• NENO LA LEO(MKABIZI MUNGU HAJA ZAKO)
    Mithali 16:3-4
    [3]Mkabidhi BWANA kazi zako,
    Na mawazo yako yatathibitika.
    [4]BWANA amefanya kila kitu kwa kusudi lake;

    Ukimkabizi BWANA Mambo yako ,maana yake unataka Mungu aingilie kati kila jambo lako na kila jambo langu pia.

    Na tunakubaliana MUNGU ndo mwenye sababu ya uzima na kusudi letu la kuishi,k ukimkabizi maisha yako maana yake unataka Bwana aamue kuingilia kusudi lako na kulisimamia.

    1 Mambo ya Nyakati 17:27
    kwa hiyo nakuomba uibariki nyumba yangu, mimi mtumishi wako, ili idumu milele mbele yako; kwani unachobariki wewe, huwa kimebarikiwa milele..

    Tukimkabizi Mungu vitu vyetu akivizingira na kuvibariki vinadumu milele yote .

    Natamani sote tumpe Mungu na kumkabizi kila jambo kwetu ili Mungu aingilie kati maisha yetu .

    Na nikisema kumkabizi Bwana, namaanisha kwamba kuongozwa na Bwana na kupiga hatua katika maisha yako.

    Nakuombea Mungu akuongoze katika kila jambo na kila jambo liwe linaanza na Mungu wako.

    Nikutakie asubui njema na siku njema.

    Kwa mafundisho zaidi jiunge na link hapo chini

    https://chat.whatsapp.com/LAB9tcfvKq887DB9IDHvzf

    Sylvester Mwakabende (0622625340)
    #2026_sisi_ndio_wale_tunao piganiwa_na_Bwana.
    NENO LA LEO(MKABIZI MUNGU HAJA ZAKO) Mithali 16:3-4 [3]Mkabidhi BWANA kazi zako, Na mawazo yako yatathibitika. [4]BWANA amefanya kila kitu kwa kusudi lake; Ukimkabizi BWANA Mambo yako ,maana yake unataka Mungu aingilie kati kila jambo lako na kila jambo langu pia. Na tunakubaliana MUNGU ndo mwenye sababu ya uzima na kusudi letu la kuishi,k ukimkabizi maisha yako maana yake unataka Bwana aamue kuingilia kusudi lako na kulisimamia. 1 Mambo ya Nyakati 17:27 kwa hiyo nakuomba uibariki nyumba yangu, mimi mtumishi wako, ili idumu milele mbele yako; kwani unachobariki wewe, huwa kimebarikiwa milele.. Tukimkabizi Mungu vitu vyetu akivizingira na kuvibariki vinadumu milele yote . Natamani sote tumpe Mungu na kumkabizi kila jambo kwetu ili Mungu aingilie kati maisha yetu . Na nikisema kumkabizi Bwana, namaanisha kwamba kuongozwa na Bwana na kupiga hatua katika maisha yako. Nakuombea Mungu akuongoze katika kila jambo na kila jambo liwe linaanza na Mungu wako. Nikutakie asubui njema na siku njema. Kwa mafundisho zaidi jiunge na link hapo chini https://chat.whatsapp.com/LAB9tcfvKq887DB9IDHvzf Sylvester Mwakabende (0622625340) #2026_sisi_ndio_wale_tunao piganiwa_na_Bwana.
    0 Comments 0 Shares 65 Views
  • Ukiona unafanya jambo usilo lipenda ni uhakika wa wazi kuwa kuna jambo bado ujalijua kuhusu zambi ,kwa lugha rahisi zambi imeikalia nafsi yako na kuiongoza.

    #Warumi 7:18-19
    [18]Kwa maana najua ya kuwa ndani yangu, yaani, ndani ya mwili wangu, halikai neno jema; kwa kuwa kutaka nataka, bali kutenda lililo jema sipati.

    [19]Kwa maana lile jema nilipendalo, silitendi; bali lile baya nisilolipenda ndilo nilitendalo.
    .
    Ndiyo sababu gheto unaenda kwa moyo wako wote ,nguo mnavua vizuri pamoja na ni wanakwaya mkimaliza kuzini unakuta mmoja anaanza kumlaumu mwenzake kuwa tamaa zako zimetuponza tumezini.

