Ikulu ya Marekani yatangaza Nchi zitakazoshiriki mkutano wa kwanza wa “Baraza la Amani”.

White House imetangaza rasmi orodha ya nchi zitakazotuma wawakilishi katika mkutano wa uzinduzi wa kile kinachoitwa “Baraza la Amani,” unaofanyika leo kwenye Ukumbi Donald J. Trump Institute for Peace.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, mkutano huo unalenga kuwakutanisha wadau wa kimataifa kwa ajili ya kujadili ajenda za ushirikiano wa usalama, diplomasia na utatuzi wa migogoro katika maeneo mbalimbali ya dunia.

Orodha iliyotolewa inaonesha uwakilishi mpana kutoka Mabara tofauti, ikiashiria uzito wa mkutano huo katika medani ya siasa za kimataifa.

- Albania
- Austria
- Azerbaijan
- Bulgaria
- Croatia
- Cyprus
- Jamhuri ya Czech
- Finland
- Ujerumani
- Ugiriki
- Hungaria
- Italia
- Poland
- Romania
- Slovakia
- Uswisi
- Uingereza
- Norway
- Uholanzi
- Kosovo
- Umoja wa Ulaya (EU)

- Armenia
- Bahrain
- Cambodia
- India
- Indonesia
- Israel
- Japan
- Jordan
- Kazakhstan
- Kuwait
- Mongolia
- Oman
- Pakistan
- Qatar
- Korea Kusini
- Saudi Arabia
- Thailand
- Uturuki
- Falme za Kiarabu (UAE)
- Uzbekistan
- Vietnam

- Argentina
- El Salvador
- Mexico

Afrika

- Misri
- Morocco

Ushiriki wa nchi kutoka kanda zenye mvutano wa kisiasa na kiusalama unaashiria kwamba mkutano huo unaweza kuwa jukwaa la mazungumzo kuhusu masuala ya usalama wa kimataifa, diplomasia ya kiuchumi na ushirikiano wa kimkakati.

Hata hivyo, Wachambuzi wa siasa za kimataifa wanasema mafanikio ya “Baraza la Amani” yatategemea uwazi wa ajenda zake, ushirikishwaji wa pande zote na utekelezaji wa maazimio yatakayopitishwa.

Mkutano huu wa kwanza unatarajiwa kuweka msingi wa vikao vingine vijavyo, huku macho ya jumuiya ya kimataifa yakielekezwa Washington kuona iwapo utazaa matokeo yenye tija katika kudumisha amani na utulivu wa dunia.

Toa maoni yako
#Habari
Ikulu ya Marekani yatangaza Nchi zitakazoshiriki mkutano wa kwanza wa “Baraza la Amani”. White House imetangaza rasmi orodha ya nchi zitakazotuma wawakilishi katika mkutano wa uzinduzi wa kile kinachoitwa “Baraza la Amani,” unaofanyika leo kwenye Ukumbi Donald J. Trump Institute for Peace. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, mkutano huo unalenga kuwakutanisha wadau wa kimataifa kwa ajili ya kujadili ajenda za ushirikiano wa usalama, diplomasia na utatuzi wa migogoro katika maeneo mbalimbali ya dunia. Orodha iliyotolewa inaonesha uwakilishi mpana kutoka Mabara tofauti, ikiashiria uzito wa mkutano huo katika medani ya siasa za kimataifa. - Albania - Austria - Azerbaijan - Bulgaria - Croatia - Cyprus - Jamhuri ya Czech - Finland - Ujerumani - Ugiriki - Hungaria - Italia - Poland - Romania - Slovakia - Uswisi - Uingereza - Norway - Uholanzi - Kosovo - Umoja wa Ulaya (EU) - Armenia - Bahrain - Cambodia - India - Indonesia - Israel - Japan - Jordan - Kazakhstan - Kuwait - Mongolia - Oman - Pakistan - Qatar - Korea Kusini - Saudi Arabia - Thailand - Uturuki - Falme za Kiarabu (UAE) - Uzbekistan - Vietnam - Argentina - El Salvador - Mexico Afrika - Misri - Morocco Ushiriki wa nchi kutoka kanda zenye mvutano wa kisiasa na kiusalama unaashiria kwamba mkutano huo unaweza kuwa jukwaa la mazungumzo kuhusu masuala ya usalama wa kimataifa, diplomasia ya kiuchumi na ushirikiano wa kimkakati. Hata hivyo, Wachambuzi wa siasa za kimataifa wanasema mafanikio ya “Baraza la Amani” yatategemea uwazi wa ajenda zake, ushirikishwaji wa pande zote na utekelezaji wa maazimio yatakayopitishwa. Mkutano huu wa kwanza unatarajiwa kuweka msingi wa vikao vingine vijavyo, huku macho ya jumuiya ya kimataifa yakielekezwa Washington kuona iwapo utazaa matokeo yenye tija katika kudumisha amani na utulivu wa dunia. Toa maoni yako #Habari
0 Kommentare 0 Anteile 13 Ansichten