Je ni kweli Nelson Mandela alifia gerezani mwaka 1985?
🗣Habari zenu wadau, katika pitapita zangu nimekutana na machapisho mengi ya watu wa afrika ya kusini yanayodai kuwa mtu anayefahamika kwa jina la Nelson Mandela, si huyu tuliye mfahamu sisi, Nelson original alifia jela mwaka 1985. Kwa mujibu wa maelezo nikwamba huyu tuliye mzika sisi hivi karibuni ama tuliye mfahamu hakuwa Nelson mwenyewe. Makaburu waliamua kutafuta mtu anayeendana naye kidogo na alilazimishwa kutoa talaka kwa Winnie Mandela maana wangekaa pamoja mwanamama huyu angejua kuwa huyu jamaa hakuwa Mumewe Original.
Inasemekana mwanamuziki Johnny Clegg alishawahi pia kuimba kitu hiki katika wimbo wake wa "Asimbonanga" yaani hatujamwona yeye. Kwenye wimbo huo kuna maneno Asimbonang' uMandela thina akimaanisha hatujamwona Mandela Laph'ekhona - mahali alipo Laph'ehleli - mahali alipo zikwa. Wimbo huu ulitoka mwaka 1987. Ikumbukwe South Africa ilitoka amri kuwa ni marufuku kukutwa unasikiliza ama una miliki album zenye nyimbo za Jonh Clegg, tangu kipindi cha makaburu mpaka kipindi cha mandera huyu aliyetoka gerezani. Maana ngoma za jamaa huyo zilikuwa zinahamasisha harakati za kupinga ubaguzi.
Nani aliyetolewa gerezani 1990?
Inasemekana ni mtu ajulikanaye kwa jina la Gibson Makanda, ambaye alipelekwa katika gereza la Pollsmor mwezi May mwaka 1985. Akiwa huko alifanyiwa plastic surgery iliyofanywa na timu ya madaktari wachache toka London Uingereza. Mara baada ya zoezi hilo kufanikiwa alipatiwa mazoezi ya kuongea na kutembea kama Nelson Mandela mpaka alipo fuzu ndipo mpango wa kumtoa ukatekelezwa. ndomaana hata baada yakutoka alilegeza sana masharti kwa watu weupe. na aliamua kuunda tume ya msamaha. Ambayo iliwapa nafasi makaburu kutubu waliyowafanyia wazulu kwenye hadhara.
Kwa hivyo kundi hili la watu wanaoamini katika njama hii wanaona uwezekano mkubwa sana kwamba Nelson Mandela lazima aliuawa wakati wa maandamano, na kwamba serikali ya Makaburu Afrika Kusini ilijibu kwa kuwapa mfano ili kuzuia maandamano mengine kwa kuwa walijua aliyekufa alikuwa kiongozi mpendwa na mtu mwenye ushawishi mkubwa.
Inasemekana jamaa baada ya kumpa taraka mama Mandera alitokea kumpenda mke wa raisi wa msumbiji, Samora Machel. Ndio maana baada ya raisi huyo kufariki mchizi akaamua kumuoa mama Machel. Mama akashika rekodi ya kuwa mke wa raisi katika nchi mbili tofauti. Pia usisahau kuwa msumbiji kwa Samora Machel ndipo kulikuwa na kambi ya kikundi cha wapiganaji wa South Afrika waliokuwa wanapinga serikali ya Makaburu, Maarufu kama Umkhonto we Sizwe(Mkuki wa taifa).
Nilipitia pia vyanzo mbalimbali mtandaoni nikakutana na zaidi ya waandishi 50 tofauti wakizungumzia juu ya Gibson Makanda kuigiza kama Nelson Mandela. mwaka wa 2018 wakati programu maarufu ya Android inayoitwa Face App ilitolewa. Programu hii inaweza kuonyesha nyuso za watumiaji jinsi watakavyokuwa katika siku za usoni (athari za uzee). Mtumiaji wa Twitter @Jether_Calypso alitumia picha ya ujana inayopatikana ya Nelson Mandela na kuifanyia kazi, akitumia athari ya uzee na matokeo yalionekana kuwa tofauti na sura ya Nelson Mandela katika miaka yake ya hivi majuzi kabla ya kifo.
#dorka🗣
Je, nikweli Nelson Mandela alifariki mwaka 1985?

Je ni kweli Nelson Mandela alifia gerezani mwaka 1985?🤔

Je, nikweli Nelson Mandela alifariki mwaka 1985?🤔
·179 Ansichten