Pep Guardiola kuhusu Kompany kukaribia kusaini Bayern:
"Haijalishi kama alishuka daraja na Burnley".
"Nina maoni ya juu kuhusu kazi yake, kama mtu, haiba yake, ujuzi wa mchezo, jinsi anavyoshughulikia vyombo vya habari ... Ningefurahi kumuona Kompany akiwa Bayern".
#Sportsview

2 Comments
·507 Views