• .Exclusive kumhusu Mohammed Doumbia 🇨🇮

    ▪︎Elewa kuwa, Mohammed Doumbia amekaa nje ya kiwanja kwa zaidi ya siku 366 (wastani wa mwaka mmoja). Sababu kubwa ni mvutano mkubwa kati yake na management yake.

    ▪︎Elewa kuwa, Young Africans Sports Club hawakuwaza kabisa kumsajili Doumbia, na pengine akina Hersi Said walikuwa hawamjui kabisa. Nani aliwaunganisha.?

    ▪︎ Stephanie_aziz_ki ndiye aliyetumika kama daraja kwenye dili hili. Aliwaambia viongozi wa juu wa klabu kuwa, "kuna mchezaji mzuri; ni kiungo wa kati, anaweza kucheza kama kiungo mkabaji lakini amekaa nje ya pitch kwa muda mrefu kidogo. Kama itawezekana mnaweza kumtazama."

    ▪︎Uongozi wa klabu ukiongozwa na Mhandisi Hersi Said uliwasiliana na mchezaji na muda mchache, taratibu za kumsafirisha kuja Dar es Salaam zilianza.

    ▪︎Mohammed Doumbia alipokelewa vizuri na Uongozi. Bahati nzuri alifika siku ambayo klabu ilikuwa na session ya mazoezi jioni; Uongozi uliungana na Miloud Hamdi kumtazam Mohammed Doumbia kwenye pitch akifanya mazoezi na wenzake.

    ▪︎Kila mtu alitikisa kichwa. Kila mtu alikubali uwezo wake.! Huu ndio usajili wa kwanza kufanyika na Yanga msimu huu.

    #NB: Mohammed Doumbia, Pacome Zouzoua walienda nchini Czech Republic kwa pamoja; cha kukusisitiza ni kwamba Pacome Zouzoua alirudi Afrika, Doumbia aliendelea kukiwasha huko.
    .Exclusive kumhusu Mohammed Doumbia 🇨🇮 ▪︎Elewa kuwa, Mohammed Doumbia amekaa nje ya kiwanja kwa zaidi ya siku 366 (wastani wa mwaka mmoja). Sababu kubwa ni mvutano mkubwa kati yake na management yake. ▪︎Elewa kuwa, Young Africans Sports Club 🇹🇿 hawakuwaza kabisa kumsajili Doumbia, na pengine akina Hersi Said walikuwa hawamjui kabisa. Nani aliwaunganisha.? 👇👇 ▪︎ Stephanie_aziz_ki ndiye aliyetumika kama daraja kwenye dili hili. Aliwaambia viongozi wa juu wa klabu kuwa, "kuna mchezaji mzuri; ni kiungo wa kati, anaweza kucheza kama kiungo mkabaji lakini amekaa nje ya pitch kwa muda mrefu kidogo. Kama itawezekana mnaweza kumtazama." ▪︎Uongozi wa klabu ukiongozwa na Mhandisi Hersi Said uliwasiliana na mchezaji na muda mchache, taratibu za kumsafirisha kuja Dar es Salaam zilianza. ▪︎Mohammed Doumbia alipokelewa vizuri na Uongozi. Bahati nzuri alifika siku ambayo klabu ilikuwa na session ya mazoezi jioni; Uongozi uliungana na Miloud Hamdi kumtazam Mohammed Doumbia kwenye pitch akifanya mazoezi na wenzake. ▪︎Kila mtu alitikisa kichwa. Kila mtu alikubali uwezo wake.! Huu ndio usajili wa kwanza kufanyika na Yanga msimu huu. #NB: Mohammed Doumbia, Pacome Zouzoua walienda nchini Czech Republic 🇨🇿 kwa pamoja; cha kukusisitiza ni kwamba Pacome Zouzoua alirudi Afrika, Doumbia aliendelea kukiwasha huko. 🤔
    Like
    Love
    2
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·59 Vue
  • #NBCPremierleague
    #NBCPremierleague
    0 Commentaires ·0 Parts ·153 Vue
  • PETER TOSH (1944-1987)

    Mtunzi/mwimbaji wa Reggae, mwanaharakati Peter Tosh alizaliwa Winston Hubert McIntosh (aliyepewa jina la Waziri Mkuu wa Uingereza Winston Churchill) mnamo Oktoba 19, 1944, huko Westmoreland, parokia ya magharibi mwa Jamaika, na James McIntosh na Alvera Coke. Aliachwa na wazazi wote wawili na kulelewa na shangazi huko Grange Hill. Walakini, mnamo 1960, Tosh mwenye umri wa miaka 16 alihamia kwa hiari katika jamii ya Kingston's Trench Town na kuanza kuuza juisi ya miwa. Akiwa tayari amejikita katika kanisa la Kikristo la mahali hapo, ambako aliimba katika kwaya, Tosh alikuwa amejifunza kucheza chombo hicho na kufahamu gitaa. Pia alipata kuthaminiwa mapema kwa R&B na doo-wop kwa kusikiliza stesheni za redio zinazotumwa Karibea kutoka Marekani.

    Mnamo 1963, Tosh, Bob Marley, na Bunny Wailer walikuwa washiriki waanzilishi wa bendi ya Wailers huko Kingston. Tosh ndiye pekee katika kundi hilo aliyeweza kupiga ala za muziki, na aliwafundisha Wailers jinsi ya kupiga ala na mambo ya msingi ya muziki. Kundi hili lilichukua muziki wao unaotegemea Karibea hadi katika mdundo wa muziki wa mwamba wa hali ya juu ulioathiriwa na ufahamu wa kijamii na Rastafari. Wakosoaji wengi wa muziki walielezea sauti yao kama mwanzo wa reggae.

    Mnamo 1976, Tosh aliibuka kama mwimbaji pekee na mwanasiasa wa Jamaika alipotoa albamu yake ya kwanza iliyojitayarisha yenyewe ya Legalize It!  ambayo ilitaka kuhalalishwa kwa bangi. Albamu hiyo ilipigwa marufuku kutoka kwa matangazo ya redio huko Jamaica. Ilifikia kilele kwa no. 199 hata hivyo kwenye chati ya U.S. Billboard 200 na kubaki huko kwa wiki 2. Pia iliuza zaidi ya nakala milioni moja na ikasifiwa kuwa albamu bora ya Tosh. Albamu hii ilijumuisha "Igziabeher," "Ketchy Shuby," "Legalize It," "No Sympathy," "Till Your Well runs Dry," na "What'cha Gonna Do." Tosh pia alianzisha Bendi ya Reggae, Neno, Sauti, na Nguvu, mwaka huo huo. Sasa anayechukuliwa kuwa mwanaharakati wa Haki za Kibinadamu kwa utu mweusi na kiburi cha rangi, Tosh mwaka wa 1977, alitoa albamu yake ya pili, Haki sawa.

    Mnamo 1978, albamu ya Tosh Bush Doctor ilipata nafasi ya juu. 104 kwenye Billboard 200 na kusalia kwenye chati kwa wiki 20. Mwaka uliofuata, 1979, Mystic Man alifikia nambari. 123 na kukaa huko kwa wiki 10, huku mwaka wa 1981, Wanted Dread and Alive ilifikia nambari 91 na kusalia katika chati kwa wiki 13. Tosh alitoa Mama Africa mwaka wa 1983. Ilifikia nambari 59 na ikabaki thabiti kwa wiki 17. Mnamo 1984 Captured Lives  yake ilifikia nambari 152 na iliorodheshwa kwa wiki 8. Katika Tuzo za 27 za Mwaka za Grammy mnamo 1984, albamu iliteuliwa kwa "Rekodi Bora ya Reggae." Tosh pia alitumbuiza katika Uwanja wa Mashujaa wa Kitaifa wa Kingston kwenye Maonyesho ya Tuzo za Muziki za Rockers Magazine mnamo 1984. Katika Tuzo za 30 za Kila Mwaka za Grammy mnamo 1987, Tosh alishinda kwa "Rekodi Bora ya Reggae ya "No Nuclear War."

