa mujibu wa taarifa za kitabibu, Anguissa atakuwa nje kwa miezi kadhaa, hali inayoweza kumfanya aukose AFCON 2025 nchini Morocco. Pigo kubwa kwa Cameroon. ๐Ÿ’” Anguissa ni mhimili mkubwa wa kiungo cha Cameroon, hivyo kutokuwepo kwake kunaathiri uimara wa timu katika presha kubwa ya mechi za AFCON. Unadhani Cameroon wataimudu AFCON bila Anguissa? Je, nafasi yake inapaswa kuzibwa na nani?
0 Comments ยท0 Shares ยท40 Views