Rushaynah afunguka: Bado anamtamani Khalid Aucho.

Mwigizaji wa filamu na Mwanamitandao maarufu Tanzania, Rushaynah, ambaye ni Mke wa zamani wa Diwani wa Kariakoo, Haji Manara, amefunguka kuhusu hisia zake za mapenzi na Mchezaji wa Singida Big Star, Khalid Aucho.

Katika mahojiano ya hivi karibuni, Rushaynah ameeleza wazi kuwa bado anamtamani Aucho, huku akibainisha mvuto wake kwa Mchezaji huyo: "Aucho ni Mwanaume mwenye mvuto sana ananivutia sana nahitaji Mwanaume kama yeye, Hata kama ana Mwanamke lakini kwangu bado ana-nafasi."

Kwa maneno haya, Rushaynah anaonyesha wazi kuwa ingawa Aucho ana uhusiano mwingine, kwake bado bado kuna nafasi ya hisia. Hii imemfanya Mwigizaji huyo kushiriki hadhira yake, hisia za ndani, jambo ambalo limevutia mashabiki wengi mitandaoni.

Toa maoni yako
Rushaynah afunguka: Bado anamtamani Khalid Aucho. Mwigizaji wa filamu na Mwanamitandao maarufu Tanzania, Rushaynah, ambaye ni Mke wa zamani wa Diwani wa Kariakoo, Haji Manara, amefunguka kuhusu hisia zake za mapenzi na Mchezaji wa Singida Big Star, Khalid Aucho. Katika mahojiano ya hivi karibuni, Rushaynah ameeleza wazi kuwa bado anamtamani Aucho, huku akibainisha mvuto wake kwa Mchezaji huyo: "Aucho ni Mwanaume mwenye mvuto sana ananivutia sana nahitaji Mwanaume kama yeye, Hata kama ana Mwanamke lakini kwangu bado ana-nafasi." Kwa maneno haya, Rushaynah anaonyesha wazi kuwa ingawa Aucho ana uhusiano mwingine, kwake bado bado kuna nafasi ya hisia. Hii imemfanya Mwigizaji huyo kushiriki hadhira yake, hisia za ndani, jambo ambalo limevutia mashabiki wengi mitandaoni. Toa maoni yako
0 Kommentare 0 Anteile 67 Ansichten