    Peter Tosh, mshiriki wa Rastafarism na baba wa watoto kumi, alikufa mnamo Septemba 11, 1987, katika Hospitali ya Chuo Kikuu cha West Indies Kingston baada ya kupigwa risasi na watu watatu wenye bunduki walioingia nyumbani kwake. Alikuwa 42.

    Mnamo mwaka wa 2012, Peter Tosh alitunukiwa baada ya kifo chake Tuzo la Ubora la Jamaika kama mwanamuziki mwenye kipawa na kipawa, mwigizaji, mwanafikra makini, na mwana asilia.
    PETER TOSH (1944-1987) Mtunzi/mwimbaji wa Reggae, mwanaharakati Peter Tosh alizaliwa Winston Hubert McIntosh (aliyepewa jina la Waziri Mkuu wa Uingereza Winston Churchill) mnamo Oktoba 19, 1944, huko Westmoreland, parokia ya magharibi mwa Jamaika, na James McIntosh na Alvera Coke. Aliachwa na wazazi wote wawili na kulelewa na shangazi huko Grange Hill. Walakini, mnamo 1960, Tosh mwenye umri wa miaka 16 alihamia kwa hiari katika jamii ya Kingston's Trench Town na kuanza kuuza juisi ya miwa. Akiwa tayari amejikita katika kanisa la Kikristo la mahali hapo, ambako aliimba katika kwaya, Tosh alikuwa amejifunza kucheza chombo hicho na kufahamu gitaa. Pia alipata kuthaminiwa mapema kwa R&B na doo-wop kwa kusikiliza stesheni za redio zinazotumwa Karibea kutoka Marekani. Mnamo 1963, Tosh, Bob Marley, na Bunny Wailer walikuwa washiriki waanzilishi wa bendi ya Wailers huko Kingston. Tosh ndiye pekee katika kundi hilo aliyeweza kupiga ala za muziki, na aliwafundisha Wailers jinsi ya kupiga ala na mambo ya msingi ya muziki. Kundi hili lilichukua muziki wao unaotegemea Karibea hadi katika mdundo wa muziki wa mwamba wa hali ya juu ulioathiriwa na ufahamu wa kijamii na Rastafari. Wakosoaji wengi wa muziki walielezea sauti yao kama mwanzo wa reggae. Mnamo 1976, Tosh aliibuka kama mwimbaji pekee na mwanasiasa wa Jamaika alipotoa albamu yake ya kwanza iliyojitayarisha yenyewe ya Legalize It!  ambayo ilitaka kuhalalishwa kwa bangi. Albamu hiyo ilipigwa marufuku kutoka kwa matangazo ya redio huko Jamaica. Ilifikia kilele kwa no. 199 hata hivyo kwenye chati ya U.S. Billboard 200 na kubaki huko kwa wiki 2. Pia iliuza zaidi ya nakala milioni moja na ikasifiwa kuwa albamu bora ya Tosh. Albamu hii ilijumuisha "Igziabeher," "Ketchy Shuby," "Legalize It," "No Sympathy," "Till Your Well runs Dry," na "What'cha Gonna Do." Tosh pia alianzisha Bendi ya Reggae, Neno, Sauti, na Nguvu, mwaka huo huo. Sasa anayechukuliwa kuwa mwanaharakati wa Haki za Kibinadamu kwa utu mweusi na kiburi cha rangi, Tosh mwaka wa 1977, alitoa albamu yake ya pili, Haki sawa. Mnamo 1978, albamu ya Tosh Bush Doctor ilipata nafasi ya juu. 104 kwenye Billboard 200 na kusalia kwenye chati kwa wiki 20. Mwaka uliofuata, 1979, Mystic Man alifikia nambari. 123 na kukaa huko kwa wiki 10, huku mwaka wa 1981, Wanted Dread and Alive ilifikia nambari 91 na kusalia katika chati kwa wiki 13. Tosh alitoa Mama Africa mwaka wa 1983. Ilifikia nambari 59 na ikabaki thabiti kwa wiki 17. Mnamo 1984 Captured Lives  yake ilifikia nambari 152 na iliorodheshwa kwa wiki 8. Katika Tuzo za 27 za Mwaka za Grammy mnamo 1984, albamu iliteuliwa kwa "Rekodi Bora ya Reggae." Tosh pia alitumbuiza katika Uwanja wa Mashujaa wa Kitaifa wa Kingston kwenye Maonyesho ya Tuzo za Muziki za Rockers Magazine mnamo 1984. Katika Tuzo za 30 za Kila Mwaka za Grammy mnamo 1987, Tosh alishinda kwa "Rekodi Bora ya Reggae ya "No Nuclear War." Peter Tosh, mshiriki wa Rastafarism na baba wa watoto kumi, alikufa mnamo Septemba 11, 1987, katika Hospitali ya Chuo Kikuu cha West Indies Kingston baada ya kupigwa risasi na watu watatu wenye bunduki walioingia nyumbani kwake. Alikuwa 42. Mnamo mwaka wa 2012, Peter Tosh alitunukiwa baada ya kifo chake Tuzo la Ubora la Jamaika kama mwanamuziki mwenye kipawa na kipawa, mwigizaji, mwanafikra makini, na mwana asilia.
    Love
    1
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·598 Vue
  • Match Day | SEMI FINAL

    ⚪️ UEFA Nations League

    Ⓜ  Spain France
      Midnight
    EAT | 22:00 PM
    EAT | 22:00 PM
      IND | 12:30 AM
      UAE | 11:00 PM
    ZIM | 09:00 PM
    GMT | 19:00
      Live Link
    https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match


    𝗠𝗼𝗿𝗲 𝗠𝗮𝘁𝗰𝗵𝗲𝘀:
    ⚪️ World Cup Qualification CONMEBOL

    Ecuador Vs Brazil 02:00 EAT
    Paraguay Vs Uruguay 02:00 EAT
    Chile Vs Argentina 04:00 EAT
      https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match

    #Share

    𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V5
    ▶︎ ●────────── 0:41
    ⚡ Match Day | SEMI FINAL ✨ ⚪️🟢 UEFA Nations League Ⓜ  Spain 🇪🇸 🆚 France 🇫🇷 📅  Midnight 🇹🇿 EAT | 22:00 PM 🇰🇪 EAT | 22:00 PM 🇮🇳  IND | 12:30 AM 🇦🇪  UAE | 11:00 PM 🇿🇼 ZIM | 09:00 PM 🌎 GMT | 19:00 📺  Live Link 👉 https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match 🔴🔴 𝗠𝗼𝗿𝗲 𝗠𝗮𝘁𝗰𝗵𝗲𝘀: ⚪️🟢 World Cup Qualification CONMEBOL Ecuador 🇪🇨 Vs Brazil 🇧🇷 02:00 EAT Paraguay 🇵🇾 Vs Uruguay 🇺🇾 02:00 EAT Chile 🇨🇱 Vs Argentina 🇦🇷 04:00 EAT 👉  https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match #Share ⚽🔜 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V5 ▶︎ ●────────── 0:41
    0 Commentaires ·0 Parts ·465 Vue
  • *Tuwatende kwa akiri sehemu ya pili*

    Nikutakie asubui njema na tafakuri njema juu ya neno la asubui na mungu akupe jicho la ndani katika kujifunza na kuifanikisha siku yako .

    Yakobo alikuwa ni mtu aliye pewa baraka na baba yake isacka kabla ya kuomdoka kwenda kwa labani..

    Mwanzo 27:27-29
    [27]Akakaribia akambusu. Naye akasikia harufu ya mavazi yake, akambariki akasema,
    Tazama, harufu ya mwanangu
    Ni kama harufu ya shamba alilolibariki Bwana:

    [28]Mungu na akupe ya umande wa mbingu,
    Na ya manono ya nchi,
    Na wingi wa nafaka na mvinyo.
    :
    [29]Mataifa na wakutumikie
    Na makabila wakusujudie,
    Uwe bwana wa ndugu zako,
    Na wana wa mama yako na wakusujudie.
    alaaniwe,
    Na atakayekubariki abarikiwe.