    Siyo kuwa tamaa zimewaponza ni kuwa either kuna jambo ujajua kuhusu zinaa ambalo ungelijua usinge thubutu kujitoa ufahamu kwenda getho la mtu na unaenda peke yako kabisa.

    #Chanzo ni nini ni kadiri unavyotaka kutumia akiri zako ndivyo unavyo fungua mlango wa shetani kukushanbulia kupitia ujinga wako.

    #Kumbe kama ungemuangalia Yusuph alicho fanya ungejua uzinzi hatuneni kwa lugha na kubakia hapo hapo tunakimbia mbali kabisa kwa kuwa usipo kimbia mwili wako utazidiwa na matokeo yako utaanguka.

    #Mwanzo 39:11-12
    [11]Ikawa, siku moja, akaingia nyumbani atende kazi yake, wala hapakuwa na mtu katika watu wa nyumbani humo ndani;

    [12]huyo mwanamke akamshika nguo zake, akisema, Lala nami. Yusufu akaiacha nguo yake mkononi mwake, akakimbia, akatoka nje.

    Hii ndiyo sababu biblia inasema pia ikimbieni zinaa

    1 Wakorintho 6:18
    [18]Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe.

    #Ukishindwa kukimbia shetani atakukamata .

    Lengo ni nini nimesema kila aliye shinda zambi au jambo furani kuna ufahamu anao ambao wewe una.

    Jitahidi kutafuta maarifa kuna aina ya zambi hazitoki kwa maombi peke yake bila kujua kanuni ya kushinda iyo zambi.

    Kitakacho tokea ni kuwa unaomba sana lakini ukitoka kuomba shetani anakuletea tena zambi ile ile na unaanguka tena

    #Shetani aogopi kipawa au karama uliyo nayo kuhusu kukushambulia ila anaogopa maarifa uliyo nayo kuhusu ilo jambo.Kadiri unavyo juuw siri nyingi juu ya jambo fulani ndivyo unavyo funga mlango wa mahambulizi ya shetani.

    Isaya amekuwa nabii lakini kila siku alikuwa nabii lakini pia ana midomo michafu mpaka siku alipo pata ufunuo ambao uliambatana na ukombozi ndio akaendelea kuwa mtu safi.

    Isaya 6:5-7
    [5]Ndipo niliposema, Ole wangu! Kwa maana nimepotea; kwa sababu mimi ni mtu mwenye midomo michafu, nami ninakaa kati ya watu wenye midomo michafu; na macho yangu yamemwona Mfalme, BWANA wa majeshi.

    [6]Kisha mmoja wa maserafi wale akaruka akanikaribia; naye alikuwa na kaa la moto mkononi mwake, ambalo alikuwa amelitwaa kwa makoleo toka juu ya madhabahu;

    [7]akanigusa kinywa changu kwa kaa hilo, akaniambia, Tazama, hili limekugusa midomo yako, na uovu wako umeondolewa, na dhambi yako imefunikwa.

    Ukombozi wa Isaya ulitegemea sana na ufunuo alio pokea siku hiyi maana kila siku aliendelea kuwa nabii lakin kumbe kuna jambo liko nyuma ya pazia na ndicho kizuizi chake.

    MUNGU ALIYE MTOKEA ISAYA KATIKA ULE MWAKA WA KUFA KWA MFALME UZIA NDIO MUNGU AKAKUTOKEE NA WEWE NA MIMI PIA ILI ATUTIE UFUNUO WA KUJUA MAKOSA YETU NA UKOMBOZI WAKE UPITE MOJA KWA MOJA.

