• | JUST IN

    Barcelona na Frenkie de Jong wako kwenye hatua za mwisho za kusaini mkataba wa muda mrefu hadi Juni 2029, na chaguo la mwaka mmoja zaidi. Mazungumzo sasa yako katika hatua za juu na yanaendelea vyema.

    Ili kusaidia uthabiti wa kifedha wa klabu, De Jong anakubali kupunguza mshahara wake kwa kiasi kikubwa—kutoka zaidi ya €700k kwa wiki (kutokana na malipo yaliyocheleweshwa hapo awali) hadi kiasi cha kudumu kati ya €200k na €250k kwa wiki.

    Source [ Transfer News]

    #SportsElite
    🚨 | JUST IN Barcelona na Frenkie de Jong wako kwenye hatua za mwisho za kusaini mkataba wa muda mrefu hadi Juni 2029, na chaguo la mwaka mmoja zaidi. Mazungumzo sasa yako katika hatua za juu na yanaendelea vyema. 🔵🔴 Ili kusaidia uthabiti wa kifedha wa klabu, De Jong anakubali kupunguza mshahara wake kwa kiasi kikubwa—kutoka zaidi ya €700k kwa wiki (kutokana na malipo yaliyocheleweshwa hapo awali) hadi kiasi cha kudumu kati ya €200k na €250k kwa wiki. 💰 Source [ Transfer News] #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·11 Ansichten
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Liverpool inavutiwa na usajili wa Malick Fofana.
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Liverpool inavutiwa na usajili wa Malick Fofana.
    0 Kommentare ·0 Anteile ·4 Ansichten
  • Aston Villa iko karibu kukamilisha usajiri wa golikipa wa Brest Marco Bizot.

    (Source: Sky Sports)

    #SportsElite
    🚨 Aston Villa iko karibu kukamilisha usajiri wa golikipa wa Brest Marco Bizot. (Source: Sky Sports) #SportsElite
    Like
    1
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·9 Ansichten
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Barcelona imekamilisha usajili wa Roony Bardghji mdogo wake Rayan Bardghji ambae pia amesajiliwa dirisha hili hapo hapo Barcelona..

    Kinda huyo mwenye umri 15 ni winga wa kushoto na ataanzia kujifua La Masia.

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Barcelona imekamilisha usajili wa Roony Bardghji mdogo wake Rayan Bardghji ambae pia amesajiliwa dirisha hili hapo hapo Barcelona.. Kinda huyo mwenye umri 15 ni winga wa kushoto na ataanzia kujifua La Masia. 🇸🇪 #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·41 Ansichten
  • 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! Bournemouth imekamilisha usajili wa golikipa wa zamani wa Chelsea Djordje Petrović

    Petrović atafanyiwa vipimo vya kiafya wiki ijayo kwa ada ya £25m.

    #SportsElite
    🚨 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! Bournemouth imekamilisha usajili wa golikipa wa zamani wa Chelsea Djordje Petrović 🍒 Petrović atafanyiwa vipimo vya kiafya wiki ijayo kwa ada ya £25m. #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·39 Ansichten
  • .Exclusive kumhusu Mohammed Doumbia 🇨🇮

    ▪︎Elewa kuwa, Mohammed Doumbia amekaa nje ya kiwanja kwa zaidi ya siku 366 (wastani wa mwaka mmoja). Sababu kubwa ni mvutano mkubwa kati yake na management yake.

    ▪︎Elewa kuwa, Young Africans Sports Club hawakuwaza kabisa kumsajili Doumbia, na pengine akina Hersi Said walikuwa hawamjui kabisa. Nani aliwaunganisha.?

    ▪︎ Stephanie_aziz_ki ndiye aliyetumika kama daraja kwenye dili hili. Aliwaambia viongozi wa juu wa klabu kuwa, "kuna mchezaji mzuri; ni kiungo wa kati, anaweza kucheza kama kiungo mkabaji lakini amekaa nje ya pitch kwa muda mrefu kidogo. Kama itawezekana mnaweza kumtazama."

    ▪︎Uongozi wa klabu ukiongozwa na Mhandisi Hersi Said uliwasiliana na mchezaji na muda mchache, taratibu za kumsafirisha kuja Dar es Salaam zilianza.

    ▪︎Mohammed Doumbia alipokelewa vizuri na Uongozi. Bahati nzuri alifika siku ambayo klabu ilikuwa na session ya mazoezi jioni; Uongozi uliungana na Miloud Hamdi kumtazam Mohammed Doumbia kwenye pitch akifanya mazoezi na wenzake.

