DAWA YA MIGUU KUUMA, KUFA GANZI, KUVIMBA, KUWAKA MOTO PIA NI DAWA YA MAUMIVU YA KIUNO PIA NI DAWA YA KUTOA SUMU MWILINI PIA NI DAWA YA KUTOA MAUMIVU MAKALI YA MWILI PIA NI DAWA YA KUTOA VITU VINAVYOTEMBEA KWENYE MWILI.
Chemsha majani ya nyanya na tunda la nyanya ambalo ni bichi katakata vipande vidogovidogo pia chemsha majani ya mbaazi pamoja na majani ya kabechi(kabeji) hakikisha hivyo vitu vyote unachemsha kwa pamoja.
MATUMIZI.
1.KWA MIGUU KUUMA, KUFA GANZI, KUVIMBA, KUWAKA MOTO
Hiyo dawa yako uliyoichemsha utakuwa unajikanda ingali ya uvuguvugu na maji yake mengine utakuwa unakunywa kikombe kimoja Cha chai Cha dawa hiyo kujikanda jikande kutwa mara 2 ndani ya siku 7-14 lakini kunywa ni mara 3 kwa siku ndani ya siku 7-14.
2.MAUMIVU YA KIUNO
Uwe unajikanda hiyo dawa yako kutwa mara 2 kwa siku 5-7 pia utakuwa unakunywa maji yake kutwa mara 3 kwa siku 5-7.
3.KUTOA SUMU MWILINI
Utakuwa unakunywa kikombe Cha chai Cha hiyo dawa yako kutwa mara 3 kwa siku 7.
4.KUTOA MAUMIVU MAKALI YA MWILI
Utakuwa unajipiga nyungu hiyo dawa yako kutwa mara 2 kwa siku 3-5.
5.KUTOA VITU VINAVYOTEMBEA KWENYE MWILI
Utakuwa unajipiga nyungu hiyo dawa yako kutwa mara 2 kwa siku 5-7 pia utakuwa unakunywa kikombe Cha chai Cha hiyo dawa yako ingali ya uvuguvugu kutwa mara 3 kwa siku 5-7.

3 Comments
·260 Views