    Kwa mktadha huo yakobo alikuwa amebarikiwa na hata yeye mwenyewe alijijua kuwa amebarikiwa nahata alipo kuwa akienda alihakikishiwa na Mungu mwenyewe aliye mtokea katika njosi

    Mwanzo 28:12-15
    [12]Akaota ndoto; na tazama, ngazi imesimamishwa juu ya nchi, na ncha yake yafika mbinguni. Tena, tazama, malaika wa Mungu wanapanda, na kushuka juu yake.
    And he dreamed, and behold a ladder set up on the earth, and the top of it reached to heaven: and behold the angels of God ascending and descending on it.
    [13]Na tazama, BWANA amesimama juu yake, akasema, Mimi ni BWANA, Mungu wa Ibrahimu baba yako, na Mungu wa Isaka; nchi hii uilalayo nitakupa wewe na uzao wako.

    [14]Na uzao wako utakuwa kama mavumbi ya nchi, nawe utaenea upande wa magharibi, na mashariki, na kaskazini, na kusini; na katika wewe, na katika uzao wako, jamaa zote za dunia watabarikiwa.
    .
    [15]Na tazama, mimi nipo pamoja nawe, nitakulinda kila uendako, nami nitakuleta tena mpaka nchi hii, kwa maana sitakuacha, hata nitakapokufanyia hayo niliyokuambia.

    Ko ukitizama vizuri utaona kuwa ana uhakika wa kuwa yeye ni mbarikiwa kabisa lakini haikuzuia yeye kulogwa kwa kuwa tu alijisahau kidogo .

    Unasema nimejuaje kama alilogwa ,Uwezi kulala na mwanamke mpka asubui ndo ugundue kumbe uliwekewa asiye mwenyewe yaani lea badala ya Raheli .

    Kwanini labani alifanya hivyo alijua siri ya baraka alizo nazo ni sababu ya Yakobo na Yakobo kapenda akasema acha nitumie uzaifu wake huu kununua miaka 7 mingine( ok unazani kama akulogwa alifanya nini ?)
    Mwanzo 29:18,21-22,25
    [18]Yakobo akampenda Raheli akasema, Nitakutumikia miaka saba kwa kumpata Raheli, binti yako

    [21]Yakobo akamwambia Labani, Nipe mke wangu, maana siku zangu zimetimia; niingie kwake.
    .
    [22]Labani akakusanya watu wote wa mahali
    .
    [25]Ikawa, kulipokuwa asubuhi, kumbe! Ni Lea. Akamwambia Labani, Nini hii uliyonitenda?


    Mtu huyu aliye logwa ndiye mtu aliye kuwa anaishi na baraka alizo pewa na isacka babayake na ndiye aliyetokewa na Mungu na kuhaidiwa kabisa kuwa nitakuwa pamoja nawe.

    Mpaka alipo kuja kugundua na kuanza kuishi maisha

    Mpaka siku anaanza kidai kuondoka bado labani znamng'ang'ania kwa kumpa promotion ili tucaendelee kumtumia.

    Ndivyo ilivyo hata sisi vivyo wivyo watu wanatendwa kwa akiri kwa namna tofauti.

    Kuitwa mbarikiwa au kuokoka pasipo maarifa hakumzuii shetani kukutenda kwa akiri.

    Yakobo sababu ya kumpenda rahel labani akatumia kama fimbo ya kuchezea trick sijui kuhusu wewe ni nini ambacho kinaujaza sana moyo wako ambacho shetani anaweza kukitumia kuharibu uhusiano wako na Mungu wako.

    Au kupoteza kasi yako ya imanii . Watu wengi ksi zao zimepungua baada ya kupata kile walicho zani wanahitaji shetani katumia mlango huo kuharibu kasi yao.

    Yakobo alikumbuka na baada tu ya kukumbuka alipo dai kutaka kurudi nyumbani milango ya baraka zikafunguka na ahadi za Mungu zikatembea pamoja naye .

    Alienda kama yakobo kijana akarudi na watoto na utajiri mwingi sana pamoja na wafanyakazi .

    Ok i hope umejifunza kitu unaweza nisaidia kushare link hii ili wengine pia wajifunze neno la Mungu.

    https://chat.whatsapp.com/IxkPEsnxi02ExNGrlmbWR4

    Hata wewe ukijua ni wapi shetani alipatumia ku *"kukudemote by promotion."*

    Yakobo yeye alikuwa rahel sababu ya mapenzi akarogwa kwa kupewa mwingine kwanza ili amgharamie na rahel pia miaka saba mingine yeye azidi barikiwa sana kupitia wewe.

    Yaweza kuwa wewe ni Ndoa unakuta dada kabla ya ndoa ulikuwa unaduka lako na uko charming sans na wateja wako wengi ni wanaume lakini baadaye umeolewa na ndoa ni kitu chema kabisa lakini jamaa ana wivu mpaka basi n kwa kuwa unampenda na unapaswa kutii unajikuta umebadirisha namna ya jinsi ulivyo kuwa unbehave .

    Kuna watu walikuwa wananunua sababu tu ya tabasamu lako na sahizi uko dukani uko seriously muda wote ni nini kimetokea ndoa imeharibu ustawi wako pasipo kujua na huko ndiko kutendwa kwa akiri.

    Tujitahidi sana tunavyo omba Mungu catupe tunavyo vitamani tuombe visiwe vikwazo katika shining yetu na Mungu wetu na maisha yetu na hapo sisi tutakuwa tumeweza .

    Musa alikataaa kuwa prince wa falao akaona bora kuwa mtumwa pamoja na ndugu zake na wakati ulipo fika kila mtu anamfahamu Musa kama mtu na nabii wa Mungu zliye tembea sana na Mungu .

    Lakini mtu huyu alikataa kutendwa kwa akiri na binti potifela .

    Ok i hope umejifunza kitu unaweza nisaidia kushare link hii ili wengine pia wajifunze neno la Mungu.

    https://chat.whatsapp.com/IxkPEsnxi02ExNGrlmbWR4

    Ok naitwa Sylvester Mwakabende kutoka (build new eden)