    Sylvester Mwakabende (0622625340)

    #2026_Sisi_ndio_wale_tunao_piganiwa_na_Bwana.
    Ukiona unafanya jambo usilo lipenda ni uhakika wa wazi kuwa kuna jambo bado ujalijua kuhusu zambi ,kwa lugha rahisi zambi imeikalia nafsi yako na kuiongoza. #Warumi 7:18-19 [18]Kwa maana najua ya kuwa ndani yangu, yaani, ndani ya mwili wangu, halikai neno jema; kwa kuwa kutaka nataka, bali kutenda lililo jema sipati. [19]Kwa maana lile jema nilipendalo, silitendi; bali lile baya nisilolipenda ndilo nilitendalo. . Ndiyo sababu gheto unaenda kwa moyo wako wote ,nguo mnavua vizuri pamoja na ni wanakwaya mkimaliza kuzini unakuta mmoja anaanza kumlaumu mwenzake kuwa tamaa zako zimetuponza tumezini. Siyo kuwa tamaa zimewaponza ni kuwa either kuna jambo ujajua kuhusu zinaa ambalo ungelijua usinge thubutu kujitoa ufahamu kwenda getho la mtu na unaenda peke yako kabisa. #Chanzo ni nini ni kadiri unavyotaka kutumia akiri zako ndivyo unavyo fungua mlango wa shetani kukushanbulia kupitia ujinga wako. #Kumbe kama ungemuangalia Yusuph alicho fanya ungejua uzinzi hatuneni kwa lugha na kubakia hapo hapo tunakimbia mbali kabisa kwa kuwa usipo kimbia mwili wako utazidiwa na matokeo yako utaanguka. #Mwanzo 39:11-12 [11]Ikawa, siku moja, akaingia nyumbani atende kazi yake, wala hapakuwa na mtu katika watu wa nyumbani humo ndani; [12]huyo mwanamke akamshika nguo zake, akisema, Lala nami. Yusufu akaiacha nguo yake mkononi mwake, akakimbia, akatoka nje. Hii ndiyo sababu biblia inasema pia ikimbieni zinaa 1 Wakorintho 6:18 [18]Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe. #Ukishindwa kukimbia shetani atakukamata . Lengo ni nini nimesema kila aliye shinda zambi au jambo furani kuna ufahamu anao ambao wewe una. Jitahidi kutafuta maarifa kuna aina ya zambi hazitoki kwa maombi peke yake bila kujua kanuni ya kushinda iyo zambi. Kitakacho tokea ni kuwa unaomba sana lakini ukitoka kuomba shetani anakuletea tena zambi ile ile na unaanguka tena #Shetani aogopi kipawa au karama uliyo nayo kuhusu kukushambulia ila anaogopa maarifa uliyo nayo kuhusu ilo jambo.Kadiri unavyo juuw siri nyingi juu ya jambo fulani ndivyo unavyo funga mlango wa mahambulizi ya shetani. Isaya amekuwa nabii lakini kila siku alikuwa nabii lakini pia ana midomo michafu mpaka siku alipo pata ufunuo ambao uliambatana na ukombozi ndio akaendelea kuwa mtu safi. Isaya 6:5-7 [5]Ndipo niliposema, Ole wangu! Kwa maana nimepotea; kwa sababu mimi ni mtu mwenye midomo michafu, nami ninakaa kati ya watu wenye midomo michafu; na macho yangu yamemwona Mfalme, BWANA wa majeshi. [6]Kisha mmoja wa maserafi wale akaruka akanikaribia; naye alikuwa na kaa la moto mkononi mwake, ambalo alikuwa amelitwaa kwa makoleo toka juu ya madhabahu; [7]akanigusa kinywa changu kwa kaa hilo, akaniambia, Tazama, hili limekugusa midomo yako, na uovu wako umeondolewa, na dhambi yako imefunikwa. Ukombozi wa Isaya ulitegemea sana na ufunuo alio pokea siku hiyi maana kila siku aliendelea kuwa nabii lakin kumbe kuna jambo liko nyuma ya pazia na ndicho kizuizi chake. MUNGU ALIYE MTOKEA ISAYA KATIKA ULE MWAKA WA KUFA KWA MFALME UZIA NDIO MUNGU AKAKUTOKEE NA WEWE NA MIMI PIA ILI ATUTIE UFUNUO WA KUJUA MAKOSA YETU NA UKOMBOZI WAKE UPITE MOJA KWA MOJA. Sylvester Mwakabende (0622625340) #2026_Sisi_ndio_wale_tunao_piganiwa_na_Bwana.
    0 Comments 0 Shares 206 Views