OFFICIAL: Kiungo wa Kijerumani wa klabu ya Real Madrid Toni Kroos ametangaza kwamba anastaafu kandanda baada ya mashindano ya Euro 2024

Na huu ndio unakuwa msimu wake wa mwisho ndani ya Real madrid baada ya miaka 10 tangu alipotua hapo akitokea Bayern Munich mwaka 2014 kwa dau la Pauni Milioni 25 .

Source : @fabriziorom

LEGEND : THE SNIPER
Page; Sports view
OFFICIAL: Kiungo wa Kijerumani wa klabu ya Real Madrid Toni Kroos ametangaza kwamba anastaafu kandanda baada ya mashindano ya Euro 2024 Na huu ndio unakuwa msimu wake wa mwisho ndani ya Real madrid baada ya miaka 10 tangu alipotua hapo akitokea Bayern Munich mwaka 2014 kwa dau la Pauni Milioni 25 . Source : @fabriziorom LEGEND : THE SNIPER Page; Sports view
Like
3
· 0 Commenti ·0 condivisioni ·102 Views