    #build new eden
    #restore men position
    #year of reformation and revival
    *Tuwatende kwa akiri sehemu ya pili* Nikutakie asubui njema na tafakuri njema juu ya neno la asubui na mungu akupe jicho la ndani katika kujifunza na kuifanikisha siku yako . Yakobo alikuwa ni mtu aliye pewa baraka na baba yake isacka kabla ya kuomdoka kwenda kwa labani.. Mwanzo 27:27-29 [27]Akakaribia akambusu. Naye akasikia harufu ya mavazi yake, akambariki akasema, Tazama, harufu ya mwanangu Ni kama harufu ya shamba alilolibariki Bwana: [28]Mungu na akupe ya umande wa mbingu, Na ya manono ya nchi, Na wingi wa nafaka na mvinyo. : [29]Mataifa na wakutumikie Na makabila wakusujudie, Uwe bwana wa ndugu zako, Na wana wa mama yako na wakusujudie. alaaniwe, Na atakayekubariki abarikiwe. Kwa mktadha huo yakobo alikuwa amebarikiwa na hata yeye mwenyewe alijijua kuwa amebarikiwa nahata alipo kuwa akienda alihakikishiwa na Mungu mwenyewe aliye mtokea katika njosi Mwanzo 28:12-15 [12]Akaota ndoto; na tazama, ngazi imesimamishwa juu ya nchi, na ncha yake yafika mbinguni. Tena, tazama, malaika wa Mungu wanapanda, na kushuka juu yake. And he dreamed, and behold a ladder set up on the earth, and the top of it reached to heaven: and behold the angels of God ascending and descending on it. [13]Na tazama, BWANA amesimama juu yake, akasema, Mimi ni BWANA, Mungu wa Ibrahimu baba yako, na Mungu wa Isaka; nchi hii uilalayo nitakupa wewe na uzao wako. [14]Na uzao wako utakuwa kama mavumbi ya nchi, nawe utaenea upande wa magharibi, na mashariki, na kaskazini, na kusini; na katika wewe, na katika uzao wako, jamaa zote za dunia watabarikiwa. . [15]Na tazama, mimi nipo pamoja nawe, nitakulinda kila uendako, nami nitakuleta tena mpaka nchi hii, kwa maana sitakuacha, hata nitakapokufanyia hayo niliyokuambia. Ko ukitizama vizuri utaona kuwa ana uhakika wa kuwa yeye ni mbarikiwa kabisa lakini haikuzuia yeye kulogwa kwa kuwa tu alijisahau kidogo . Unasema nimejuaje kama alilogwa ,Uwezi kulala na mwanamke mpka asubui ndo ugundue kumbe uliwekewa asiye mwenyewe yaani lea badala ya Raheli . Kwanini labani alifanya hivyo alijua siri ya baraka alizo nazo ni sababu ya Yakobo na Yakobo kapenda akasema acha nitumie uzaifu wake huu kununua miaka 7 mingine( ok unazani kama akulogwa alifanya nini ?) Mwanzo 29:18,21-22,25 [18]Yakobo akampenda Raheli akasema, Nitakutumikia miaka saba kwa kumpata Raheli, binti yako [21]Yakobo akamwambia Labani, Nipe mke wangu, maana siku zangu zimetimia; niingie kwake. . [22]Labani akakusanya watu wote wa mahali . [25]Ikawa, kulipokuwa asubuhi, kumbe! Ni Lea. Akamwambia Labani, Nini hii uliyonitenda? Mtu huyu aliye logwa ndiye mtu aliye kuwa anaishi na baraka alizo pewa na isacka babayake na ndiye aliyetokewa na Mungu na kuhaidiwa kabisa kuwa nitakuwa pamoja nawe. Mpaka alipo kuja kugundua na kuanza kuishi maisha Mpaka siku anaanza kidai kuondoka bado labani znamng'ang'ania kwa kumpa promotion ili tucaendelee kumtumia. Ndivyo ilivyo hata sisi vivyo wivyo watu wanatendwa kwa akiri kwa namna tofauti. Kuitwa mbarikiwa au kuokoka pasipo maarifa hakumzuii shetani kukutenda kwa akiri. Yakobo sababu ya kumpenda rahel labani akatumia kama fimbo ya kuchezea trick sijui kuhusu wewe ni nini ambacho kinaujaza sana moyo wako ambacho shetani anaweza kukitumia kuharibu uhusiano wako na Mungu wako. Au kupoteza kasi yako ya imanii . Watu wengi ksi zao zimepungua baada ya kupata kile walicho zani wanahitaji shetani katumia mlango huo kuharibu kasi yao. Yakobo alikumbuka na baada tu ya kukumbuka alipo dai kutaka kurudi nyumbani milango ya baraka zikafunguka na ahadi za Mungu zikatembea pamoja naye . Alienda kama yakobo kijana akarudi na watoto na utajiri mwingi sana pamoja na wafanyakazi . Ok i hope umejifunza kitu unaweza nisaidia kushare link hii ili wengine pia wajifunze neno la Mungu. https://chat.whatsapp.com/IxkPEsnxi02ExNGrlmbWR4 Hata wewe ukijua ni wapi shetani alipatumia ku *"kukudemote by promotion."* Yakobo yeye alikuwa rahel sababu ya mapenzi akarogwa kwa kupewa mwingine kwanza ili amgharamie na rahel pia miaka saba mingine yeye azidi barikiwa sana kupitia wewe. Yaweza kuwa wewe ni Ndoa unakuta dada kabla ya ndoa ulikuwa unaduka lako na uko charming sans na wateja wako wengi ni wanaume lakini baadaye umeolewa na ndoa ni kitu chema kabisa lakini jamaa ana wivu mpaka basi n kwa kuwa unampenda na unapaswa kutii unajikuta umebadirisha namna ya jinsi ulivyo kuwa unbehave . Kuna watu walikuwa wananunua sababu tu ya tabasamu lako na sahizi uko dukani uko seriously muda wote ni nini kimetokea ndoa imeharibu ustawi wako pasipo kujua na huko ndiko kutendwa kwa akiri. Tujitahidi sana tunavyo omba Mungu catupe tunavyo vitamani tuombe visiwe vikwazo katika shining yetu na Mungu wetu na maisha yetu na hapo sisi tutakuwa tumeweza . Musa alikataaa kuwa prince wa falao akaona bora kuwa mtumwa pamoja na ndugu zake na wakati ulipo fika kila mtu anamfahamu Musa kama mtu na nabii wa Mungu zliye tembea sana na Mungu . Lakini mtu huyu alikataa kutendwa kwa akiri na binti potifela . Ok i hope umejifunza kitu unaweza nisaidia kushare link hii ili wengine pia wajifunze neno la Mungu. https://chat.whatsapp.com/IxkPEsnxi02ExNGrlmbWR4 Ok naitwa Sylvester Mwakabende kutoka (build new eden) #build new eden #restore men position #year of reformation and revival
    0 Commentaires ·0 Parts ·643 Vue
  • Match Day | SEMI FINAL

    ⚪️ UEFA Nations League

    Ⓜ  Germany Portugal
      Midnight
    EAT | 22:00 PM
    EAT | 22:00 PM
      IND | 12:30 AM
      UAE | 11:00 PM
    ZIM | 09:00 PM
      Live Link
    https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match


    𝗠𝗼𝗿𝗲 𝗠𝗮𝘁𝗰𝗵𝗲𝘀:
      https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match

    #Share
    ⚡ Match Day | SEMI FINAL ✨ ⚪️🟢 UEFA Nations League Ⓜ  Germany 🆚 Portugal 📅  Midnight 🇹🇿 EAT | 22:00 PM 🇰🇪 EAT | 22:00 PM 🇮🇳  IND | 12:30 AM 🇦🇪  UAE | 11:00 PM 🇿🇼 ZIM | 09:00 PM 📺  Live Link 👉 https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match 🔴🔴 𝗠𝗼𝗿𝗲 𝗠𝗮𝘁𝗰𝗵𝗲𝘀: 👉  https://duduumendez.xyz/service/football-streaming-match #Share ⚽🔜
    Like
    Love
    2
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·472 Vue
  • 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘

    #nbcpremierleague
    ⚽️ Young Africans SCNamungo FC
    13.05.2025
    🏟 KMC Complex
    10:15 Jioni

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #nbcpremierleague ⚽️ Young Africans SC🆚Namungo FC 📆 13.05.2025 🏟 KMC Complex 🕖 10:15 Jioni #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Love
    1
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·827 Vue
  • .DIRISHA LA USAJILI YANGA SC 2025 –2026 MABADILIKO MAKUBWA YAMEANZA KUFANYIKA MAPEMA!

    Muda wa kujipanga upya kwa mashindano makubwa – NBCPL & CAF!

    ---

    WALIOSAJILIWA (RASMI):

    1. Feisal Salum – Kiungo mnyumbulifu anarudi nyumbani kuongoza mashambulizi.

    2. Jonathan Sowah – Mshambuliaji hatari, amekuja kuvuruga mabeki!

    3. Arthur Bada – Kiungo chipukizi wa Kitanzania mwenye vision ya juu.

    4. Obasogie – Kipa mpya, ukuta mpya wa mabingwa.

    ---

    WALIOUZWA (CONFIRMED):

    Aziz Ki

    Djigui Diarra

    Clement Mzize

    Yanga wamefanya biashara kubwa kuwatoa mastaa hawa baada ya mchango wao mkubwa.

    ---

    HAWAMO KWENYE MPANGO:

    Kennedy Musonda

    Aboubakar Khomeiny

    Yao Kouassi

    Taarifa zinasema hawa jamaa hawapo tena kwenye ramani ya Yanga msimu ujao.

    ---

    WANAOWINDWA:

    Aishi Manula

    Pascal Msindo

    Kelvin Nashon

    Henock Inonga Baka

    Yanga wanataka kutengeneza mashine mpya ya ushindi.

    ---

    WANAOFANYIWA TATHMINI (Loan/Exit):

    Jonas Mkude

    Aziz Andambwile

    Sureboy

    Farid Musa

    Jonathan Ikangalombo

    Mwalimu anatazama uwezo wao kabla ya kufanya maamuzi ya mwisho.