    ▪︎Kila mtu alitikisa kichwa. Kila mtu alikubali uwezo wake.! Huu ndio usajili wa kwanza kufanyika na Yanga msimu huu.

    #NB: Mohammed Doumbia, Pacome Zouzoua walienda nchini Czech Republic kwa pamoja; cha kukusisitiza ni kwamba Pacome Zouzoua alirudi Afrika, Doumbia aliendelea kukiwasha huko.
    .Exclusive kumhusu Mohammed Doumbia 🇨🇮 ▪︎Elewa kuwa, Mohammed Doumbia amekaa nje ya kiwanja kwa zaidi ya siku 366 (wastani wa mwaka mmoja). Sababu kubwa ni mvutano mkubwa kati yake na management yake. ▪︎Elewa kuwa, Young Africans Sports Club 🇹🇿 hawakuwaza kabisa kumsajili Doumbia, na pengine akina Hersi Said walikuwa hawamjui kabisa. Nani aliwaunganisha.? 👇👇 ▪︎ Stephanie_aziz_ki ndiye aliyetumika kama daraja kwenye dili hili. Aliwaambia viongozi wa juu wa klabu kuwa, "kuna mchezaji mzuri; ni kiungo wa kati, anaweza kucheza kama kiungo mkabaji lakini amekaa nje ya pitch kwa muda mrefu kidogo. Kama itawezekana mnaweza kumtazama." ▪︎Uongozi wa klabu ukiongozwa na Mhandisi Hersi Said uliwasiliana na mchezaji na muda mchache, taratibu za kumsafirisha kuja Dar es Salaam zilianza. ▪︎Mohammed Doumbia alipokelewa vizuri na Uongozi. Bahati nzuri alifika siku ambayo klabu ilikuwa na session ya mazoezi jioni; Uongozi uliungana na Miloud Hamdi kumtazam Mohammed Doumbia kwenye pitch akifanya mazoezi na wenzake. ▪︎Kila mtu alitikisa kichwa. Kila mtu alikubali uwezo wake.! Huu ndio usajili wa kwanza kufanyika na Yanga msimu huu. #NB: Mohammed Doumbia, Pacome Zouzoua walienda nchini Czech Republic 🇨🇿 kwa pamoja; cha kukusisitiza ni kwamba Pacome Zouzoua alirudi Afrika, Doumbia aliendelea kukiwasha huko. 🤔
    Like
    Love
    2
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·88 Ansichten
  • 𝗗𝗘𝗔𝗟 𝗗𝗢𝗡𝗘: Crystal Palace imekamilisha usajili wa beki wa kushoto Borna Sosa kutoka Ajax kwa ada £2M.

    Kwa Miaka 3

    (Source: @CPFC)

    #SportsElite
    📝 𝗗𝗘𝗔𝗟 𝗗𝗢𝗡𝗘: Crystal Palace imekamilisha usajili wa beki wa kushoto Borna Sosa kutoka Ajax kwa ada £2M. Kwa Miaka 3 (Source: @CPFC) #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·35 Ansichten
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Fenerbahçe iko karibu kukamilisha usajiri wa Marco Asensio kutoka Paris St Germain

    Asensio tayari amekubali ofa hiyo na mpango wa Mourinho msimu ujao
    Kinachosubiriwa ni PSG kubariki uhamisho huo

    #SportsElite
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Fenerbahçe iko karibu kukamilisha usajiri wa Marco Asensio kutoka Paris St Germain 💛💙🇹🇷 Asensio tayari amekubali ofa hiyo na mpango wa Mourinho msimu ujao Kinachosubiriwa ni PSG kubariki uhamisho huo🇪🇸🏁 #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·37 Ansichten
  • Real Betis bado inashinikiza kumuhitaji Antony kutoka Manchester United, Betis imemuomba Antony apunguze kiasi cha mshahara wake ili iweze kukamilisha usajili wa kudumu..

    (Source: Diario Sport)

    #SportsElite
    🚨 Real Betis bado inashinikiza kumuhitaji Antony kutoka Manchester United, Betis imemuomba Antony apunguze kiasi cha mshahara wake ili iweze kukamilisha usajili wa kudumu.. (Source: Diario Sport) #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·32 Ansichten
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Eberechi Eze Anatarajia kujiunga Arsenal, baada ya mchezaji kukubali kusaini mkataba hadi 2029 na chaguo la nyongeza hadi 2030.

    Arsenal iko kwenye mazungumzo na Crystal Palace ili kukamilisha uhamisho huo.

