"Tuelekee Congo sasa tuanze kuitazama na kufahamu kiini cha machafuko ya Goma na kwanini Rwanda wanahusihwa!!..
Kwanza kabisa tujiulize kwanini machafuko yatokee Goma karibu kabisa na mpaka wa Rwanda yaani kule Kivu kusini na kaskazini ndio kiini cha mapigano na migogoro yote pale Congo sehemu hizi zinapakana na Rwanda pia ni sehemu ambazo ni ngome imara ya M23
Félix Tshisekedi Rais wa Congo anafahamu fika kiini cha mgogoro huu, Rais wa Rwanda Paul Kagame anafahamu vizuri sana kiini cha mgogoro huu na kwanini mara zote Congo imekuwa ikiishtumu Rwanda kuhusika na kufadhili M23, wote wanafahamu sababu na ukweli wa mambo
Ngoja nikuache na tafakuri ipo hivi wameuwawa wanajeshi 13 wa Afrika Kusini huko Goma sasa kilichotokea Rais wa Afrika Kusini Ramaphosa kampigia simu Kagame ili kutuliza machafuko Goma!! Jiulize Goma ipo Rwanda au Congo? na kwanini simu apigiwe Kagame?
Matejoo tutaendelea kuwapa madini taratibu mpaka tupate ukweli hatua kwa hatua lakini kwa sasa niseme wazi wa kumaliza yanayoendelea Congo ni Kagame na Tshisekedi ila Kagame ana nafasi kubwa zaidi!!!
Tukutane wakati mwingine ili ufahamu zaidi!!" - Zungu, Mchambuzi wa Siasa.

Kwanza kabisa tujiulize kwanini machafuko yatokee Goma karibu kabisa na mpaka wa Rwanda馃嚪馃嚰 yaani kule Kivu kusini na kaskazini ndio kiini cha mapigano na migogoro yote pale Congo sehemu hizi zinapakana na Rwanda pia ni sehemu ambazo ni ngome imara ya M23
Félix Tshisekedi Rais wa Congo anafahamu fika kiini cha mgogoro huu, Rais wa Rwanda Paul Kagame anafahamu vizuri sana kiini cha mgogoro huu na kwanini mara zote Congo imekuwa ikiishtumu Rwanda kuhusika na kufadhili M23, wote wanafahamu sababu na ukweli wa mambo
Ngoja nikuache na tafakuri ipo hivi wameuwawa wanajeshi 13 wa Afrika Kusini huko Goma sasa kilichotokea Rais wa Afrika Kusini Ramaphosa kampigia simu Kagame ili kutuliza machafuko Goma!! Jiulize Goma ipo Rwanda au Congo? na kwanini simu apigiwe Kagame?
Matejoo tutaendelea kuwapa madini taratibu mpaka tupate ukweli hatua kwa hatua馃憡 lakini kwa sasa niseme wazi wa kumaliza yanayoendelea Congo ni Kagame na Tshisekedi ila Kagame ana nafasi kubwa zaidi!!!