    ---

    MABADILIKO YA KISHINDO – YANGA SC INAJIPANGA UPYA KIBINGWA!
    .DIRISHA LA USAJILI YANGA SC 2025 –2026 MABADILIKO MAKUBWA YAMEANZA KUFANYIKA MAPEMA! Muda wa kujipanga upya kwa mashindano makubwa – NBCPL & CAF! --- ✅ WALIOSAJILIWA (RASMI): 1. Feisal Salum – Kiungo mnyumbulifu anarudi nyumbani kuongoza mashambulizi. ✍️ 2. Jonathan Sowah – Mshambuliaji hatari, amekuja kuvuruga mabeki! ⚔️ 3. Arthur Bada – Kiungo chipukizi wa Kitanzania mwenye vision ya juu. 🔥 4. Obasogie – Kipa mpya, ukuta mpya wa mabingwa. 🧤 --- 🔁 WALIOUZWA (CONFIRMED): Aziz Ki Djigui Diarra Clement Mzize Yanga wamefanya biashara kubwa kuwatoa mastaa hawa baada ya mchango wao mkubwa. --- ⛔ HAWAMO KWENYE MPANGO: Kennedy Musonda Aboubakar Khomeiny Yao Kouassi Taarifa zinasema hawa jamaa hawapo tena kwenye ramani ya Yanga msimu ujao. --- 🎯 WANAOWINDWA: Aishi Manula Pascal Msindo Kelvin Nashon Henock Inonga Baka Yanga wanataka kutengeneza mashine mpya ya ushindi. --- 🕵️‍♂️ WANAOFANYIWA TATHMINI (Loan/Exit): Jonas Mkude Aziz Andambwile Sureboy Farid Musa Jonathan Ikangalombo Mwalimu anatazama uwezo wao kabla ya kufanya maamuzi ya mwisho. --- MABADILIKO YA KISHINDO – YANGA SC INAJIPANGA UPYA KIBINGWA!
    Like
    Love
    2
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·898 Vue
  • CAF CONFEDERATION CUP
    .
    STELLENBOSCH SIMBA SC
    16:00
    Moses Mabhida
    .
    Jioni ya leo, Tanzania Yote itasimama kwa dakika 90 kuanzia saa 10:00 jioni. Ni mchezo ambao SIMBA SC wanahitaji sare au ushindi ili waweze Kutinga Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.
    .
    Kila la kheri @SimbaSCTanzania

    #paulswai
    CAF CONFEDERATION CUP 🏆 . 🇿🇦 STELLENBOSCH 🆚 SIMBA SC 🇹🇿 ⏰ 16:00 🏟️ Moses Mabhida . Jioni ya leo, Tanzania 🇹🇿 Yote itasimama kwa dakika 90 kuanzia saa 10:00 jioni. Ni mchezo ambao SIMBA SC wanahitaji sare au ushindi ili waweze Kutinga Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. . Kila la kheri @SimbaSCTanzania 🇹🇿 #paulswai
    Like
    2
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·934 Vue
  • Habari ya jion tena .leo tunaendelea tena na tafsiri ya ndoto kiroho kwa kutumia biblia .

    Ukiota ndoto umekaa na viongozi wakuu wanchi ,unawawakilisha au hata unashare nao majukumu au company ywko ndotoni nini maana yake.?

    Mithali 18:16

    1.Ndoto hii inaashiria karama au kibali kinacho kuja mbele yako au uwezo wako wa ndani rohoni jinsi unavyo tizamwa.

    2.Inawakilisha kuwa kuna msimu mpya unakuja na nafasi mpya njema katika maisha yako.

    3. Inaonyesha pia unaweza ukawa unashare naye destiny huyo kiongozi yaani rohoni mko level moja sasa inategemea huyo uongozi wake msingi wake ni upi?


    Mwanzo 40:9-23 wote waliota ndoto zinazo elekeana lakini hazikufanana

    4.Unaukuu ndani yako wa kiuongozi ni vile tu umejisahau sana .anza kuliishi kusudi lako ili uifikie hatma yako.
    Zaburi 113:7-8

    Maana ya jumla .
    Viongozi katika ndotocwanawakilisha roho yenye mamlaka ya kutawala na yenye nguvu wakutawala na kumiliki juu ya nchi.

    Unapo wakilisha wakuu au kuona nafasi ya ukuu ndani yako wanawakikisha kutiwa mafuta kwa nafsi yako ili upate kuwa mtu fulani katika nchi.

    Ndoto za ukuu mara nyingi zinakuwaga na vita sana zinataka kusimama sana na Mungu kwani ukitaka kuona msome yusuph katika mwanzo 37

    NB .Kuota swala moja na kutimia swala moja ili litimie lazima ujifunze namna ya kuomba Mungu.

    Namna ya kuomba .

    1.kuwa mtu wa imani amini anza kuomba rehema na shukrani.

    2.Omba Mungu aifanikishe isibaki kuwa ndoto tu (ndoto iliyo zuiwa rohoni)

    3.Chuchumilia mbele za Mungu mpaka itimie kwa mifungo mingi na maombi mengi sana.

    4.Kama kuna nafasi chuku hatua ya kuomba Mungu akusogezee watu sahii ambao wanaweza kuwa wakuu.

    Ok naitwa sylvester kutoka (build new eden.
    Habari ya jion tena .leo tunaendelea tena na tafsiri ya ndoto kiroho kwa kutumia biblia . Ukiota ndoto umekaa na viongozi wakuu wanchi ,unawawakilisha au hata unashare nao majukumu au company ywko ndotoni nini maana yake.? Mithali 18:16 1.Ndoto hii inaashiria karama au kibali kinacho kuja mbele yako au uwezo wako wa ndani rohoni jinsi unavyo tizamwa. 2.Inawakilisha kuwa kuna msimu mpya unakuja na nafasi mpya njema katika maisha yako. 3. Inaonyesha pia unaweza ukawa unashare naye destiny huyo kiongozi yaani rohoni mko level moja sasa inategemea huyo uongozi wake msingi wake ni upi? Mwanzo 40:9-23 wote waliota ndoto zinazo elekeana lakini hazikufanana 4.Unaukuu ndani yako wa kiuongozi ni vile tu umejisahau sana .anza kuliishi kusudi lako ili uifikie hatma yako. Zaburi 113:7-8 Maana ya jumla . Viongozi katika ndotocwanawakilisha roho yenye mamlaka ya kutawala na yenye nguvu wakutawala na kumiliki juu ya nchi. Unapo wakilisha wakuu au kuona nafasi ya ukuu ndani yako wanawakikisha kutiwa mafuta kwa nafsi yako ili upate kuwa mtu fulani katika nchi. Ndoto za ukuu mara nyingi zinakuwaga na vita sana zinataka kusimama sana na Mungu kwani ukitaka kuona msome yusuph katika mwanzo 37 NB .Kuota swala moja na kutimia swala moja ili litimie lazima ujifunze namna ya kuomba Mungu. Namna ya kuomba . 1.kuwa mtu wa imani amini anza kuomba rehema na shukrani. 2.Omba Mungu aifanikishe isibaki kuwa ndoto tu (ndoto iliyo zuiwa rohoni) 3.Chuchumilia mbele za Mungu mpaka itimie kwa mifungo mingi na maombi mengi sana. 4.Kama kuna nafasi chuku hatua ya kuomba Mungu akusogezee watu sahii ambao wanaweza kuwa wakuu. Ok naitwa sylvester kutoka (build new eden.
    Share on WhatsApp
    w.app
    WhatsApp Messenger: More than 2 billion people in over 180 countries use WhatsApp to stay in touch with friends and family, anytime and anywhere. WhatsApp is free and offers simple, secure, reliable messaging and calling, available on phones all over the world.
    Love
    1
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·942 Vue
  • NUSU FAINALI KLABU BINGWA

    Mamelody Vs Al Ahly

    Orlando Vs Pyramids

    NB; South Africa Vs Misri
    NUSU FAINALI KLABU BINGWA Mamelody Vs Al Ahly Orlando Vs Pyramids NB; South Africa Vs Misri
    Love
    Like
    3
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·520 Vue
  • Yanga walianza mchezo vizuri sana kwa kufanya kila kitu kwa usahihi pale wanapokuwa na mpira na wasipokuwa na mpira . Kivipi ?