    #Ads

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Eberechi Eze Anatarajia kujiunga Arsenal, baada ya mchezaji kukubali kusaini mkataba hadi 2029 na chaguo la nyongeza hadi 2030. ⚪🔴👀 Arsenal iko kwenye mazungumzo na Crystal Palace ili kukamilisha uhamisho huo. #Ads #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·52 Ansichten
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Christian Nørgaard amekamilisha usajili ndani ya Arsenal kwa ada yab £10m kutoka Brentford!

    #SportsElite
    🚨 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Christian Nørgaard amekamilisha usajili ndani ya Arsenal kwa ada yab £10m kutoka Brentford! ❤️🤍🇩🇰 🥺🎶 #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·43 Ansichten
  • 𝐓𝐎𝐅𝐀𝐋𝐈 𝐋𝐀 𝐔𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀👊🏼 Hii ni Yetu wote WANANCHI.

    HIi ni Kampeni Kubwa itakayobeba Safari yetu ya MAFANIKIO Msimu wa 2025/26.

    Kila shabiki wa @yangasc Duniani atatakiwa kununua 𝐓𝐎𝐅𝐀𝐋𝐈 𝐋𝐀 𝐔𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀 kwa Kulipa Ada ya Mwaka ya Uwanachama wa Klabu Yetu.

    MALENGO ni kupata MATOFALI MILIONI 1 kwa Wanayanga watakaolipia Ada zao kwa njia ya Kimtandao.

    Tukifanikisha hili, Tutakuwa tumefanikisha MAMBO MAKUBWA MAWILI Wanayanga wenzangu

    1: Tumepata HELA ya kufanya USAJILI MKUBWA utakaotupa Timu Bora zaidi ya ilivyokuwa Msimu huu.

    2: Tumepata Bajeti nzuri ya kuiwezesha @yangasc Yetu kushindana kikamilifu katika mashindano Yote [Ya ndani na Yale ya CAF].

    𝐓𝐎𝐅𝐀𝐋𝐈 𝐋𝐀 𝐔𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀 Litauzwa Tsh 24,000

    Tuhakikishe kuanzia kesho Kila Mwanayanga awe Na 𝐓𝐎𝐅𝐀𝐋𝐈 𝐋𝐀 𝐔𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀 ili Tuijenge kwa Pamoja YANGA BINGWA MSIMU UJAO👊🏼

    Daima Mbele Nyuma Mwiko.
    𝐓𝐎𝐅𝐀𝐋𝐈 𝐋𝐀 𝐔𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀👊🏼 Hii ni Yetu wote WANANCHI. HIi ni Kampeni Kubwa itakayobeba Safari yetu ya MAFANIKIO Msimu wa 2025/26. Kila shabiki wa @yangasc Duniani atatakiwa kununua 𝐓𝐎𝐅𝐀𝐋𝐈 𝐋𝐀 𝐔𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀 kwa Kulipa Ada ya Mwaka ya Uwanachama wa Klabu Yetu. MALENGO ni kupata MATOFALI MILIONI 1 kwa Wanayanga watakaolipia Ada zao kwa njia ya Kimtandao. Tukifanikisha hili, Tutakuwa tumefanikisha MAMBO MAKUBWA MAWILI Wanayanga wenzangu 1: Tumepata HELA ya kufanya USAJILI MKUBWA utakaotupa Timu Bora zaidi ya ilivyokuwa Msimu huu. 2: Tumepata Bajeti nzuri ya kuiwezesha @yangasc Yetu kushindana kikamilifu katika mashindano Yote [Ya ndani na Yale ya CAF]. 𝐓𝐎𝐅𝐀𝐋𝐈 𝐋𝐀 𝐔𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀 Litauzwa Tsh 24,000 ✅ Tuhakikishe kuanzia kesho Kila Mwanayanga awe Na 𝐓𝐎𝐅𝐀𝐋𝐈 𝐋𝐀 𝐔𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀 ili Tuijenge kwa Pamoja YANGA BINGWA MSIMU UJAO👊🏼 Daima Mbele Nyuma Mwiko🔰.
    Like
    1
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·96 Ansichten
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Real Madrid haita usajili mbadala wa Rodrygo kama ataondoka klabuni hapo baada ya nafasi yake kuwa finyu..
    @MarioCortegana @TheAthleticFC

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Real Madrid haita usajili mbadala wa Rodrygo kama ataondoka klabuni hapo baada ya nafasi yake kuwa finyu.. @MarioCortegana @TheAthleticFC #SportsElite
    Love
    1
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·73 Ansichten
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Arsenal imekamilisha usajili wa kapteni na kiungo wa Brentford , Christian Nørgaard.

