KITUNGUU MAJI
Ni dawa Madonda Koo (vidonda kooni)- kamua/safa Juisi yake mara 3 kutwa
Tiba ya kikohozi na mafua
Tiba ya masikio yanayouma, kuunguruma, kutoa usaha na usikivu hafifu - bandika nyuma ya sikio
Afya ya moyo- Kushusha presha na kuondoa hatari za shambulio la moyo- Kula vitunguu maji kikombe 1 mara 2 kutwa
Kuondoa tatizo la thrombosis. Research ya mwaka 2002 ilithibitisha kuwa sulfur inayopatikana kwenye kitunguu maji inaboresha mzunguko wa damu
Kuongeza hamu ya Ndoa na Nguvu ya Ujasiri wa kupanda Mlima , Kula kila siku kitunguuu 1@gram 100 kwa siku 30
Kifua kikuu ( Tegeneza juice nusu kilo ya vitunguu maji , ongeza na vijiko vitano vya asali , kisha igawanye hiyo juice itumie kwa siku mbili , kila siku ×3 kwa mda wa siku 45
Kidonda cha kawaida , Pondaponda kitunguu maji paka kwenye kidonda ulichosafisha , Asb na Jion hadi kitakapopona
Mba za Mwili (fungus) Kitunguu maji hutumika kutibu mba aina ya (Tinea vesikola) hawa mba hupendelea sehemu za juu kama usoni na shingoni , Ili kutibu kunywa glass tatu za juice kila siku na kupaka kitunguuu maji sehemu zilizoathirika kwa mda wa siku 10 -15
Matatizo ya Meno - Kila jion baada ya chakula kula kitunguu kimoja gram 10 ,kitafune pole pole kwa kutumia pande zote za taya , hii ni tiba kwa ajili ya kuua bacteria na Kupunguza maumivu ya meno na kuzuia kuoza meno
TAHADHARI
Kitunguu maji kina sifa ya kuongeza joto mwilini. Usitumie kama una homa

🛑🛑KITUNGUU MAJI
🛑Ni dawa Madonda Koo (vidonda kooni)- kamua/safa Juisi yake mara 3 kutwa
🛑Tiba ya kikohozi na mafua
🛑Tiba ya masikio yanayouma, kuunguruma, kutoa usaha na usikivu hafifu - bandika nyuma ya sikio
🛑Afya ya moyo- Kushusha presha na kuondoa hatari za shambulio la moyo- Kula vitunguu maji kikombe 1 mara 2 kutwa
🛑Kuondoa tatizo la thrombosis. Research ya mwaka 2002 ilithibitisha kuwa sulfur inayopatikana kwenye kitunguu maji inaboresha mzunguko wa damu
🛑Kuongeza hamu ya Ndoa na Nguvu ya Ujasiri wa kupanda Mlima , Kula kila siku kitunguuu 1@gram 100 kwa siku 30
🛑Kifua kikuu ( Tegeneza juice nusu kilo ya vitunguu maji , ongeza na vijiko vitano vya asali , kisha igawanye hiyo juice itumie kwa siku mbili , kila siku ×3 kwa mda wa siku 45
🛑Kidonda cha kawaida , Pondaponda kitunguu maji paka kwenye kidonda ulichosafisha , Asb na Jion hadi kitakapopona
🛑Mba za Mwili (fungus) Kitunguu maji hutumika kutibu mba aina ya (Tinea vesikola) hawa mba hupendelea sehemu za juu kama usoni na shingoni , Ili kutibu kunywa glass tatu za juice kila siku na kupaka kitunguuu maji sehemu zilizoathirika kwa mda wa siku 10 -15
🛑 Matatizo ya Meno - Kila jion baada ya chakula kula kitunguu kimoja gram 10 ,kitafune pole pole kwa kutumia pande zote za taya , hii ni tiba kwa ajili ya kuua bacteria na Kupunguza maumivu ya meno na kuzuia kuoza meno
TAHADHARI
Kitunguu maji kina sifa ya kuongeza joto mwilini. Usitumie kama una homa
3 Commentarii
·426 Views