    1: Wakati wanaanza build up wanakuwa na muundo mzuri wa 2-3-4-1 unawapa walinzi wao machaguo ya kupasia mipira (Job na Bakari wanakuwa nyuma then FBs wanakuwa mstari moja na Aucho , hapo Yanga wanapata msingi sahihi ya kufika kwenye eneo la mwisho kwa kupitia katikati na pembeni ya uwanja , rahisi kuishinda pressing ya Coastal ambayo hawakuwa na idadi nzuri ya wachezaji wakati wanaweka presha .

    2: Kwasababu Coastal Union hawakuweka presha vizuri kwenye mpira na positioning ya wachezaji wa Yanga ilikuwa nzuri , hapo ikawa rahisi kwa Yanga kufika eneo la mwisho baada ya hapo ni Yanga kuwa wafanisi mbele ya goli (unatumiaje nafasi kuimaliza game) .

    Maxi na Pacome waliuliza maswali magumu kwa walinzi wa Coastal walibadilishana nafasi kutokana na wapi mpira ulipo , nafasi zilikuwepo hasa kwenye zile “Half Spaces” na ndio maana pamoja na Coastal kuzuia wakiwa chini mda mwingi lakini Yanga waliwafungua kirahisi kwasababu wachezaji wao walikuwa mara nyingi wanachelewa kufika kwenye eneo la tukio .

    Nafikiri Coastal walijua kabisa hawawezi kupishana na Yanga kutokana na ubora wa mpinzani wake , wakaamua kuchagua vita yao ya kuzuia wakiwa chini na kuweka mtego wa kushambulia kwa kushtukiza . Lakini kuna nyakati wakivuka kwenye mstari wa kati wanachotegemea ni ubora wa mchezaji mmoja mmoja kufanya jambo kubwa .

    NOTE :

    1: Golikipa wa Coastal “FALESI” kafanya saves nyingi nzuri (kupunguza idadi ya magoli)

    2: Maxi na Pacome wamecheza game nzuri sana (Rotation ya nafasi , positioning zao zilikuwa sahihi )

    3: Lawi kacheza vizuri sana kwenye kiungo nimependa Energy ya Maabad

    4: Pacome goli la 8 kwenye NBCPL ( anakupa magoli na kufanya vitu vingine vitokee uwanjani kwa dribbling na Positioning yake )

    FT: Yanga 1-0 Coastal Union .
    (Kelvin Rabson).

    Yanga walianza mchezo vizuri sana kwa kufanya kila kitu kwa usahihi pale wanapokuwa na mpira na wasipokuwa na mpira . Kivipi ? 1: Wakati wanaanza build up wanakuwa na muundo mzuri wa 2-3-4-1 unawapa walinzi wao machaguo ya kupasia mipira (Job na Bakari wanakuwa nyuma then FBs wanakuwa mstari moja na Aucho , hapo Yanga wanapata msingi sahihi ya kufika kwenye eneo la mwisho kwa kupitia katikati na pembeni ya uwanja , rahisi kuishinda pressing ya Coastal ambayo hawakuwa na idadi nzuri ya wachezaji wakati wanaweka presha . 2: Kwasababu Coastal Union hawakuweka presha vizuri kwenye mpira na positioning ya wachezaji wa Yanga ilikuwa nzuri , hapo ikawa rahisi kwa Yanga kufika eneo la mwisho baada ya hapo ni Yanga kuwa wafanisi mbele ya goli (unatumiaje nafasi kuimaliza game) . ✍️ Maxi na Pacome waliuliza maswali magumu kwa walinzi wa Coastal walibadilishana nafasi kutokana na wapi mpira ulipo , nafasi zilikuwepo hasa kwenye zile “Half Spaces” na ndio maana pamoja na Coastal kuzuia wakiwa chini mda mwingi lakini Yanga waliwafungua kirahisi kwasababu wachezaji wao walikuwa mara nyingi wanachelewa kufika kwenye eneo la tukio . ✍️ Nafikiri Coastal walijua kabisa hawawezi kupishana na Yanga kutokana na ubora wa mpinzani wake , wakaamua kuchagua vita yao ya kuzuia wakiwa chini na kuweka mtego wa kushambulia kwa kushtukiza . Lakini kuna nyakati wakivuka kwenye mstari wa kati wanachotegemea ni ubora wa mchezaji mmoja mmoja kufanya jambo kubwa . NOTE : 1: Golikipa wa Coastal “FALESI” kafanya saves nyingi nzuri (kupunguza idadi ya magoli) 2: Maxi na Pacome wamecheza game nzuri sana (Rotation ya nafasi , positioning zao zilikuwa sahihi 🔥) 3: Lawi kacheza vizuri sana kwenye kiungo 👏 nimependa Energy ya Maabad ✅ 4: Pacome goli la 8 kwenye NBCPL ( anakupa magoli na kufanya vitu vingine vitokee uwanjani kwa dribbling na Positioning yake ) FT: Yanga 1-0 Coastal Union . (Kelvin Rabson).
    Like
    1
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·957 Vue
  • Jifunze namna ya kucheza free kick kupitia gemu la NBC PREMIER LEAGUE
    Pakua gemu Bure
    https://mabillioneatips.wordpress.com/2024/10/17/pakua-gemu-la-2024-2025/
    Jifunze namna ya kucheza free kick kupitia gemu la NBC PREMIER LEAGUE 👇 Pakua gemu Bure https://mabillioneatips.wordpress.com/2024/10/17/pakua-gemu-la-2024-2025/
    Love
    Like
    3
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·646 Vue
  • Rais wa Marekani , DonaldTrump, ameibua mjadala mkali baada ya kusema kuwa kuna uwezekano wa yeye kuwania muhula wa tatu, licha ya Katiba ya Marekani kupiga marufuku jambo hilo kupitia Marekebisho ya 22. Katika mahojiano na NBCNews, Rais huyo hakutaka kufuta uwezekano wa kuwania tena Urais baada ya kumaliza mihula miwili, akidai kuwa kuna njia za kufanya hilo kutokea. Alisisitiza kuwa "hakuwa anatania," jambo ambalo limeibua hofu miongoni mwa Wachambuzi wa siasa na Wanaharakati wa demokrasia Nchini humo.

    Kwa mujibu wa Katiba ya Marekani, Rais haruhusiwi kutawala kwa zaidi ya mihula miwili ya miaka minne minne. Marekebisho ya 22 yaliwekwa ili kuzuia Mtu mmoja kuwa na mamlaka ya muda mrefu kama ilivyokuwa kwa Franklin D. Roosevelt, ambaye altawala kwa zaidi ya mihula miwili kabla ya marekebisho hayo kuidhinishwa mwaka 1951.

    Kauli ya Trump imeibua maswali kuhusu mbinu anazoweza kutumia kutafuta muhula wa tatu. Wachambuzi wa sheria wanabainisha kuwa ili hilo litokee, ama katiba ibadilishwe rasmi kwa marekebisho mapya, au ipatikane tafsiri mpya ya kisheria inayomruhusu kugombea tena. Hata hivyo, mchakato wa kubadili katiba ni mgumu na unahitaji ridhaa ya Bunge pamoja na Majimbo mengi ya Marekani.

    Baadhi ya Wafuasi wa Donald Trump wameunga mkono kauli yake, wakidai kuwa anastahili muda zaidi wa kuongoza Nchi. Hata hivyo, Wakosoaji wake wanasema kuwa hatua yoyote ya kupindua Marekebisho ya 22 inaweza kuwa tishio kwa demokrasia ya Marekani na kuweka msingi wa uongozi wa kiimla.

