⬛️BODI YA LIGI imefanya maboresho kwenye ratiba ya Ligi Kuu na moja kati ya mchezo uliofikiwa na maboresho hayo ni mchezo wa Kariakoo Derby uliopangwa kuchezwa Desemba 13 mwaka huu. Yeees! Kwa sasa mchezo huo utapigwa Jumapili ya tarehe 01.03.2026 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa 11 jioni.

Young Africans Simba SC
DATE: 01.03.2026
TIME: 17:00 EAT

...Hata hivyo mchezo wa marudiano kati ya vigogo hawa utapigwa tarehe 03.05.2026 kwenye uwanja wa Mkapa kuanzia saa 11 jioni.
🟩🟨⬛️BODI YA LIGI imefanya maboresho kwenye ratiba ya Ligi Kuu na moja kati ya mchezo uliofikiwa na maboresho hayo ni mchezo wa Kariakoo Derby uliopangwa kuchezwa Desemba 13 mwaka huu. Yeees! Kwa sasa mchezo huo utapigwa Jumapili ya tarehe 01.03.2026 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa 11 jioni. Young Africans 🆚 Simba SC DATE: 01.03.2026 TIME: 17:00 EAT ...Hata hivyo mchezo wa marudiano kati ya vigogo hawa utapigwa tarehe 03.05.2026 kwenye uwanja wa Mkapa kuanzia saa 11 jioni.
0 Commentarios ·0 Acciones ·37 Views