UCHAWI DUUH! | Bidada ana anza kuhisi kwamba ndoto zake hazitatimia tena

Humu tunakutana na msichana mdogo anayeitwa Sonia anayeishi katika mji mdogo wa Marekani. Sonia ana ndoto ya kuwa mpishi maarufu, lakini anakumbana na changamoto nyingi katika njia yake. Mama yake Sonia ni mgonjwa sana, na Sonia analazimika kutunza familia yake huku akifanya kazi katika mgahawa wa kienyeji. Kazi yake ni ngumu, na bosi wake ni mkali sana. Sonia anaanza kuhisi kama ndoto yake haiwezekani... anakubali kuwa mchawi ili kutimiza ndoto zake Bira kujua kuwa, uchawi huwa na gharama zake. mzigo ni Comedy/Horror

Telegram 馃憞馃徎馃憞馃徎
https://t.me/HFilam_Official/1304
馃槵UCHAWI DUUH! | Bidada ana anza kuhisi kwamba ndoto zake hazitatimia tena 馃‍鈾傦笍Humu tunakutana na msichana mdogo anayeitwa Sonia anayeishi katika mji mdogo wa Marekani. Sonia ana ndoto ya kuwa mpishi maarufu, lakini anakumbana na changamoto nyingi katika njia yake. Mama yake Sonia ni mgonjwa sana, na Sonia analazimika kutunza familia yake huku akifanya kazi katika mgahawa wa kienyeji. Kazi yake ni ngumu, na bosi wake ni mkali sana. Sonia anaanza kuhisi kama ndoto yake haiwezekani... anakubali kuwa mchawi ili kutimiza ndoto zake Bira kujua kuwa, uchawi huwa na gharama zake. mzigo ni Comedy/Horror Telegram 馃憞馃徎馃憞馃徎 https://t.me/HFilam_Official/1304
Like
Love
6
1 Commentarios 0 Acciones 1K Views