    Rais wa Marekani 🇺🇸, DonaldTrump, ameibua mjadala mkali baada ya kusema kuwa kuna uwezekano wa yeye kuwania muhula wa tatu, licha ya Katiba ya Marekani kupiga marufuku jambo hilo kupitia Marekebisho ya 22. Katika mahojiano na NBCNews, Rais huyo hakutaka kufuta uwezekano wa kuwania tena Urais baada ya kumaliza mihula miwili, akidai kuwa kuna njia za kufanya hilo kutokea. Alisisitiza kuwa "hakuwa anatania," jambo ambalo limeibua hofu miongoni mwa Wachambuzi wa siasa na Wanaharakati wa demokrasia Nchini humo. Kwa mujibu wa Katiba ya Marekani, Rais haruhusiwi kutawala kwa zaidi ya mihula miwili ya miaka minne minne. Marekebisho ya 22 yaliwekwa ili kuzuia Mtu mmoja kuwa na mamlaka ya muda mrefu kama ilivyokuwa kwa Franklin D. Roosevelt, ambaye altawala kwa zaidi ya mihula miwili kabla ya marekebisho hayo kuidhinishwa mwaka 1951. Kauli ya Trump imeibua maswali kuhusu mbinu anazoweza kutumia kutafuta muhula wa tatu. Wachambuzi wa sheria wanabainisha kuwa ili hilo litokee, ama katiba ibadilishwe rasmi kwa marekebisho mapya, au ipatikane tafsiri mpya ya kisheria inayomruhusu kugombea tena. Hata hivyo, mchakato wa kubadili katiba ni mgumu na unahitaji ridhaa ya Bunge pamoja na Majimbo mengi ya Marekani. Baadhi ya Wafuasi wa Donald Trump wameunga mkono kauli yake, wakidai kuwa anastahili muda zaidi wa kuongoza Nchi. Hata hivyo, Wakosoaji wake wanasema kuwa hatua yoyote ya kupindua Marekebisho ya 22 inaweza kuwa tishio kwa demokrasia ya Marekani na kuweka msingi wa uongozi wa kiimla.
    0 Commentaires ·0 Parts ·953 Vue
  • Baada ya kutangaza kuwa hawatashiriki mazungumzo ya amani huko Mjini Luanda Nchini Angola , Waasi wa kundi la M23 wamesema kuwa Umoja wa Ulaya (EU) ni moja ya Taasisi inayokwamisha mazungumzo hayo kufuatia kuwekewa vikwazo na Umoja huo Viongozi wake Wakuu akiwemo Bertrand Bisimwa.

    Hata hivyo, Serikali ya Kinshasa kupitia Msemaji wake Tina Salama, imesema itashiriki mazungumzo hayo licha ya Kundi la Waasi wa M23 kujiweka pembeni. Pia Serikali ya Angola vile vile imetangaza kwamba mazungumzo hayo yataendelea kama ilivyokuwa imepangwa. Wakizungumzia vikwazo hivyo vya moja wa Ulaya, Waasi hao wa M23 wamesema Taasisi kadhaa za kimataifa zinakwamisha juhudi za kutafuta amani mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo .

    Ikumbukwe kwamba hapo jana, Umoja wa Ulaya ulitangaza kuwawekea vikwazo Makamanda watatu (3) wa Jeshi la Rwanda na Mkuu wa Shirika lake la uchimbaji madini kwa madai ya kuwaunga mkono Wapiganaji wanaovuruga amani mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo. Pia Umoja huo ulimuwekea vikwazo Mkuu wa kundi la M23, Bertrand Bisimwa.

    Baada ya kutangaza kuwa hawatashiriki mazungumzo ya amani huko Mjini Luanda Nchini Angola 🇦🇴, Waasi wa kundi la M23 wamesema kuwa Umoja wa Ulaya (EU) ni moja ya Taasisi inayokwamisha mazungumzo hayo kufuatia kuwekewa vikwazo na Umoja huo Viongozi wake Wakuu akiwemo Bertrand Bisimwa. Hata hivyo, Serikali ya Kinshasa kupitia Msemaji wake Tina Salama, imesema itashiriki mazungumzo hayo licha ya Kundi la Waasi wa M23 kujiweka pembeni. Pia Serikali ya Angola vile vile imetangaza kwamba mazungumzo hayo yataendelea kama ilivyokuwa imepangwa. Wakizungumzia vikwazo hivyo vya moja wa Ulaya, Waasi hao wa M23 wamesema Taasisi kadhaa za kimataifa zinakwamisha juhudi za kutafuta amani mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 🇨🇩. Ikumbukwe kwamba hapo jana, Umoja wa Ulaya ulitangaza kuwawekea vikwazo Makamanda watatu (3) wa Jeshi la Rwanda 🇷🇼 na Mkuu wa Shirika lake la uchimbaji madini kwa madai ya kuwaunga mkono Wapiganaji wanaovuruga amani mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo. Pia Umoja huo ulimuwekea vikwazo Mkuu wa kundi la M23, Bertrand Bisimwa.
    Like
    1
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·396 Vue
  • "Nimetazama Interview ya Rais wa Marekani na Rais wa Ukraine pale Oval Office ndani ya Ikulu ya Marekani, nimekuja kugundua Rais wa Ukraine anahisi anajadiliana na Mwanasiasa mwenzake ila anachosahau Trump ni Mfanyabiashara na hawezi kufanya kitu cha bure ambacho Taifa lake Marekani halinufaiki na chochote, ndio maan anamsukumia sana kuwa amalizane na Urusi wasaini mkataba wa amani.

    Pale Ukraine kuna madini adimu sana duniani, Mrusi hapigani Kichwa kichwa ndio maana maeneo ya Donbass na Zaporizhia yanabaki kuwa maeneo ya Kimkakati sana kwa Mrusi, hata Marekani hawapo kichwa kichwa maana Secretary Rubio wa Marekani alimwambia Rais wa Ukraine akubali kusaini mkataba wa madini ili wao waendelee kumlinda, Mrusi na Mmarekani wapo rada sana eneo lile na kila mmoja yupo Kitalaam.

    Kwa akili ya kawaida Marekani hataki kuendelea kugharamikia vita hivyo bila faida.

    Juzi kuna website nilisoma ya taarifa za Kiuchunguzi ni kuwa Marekani, China na Urusi kwasasa wapo meza moja na wazo lao kubwa wamekubaliana juu ya MULTIPOLAR WORLD ORDER ambapo Mataifa zaidi ya mawili yanakuwa na nguvu sawa ama yanakaribiana, kwa ufupi sana mataifa haya matatu yanataka kuitawala dunia bila kugusana.

    Ndio maana Trump alivyoingia madarakani akapush agenda chap ya BRICS kuachana na wazo lao la kuibadili dola ya Marekani kuwa sio sarafu rasmi kwenye umoja wao, ndio maana alipoingia wamerudi mezani kwa mengi ikiwemo Trump na Putin wote kukiri kuwa watashirikiana na Trump atasafiri kuelekea Urusi kwenye sherehe za Mei 9, ambapo watakutana Marais wote watatu yani Putin, Xi Jinping na Trump.

    Kifupi sana Marekani ya Donald Trump ina Approach tofauti sana, ndio maana hata Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Stearmer alipofika White House kukutana na Trump kwenye mazungumzo yao akalisifia sana Jeshi la Uingereza ila kuna sehemu akampiga kwa kumwambia huwezi kuichukua Urusi peke yako, hata leo amesisitiza Ukraine wakubali amani nje na hapo bila msaada wake hawamuwezi Mrusi, huyo ndio Donald Trump" - Farhan JR, Mchambuzi.

