MAPENZI .

Uhusiano unajengwa na watu wawili . Wawili hawa ili wadumu wanapaswa kuishi katika UKWELI . UKWELI wa maisha una USIRI mkubwa , unaweza kuubomoa ukiweka wazi UKWELI au unaweza kuujenga ukiweza kuyaishi maisha ya UONGO . Japo kuwa maisha ya uongo utakao kwepa huwezi kudumu milele .

#TAFAKARI

( UKWELI una faida & hasara zake , UONGO pia una faida & hasara zake )

MAPENZI ❤️‍🩹. Uhusiano unajengwa na watu wawili . Wawili hawa ili wadumu wanapaswa kuishi katika UKWELI . UKWELI wa maisha una USIRI mkubwa , unaweza kuubomoa ukiweka wazi UKWELI au unaweza kuujenga ukiweza kuyaishi maisha ya UONGO . Japo kuwa maisha ya uongo utakao kwepa huwezi kudumu milele . #TAFAKARI ( UKWELI una faida & hasara zake , UONGO pia una faida & hasara zake )
Like
1
· 0 Комментарии ·0 Поделились ·29 Просмотры