Naanzaje kukucheat, nakifata kipi?
Hakuna jipya duniani, nishafanya utafiti
Tena umewaacha mbali, ulipo we hawafikii
Maombi yangu toka kale, nimepata rafiki (mmmh)
Na hata nikiumwa, we ndo unanitibu wangu daktari
Kukupenda, ni wajibu nisiulizwe maswali
Baby, nipe taratibu huo utamu asali
Kukupenda ni wajibu nisiulizwe no, no
#LoveConnectsUs

4 Σχόλια
·754 Views