    "Nimetazama Interview ya Rais wa Marekani na Rais wa Ukraine pale Oval Office ndani ya Ikulu ya Marekani, nimekuja kugundua Rais wa Ukraine anahisi anajadiliana na Mwanasiasa mwenzake ila anachosahau Trump ni Mfanyabiashara na hawezi kufanya kitu cha bure ambacho Taifa lake Marekani halinufaiki na chochote, ndio maan anamsukumia sana kuwa amalizane na Urusi wasaini mkataba wa amani. Pale Ukraine kuna madini adimu sana duniani, Mrusi hapigani Kichwa kichwa ndio maana maeneo ya Donbass na Zaporizhia yanabaki kuwa maeneo ya Kimkakati sana kwa Mrusi, hata Marekani hawapo kichwa kichwa maana Secretary Rubio wa Marekani alimwambia Rais wa Ukraine akubali kusaini mkataba wa madini ili wao waendelee kumlinda, Mrusi na Mmarekani wapo rada sana eneo lile na kila mmoja yupo Kitalaam. Kwa akili ya kawaida Marekani hataki kuendelea kugharamikia vita hivyo bila faida. Juzi kuna website nilisoma ya taarifa za Kiuchunguzi ni kuwa Marekani, China na Urusi kwasasa wapo meza moja na wazo lao kubwa wamekubaliana juu ya MULTIPOLAR WORLD ORDER ambapo Mataifa zaidi ya mawili yanakuwa na nguvu sawa ama yanakaribiana, kwa ufupi sana mataifa haya matatu yanataka kuitawala dunia bila kugusana. Ndio maana Trump alivyoingia madarakani akapush agenda chap ya BRICS kuachana na wazo lao la kuibadili dola ya Marekani kuwa sio sarafu rasmi kwenye umoja wao, ndio maana alipoingia wamerudi mezani kwa mengi ikiwemo Trump na Putin wote kukiri kuwa watashirikiana na Trump atasafiri kuelekea Urusi kwenye sherehe za Mei 9, ambapo watakutana Marais wote watatu yani Putin, Xi Jinping na Trump. Kifupi sana Marekani ya Donald Trump ina Approach tofauti sana, ndio maana hata Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Stearmer alipofika White House kukutana na Trump kwenye mazungumzo yao akalisifia sana Jeshi la Uingereza ila kuna sehemu akampiga kwa kumwambia huwezi kuichukua Urusi peke yako, hata leo amesisitiza Ukraine wakubali amani nje na hapo bila msaada wake hawamuwezi Mrusi, huyo ndio Donald Trump" - Farhan JR, Mchambuzi.
    0 Commentaires ·0 Parts ·816 Vue
  • #Repost @georgejob_gj
    MASTER KI NI MVP TUSISAHAU.

    Tusisahau kua huyu Aziz Ki ndiye MVP wa ligi yetu Tanzania Bara msimu wa 2023/2024 haya anayo yafanya sio kwa Bahati Mbaya au kwa sababu Pamba ni wabovu Master Ki is a versatile player

    Goli la pili alilo piga ukiangalia mentality yake ilivyo change kwa haraka kutoka kutaka kutoa pasi na kufanya maamuzi ya kupiga shuti la kucave golini utagundua Azizi Ki ni mchezaji Mwenye akili kubwa sana ya Mpira.

    Pamba walizidiwa kimbinu kwenye kila sehemu Substitution walizo fanya ya Nakibinge na Habib Kyombo wallijaribu kutaka kubadilisha mchezo lakini mbinu ya Yanga bado iliendelea kutawala mchezo.

    Yona Amos moja ya Makipa Bora sana nchini bahati mbaya leo kakutana na Yanga iliyo Bora sana kimbinu karibu magoli yote aliyofungwa ni magoli ambayo sio ya kumlaumu ni magoii ya kiufundi.

    NB: Ikangalombo apewe muda au Mali ipo?
    (George Job, Mchambuzi)

    #Repost @georgejob_gj MASTER KI NI MVP TUSISAHAU. Tusisahau kua huyu Aziz Ki ndiye MVP wa ligi yetu Tanzania Bara msimu wa 2023/2024 haya anayo yafanya sio kwa Bahati Mbaya au kwa sababu Pamba ni wabovu Master Ki is a versatile player 🙌 Goli la pili alilo piga ukiangalia mentality yake ilivyo change kwa haraka kutoka kutaka kutoa pasi na kufanya maamuzi ya kupiga shuti la kucave golini utagundua Azizi Ki ni mchezaji Mwenye akili kubwa sana ya Mpira. Pamba walizidiwa kimbinu kwenye kila sehemu Substitution walizo fanya ya Nakibinge na Habib Kyombo wallijaribu kutaka kubadilisha mchezo lakini mbinu ya Yanga bado iliendelea kutawala mchezo. Yona Amos moja ya Makipa Bora sana nchini bahati mbaya leo kakutana na Yanga iliyo Bora sana kimbinu karibu magoli yote aliyofungwa ni magoli ambayo sio ya kumlaumu ni magoii ya kiufundi. NB: Ikangalombo apewe muda au Mali ipo? (George Job, Mchambuzi)
    0 Commentaires ·0 Parts ·806 Vue
  • Shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA), leo hii litakutana kuchakata kanuni mpya nne (4) ambazo zinaweza kuanza kutumika Julai 1, 2025 endepo zitapitishwa.

    1. Kanuni ya Arsene Wenger:

    Mchezaji atahesabiwa kuwa yuko "offside" ikiwa mwili wake mzima utapita Mchezaji wa mwisho. Ikumbukwe kwamba "offside" ya sasa ni kuwa Mchezaji anahesabiwa kuwa yupo "offside" endapo sehemu yake ndogo ya mwili au mwili mzima itampita Mchezaji wa mwisho.

    2. Waamuzi (Refarii) kutoa ufafanuzi wa maamuzi yao kwa Watazamaji Uwanjani kwa kutumia kipaza sauti (Microphone):

    Baada ya kushirikiana na VAR, Waamuzi wataelezea maamuzi yao kwa kutumia kipaza sauti kwa Watazamaji wote waliopo Uwanjani.

    3. Challenge System:

    Kila Kocha Mkuu wa Timu ataruhusiwa kuomba kutumia VAR wakati wa mchezo ili kupitia tukio wanaloona kuwa lina utata.

    NB : Wataweka idadi maalumu ya kuomba kutumia VAR na sio muda wote.

    4. Waamuzi kusimamisha muda:

    Waamuzi wataweza kusimamisha saa ili kuchunguza tukio lenye utata au wakati wa majeraha makubwa. Lengo: kuepuka kupoteza muda mwingi katika mpira wa miguu na kuhakikisha muda halisi wa kucheza unatumika.

    NB : Hii itamika pia kwa wale Wachezaji ambao hupenda kupoteza muda kipindi anatolewa Uwanjani ili Mchezaji mwingine aingie.

    Shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA), leo hii litakutana kuchakata kanuni mpya nne (4) ambazo zinaweza kuanza kutumika Julai 1, 2025 endepo zitapitishwa. 1. Kanuni ya Arsene Wenger: Mchezaji atahesabiwa kuwa yuko "offside" ikiwa mwili wake mzima utapita Mchezaji wa mwisho. Ikumbukwe kwamba "offside" ya sasa ni kuwa Mchezaji anahesabiwa kuwa yupo "offside" endapo sehemu yake ndogo ya mwili au mwili mzima itampita Mchezaji wa mwisho. 2. Waamuzi (Refarii) kutoa ufafanuzi wa maamuzi yao kwa Watazamaji Uwanjani kwa kutumia kipaza sauti (Microphone): Baada ya kushirikiana na VAR, Waamuzi wataelezea maamuzi yao kwa kutumia kipaza sauti kwa Watazamaji wote waliopo Uwanjani. 3. Challenge System: Kila Kocha Mkuu wa Timu ataruhusiwa kuomba kutumia VAR wakati wa mchezo ili kupitia tukio wanaloona kuwa lina utata. NB : Wataweka idadi maalumu ya kuomba kutumia VAR na sio muda wote. 4. Waamuzi kusimamisha muda: Waamuzi wataweza kusimamisha saa ili kuchunguza tukio lenye utata au wakati wa majeraha makubwa. Lengo: kuepuka kupoteza muda mwingi katika mpira wa miguu na kuhakikisha muda halisi wa kucheza unatumika. NB : Hii itamika pia kwa wale Wachezaji ambao hupenda kupoteza muda kipindi anatolewa Uwanjani ili Mchezaji mwingine aingie.
    Like
    1
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·781 Vue
  • #SportsElite
    Msimamo wa Ligi ya @championshiptz ya @nbc_tanzania
    #SportsElite 🇹🇿 Msimamo wa Ligi ya @championshiptz ya @nbc_tanzania
    0 Commentaires ·0 Parts ·893 Vue
  • #SportsElite
    #Matokeo ya mchezo wa Ligi ya @championshiptz ya @nbc_tanzania

    #SportsElite🇹🇿 #Matokeo ya mchezo wa Ligi ya @championshiptz ya @nbc_tanzania
    Love
    1
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·912 Vue
Plus de résultats