    Arsenal watalipa £10m na nyongeza ya £2m kama bonasi.

    Vipimo vya afya tayari vimekamilika na rasmi atatangazwa ndani ya hii wiki[Via - @David_Ornstein].

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Arsenal imekamilisha usajili wa kapteni na kiungo wa Brentford , Christian Nørgaard🇩🇰. Arsenal watalipa £10m na nyongeza ya £2m kama bonasi. Vipimo vya afya tayari vimekamilika na rasmi atatangazwa ndani ya hii wiki[Via - @David_Ornstein]. #SportsElite
    Like
    1
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·101 Ansichten
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Ivan Rakitić ametangaza kuachana na soka.

    • 993 Michezo
    • 140 Magoli
    • 157 Pasi za usaidizi
    • 17 Mataji

    #SportsElite
    🚨𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Ivan Rakitić ametangaza kuachana na soka. 🇭🇷🤍 • 993 Michezo • 140 Magoli • 157 Pasi za usaidizi • 17 Mataji #SportsElite
    Like
    1
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·67 Ansichten
  • ⚪️ 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋 | Tottenham imekamilisha usajili wa Kota Takai (20) kutoka Kawasaki Frontale!

    Ada: ~£5m
    Nafasi: Beki
    Chanzo : Sky sports

    #SportsElite
    ⚪️ 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋 | Tottenham imekamilisha usajili wa Kota Takai (20) kutoka Kawasaki Frontale! 🇯🇵 ✅ Ada: ~£5m 📌 Nafasi: Beki 🗞️ Chanzo : Sky sports #SportsElite
    Love
    1
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·82 Ansichten
  • 𝐃𝐎𝐍𝐄 𝐀𝐍𝐃 𝐃𝐔𝐒𝐓𝐄𝐃: Anthony Elanga ameridhia kusaini Newcastle United akitokea Nottingham Forest kwa ada yab£55 million, na mkataba hadi 2030.

    #SportsElite
    🚨 𝐃𝐎𝐍𝐄 𝐀𝐍𝐃 𝐃𝐔𝐒𝐓𝐄𝐃: Anthony Elanga ameridhia kusaini Newcastle United akitokea Nottingham Forest kwa ada yab£55 million, na mkataba hadi 2030. ⚫⚪ #SportsElite
    Like
    1
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·67 Ansichten
  • 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! Al Hilal imekamilisha usajili wa Theo Hernández kama beki wa kushoto kutoka AC Milan

    Makubaliano yamekamilika kwa pande zote na AC Milan watapata €25M kwa mauzo ya Theo..

    #SportsElite
    🚨 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! Al Hilal imekamilisha usajili wa Theo Hernández kama beki wa kushoto kutoka AC Milan 🔵🇸🇦 Makubaliano yamekamilika kwa pande zote na AC Milan watapata €25M kwa mauzo ya Theo.. 🇫🇷 #SportsElite
    Like
    1
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·65 Ansichten
  • Benfica imeulizia uwezekano wa kulipa kiasi cha €30M kwa Chelsea ili kumpata Joao Felix,
    lakini malipo ya mshahara wa mchezaji ni makubwa kuliko mahitaji ya timu am ambapo Joao Felix anakusanya €4M/ kwa mwaka...

    (Source: abolapt)

    #SportsElite
    🚨 Benfica imeulizia uwezekano wa kulipa kiasi cha €30M kwa Chelsea ili kumpata Joao Felix, lakini malipo ya mshahara wa mchezaji ni makubwa kuliko mahitaji ya timu am ambapo Joao Felix anakusanya €4M/ kwa mwaka... (Source: abolapt) #SportsElite
    Like
    1
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·75 Ansichten
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Crystal Palace iko mbioni kukamilisha usajiri wa Borna Sosa kutoka Ajax kwa ada ya €4M.

    Na ndani ya massa 48 atakuwa amekamilisha taratibu za uhamisho pamoja na vipimo vya afya...

    #SportsElite
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Crystal Palace iko mbioni kukamilisha usajiri wa Borna Sosa kutoka Ajax kwa ada ya €4M. 🔴🔵 Na ndani ya massa 48 atakuwa amekamilisha taratibu za uhamisho pamoja na vipimo vya afya... #SportsElite
    0 Kommentare ·0 Anteile ·66 Ansichten
Suchergebnis