Upgrade to Pro

Anaitwa : Sofia Boutella
Algerian actress and dancer

Asili na Maisha ya Awali: Sofia Boutella alizaliwa mnamo Aprili 3, 1982. Baba yake ni mwanamuziki wa jazz na mama yake ni mbunifu wa majengo.. Sofi, Alianza kujifunza densi ya ballet akiwa na umri wa miaka mitano na baadaye akajifunza aina mbalimbali za densi kama vile hip-hop na densi ya kisasa.

Kazi ya Uigizaji: Baada ya kufanikiwa katika ucheza densi, Sofia alianza kuingia kwenye ulimwengu wa filamu. Amecheza katika filamu kadhaa maarufu za Hollywood, ikiwa ni pamoja na Rebel Moon 2023

⛳️ Anamiaka : 42 years
Amezaliwa : 3 Apr 1982

Nyimbo inamuhusu Sofia Boutella
Audio @Open_drama isikilize Hapa chini
Anaitwa : 😍Sofia Boutella Algerian actress and dancer Asili na Maisha ya Awali: Sofia Boutella alizaliwa mnamo Aprili 3, 1982. Baba yake ni mwanamuziki wa jazz na mama yake ni mbunifu wa majengo.. Sofi, Alianza kujifunza densi ya ballet akiwa na umri wa miaka mitano na baadaye akajifunza aina mbalimbali za densi kama vile hip-hop na densi ya kisasa. 🍿🎥 Kazi ya Uigizaji: Baada ya kufanikiwa katika ucheza densi, Sofia alianza kuingia kwenye ulimwengu wa filamu. Amecheza katika filamu kadhaa maarufu za Hollywood, ikiwa ni pamoja na 🌑Rebel Moon 2023 ⛳️ Anamiaka : 42 years 😊 Amezaliwa : 3 Apr 1982 Nyimbo inamuhusu 🥰Sofia Boutella 🎧Audio @Open_drama isikilize Hapa chini
Like
Love
Yay
7
·280 Ansichten