• COMPLEX NA VIVY.
    Walipata ajali mbaya ya gari wakitokea Morogoro kwenda Arusha kwenye sherehe ya kumbukizi ya miaka 25 ya ndoa ya wazazi wa Vivian a.k.a Vivy.

    Complex na Vivy walikuwa ni wapenzi waliozaliwa tarehe moja, mwezi mmoja na mwaka mmoja. Walishangaza wengi baada ya wao kufa pamoja tar 21.08.2005.

    Walikutanishwa na mtaalamu Ambwene Yessayah, A.Y. Complex akiwa ni producer wa studio ya Algies Records huku Vivian akiwa Ni mtangazaji wa Clouds FM.

    Kisa Cha kukutana nakuwa Wapenzi Kiko hivi Vivian alifahamiana na A.Y Mkoani Iringa Kipindi A.Y anasoma Ifunda na Vivian alikuwa anasoma Mkwawa.

    Baada ya School, AY alikuja kukutana na Vivian Arusha alipoenda kwenye show akamshawishi Vivian kwa muonekano wake awe Mtangazaji. Vivian akaelewa Mchongo akakutanishwa na Hayati Gardener G Habash pale Clouds akapewa Mchongo wa Utangazaji.

    Simon Sai a.K.a Complex alikuwa anafanya kazi na A.Y

    Kuna ngoma walishirikishana kiufupi walikuwa Maswahiba wakubwa baada ya kufahamiana.

    Simon Sai a.K.a Complex akamuona Vivian pale Clouds FM kupitia A.Y akatokea kumpenda Vivian

    Baada ya hapo kilichofuata ni kuibuka kwa Penzi Zito kati ya Complex na Vivian..

    #BURUDANI #michezoonlineupdates #mahusiano

    Like & follow
    COMPLEX NA VIVY. Walipata ajali mbaya ya gari wakitokea Morogoro kwenda Arusha kwenye sherehe ya kumbukizi ya miaka 25 ya ndoa ya wazazi wa Vivian a.k.a Vivy. Complex na Vivy walikuwa ni wapenzi waliozaliwa tarehe moja, mwezi mmoja na mwaka mmoja. Walishangaza wengi baada ya wao kufa pamoja tar 21.08.2005. Walikutanishwa na mtaalamu Ambwene Yessayah, A.Y. Complex akiwa ni producer wa studio ya Algies Records huku Vivian akiwa Ni mtangazaji wa Clouds FM. Kisa Cha kukutana nakuwa Wapenzi Kiko hivi Vivian alifahamiana na A.Y Mkoani Iringa Kipindi A.Y anasoma Ifunda na Vivian alikuwa anasoma Mkwawa. Baada ya School, AY alikuja kukutana na Vivian Arusha alipoenda kwenye show akamshawishi Vivian kwa muonekano wake awe Mtangazaji. Vivian akaelewa Mchongo akakutanishwa na Hayati Gardener G Habash pale Clouds akapewa Mchongo wa Utangazaji. Simon Sai a.K.a Complex alikuwa anafanya kazi na A.Y Kuna ngoma walishirikishana kiufupi walikuwa Maswahiba wakubwa baada ya kufahamiana. Simon Sai a.K.a Complex akamuona Vivian pale Clouds FM kupitia A.Y akatokea kumpenda Vivian 😊 Baada ya hapo kilichofuata ni kuibuka kwa Penzi Zito kati ya Complex na Vivian.. #BURUDANI #michezoonlineupdates #mahusiano Like & follow 🙏 🙏
    Like
    1
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·88 Views
  • Mwanamitindo maarufu duniani, video vixen na mtangazaji wa TV Amber Rose ameishangaza dunia baada ya kusema alilia kwa muda wa miaka 3 baada ya kuachana na aliekua mumewe Hit Maker wa Black & Yellow rapa Wiz Khalifa.

    Katika mahojiano alioyafanya na Podcast ya No Jumper Amber amesema " Pindi Wiz Khalifa aliponiacha nililia kwa miaka mitatu mfululizo. Nampenda sana na ananiwezea vizuri kitandani.

    " Najua nimedate wanaume zaidi ya 50 lakini Wiz Khalifa alikua ndio kipenzi cha maisha yangu. Wiki 3 za mwanzo, nililia kama mtoto, nilikua nakaa bafuni afu najisemea, F**k

    Hapa tunazungumzia siku 1096 ndizo Amber Rose anadai alilia baada ya kuachana na Wiz Khalifa
    Mwanamitindo maarufu duniani, video vixen na mtangazaji wa TV Amber Rose ameishangaza dunia baada ya kusema alilia kwa muda wa miaka 3 baada ya kuachana na aliekua mumewe Hit Maker wa Black & Yellow rapa Wiz Khalifa. Katika mahojiano alioyafanya na Podcast ya No Jumper Amber amesema " Pindi Wiz Khalifa aliponiacha nililia kwa miaka mitatu mfululizo. Nampenda sana na ananiwezea vizuri kitandani. " Najua nimedate wanaume zaidi ya 50 lakini Wiz Khalifa alikua ndio kipenzi cha maisha yangu. Wiki 3 za mwanzo, nililia kama mtoto, nilikua nakaa bafuni afu najisemea, F**k Hapa tunazungumzia siku 1096 ndizo Amber Rose anadai alilia baada ya kuachana na Wiz Khalifa 🤔
    0 Commentarios ·0 Acciones ·26 Views
  • Chukua hii tumia Hizi “Sheria 20 za 2025 kuelekea mafanikio yako..

    1. Hakuna ngono. Epuka kitu chochote kitakachokuchochea kuitazama.

    2. Fanya mazoezi mara tatu hadi nne kila wiki.

    3. Soma kurasa 10 za kitabu cha kujiboresha au kitabu cha historia kila siku.

    4. Hasira si rafiki yako. Idhibiti kabla ya kukudhibiti.

    5. kila wakati jitahidi kukaa nadhifu 80% ya wakati.

    6. Usiwe mcheshi ili kumvutia mtu yeyote. Hasa w0m£n.

    7. Fanya kazi kabla ya Burudani. Fanya kile unachohitaji kufanya kabla ya kwenda kwa kile unachotaka kufanya.

    8. Uvutaji sigara hudhuru zaidi kuliko inavyopenda. Achana nayo.

    9.samehe lakini usisahau somo ulilojifunza.

    10. Kuwa na Maono. Kuwa na kusudi. Pambana kuelekea hilo.

    11. Usikubali Kudharauliwa.

    12. Usifanye mzaha na maisha yako ya kifedha.

    13. Pesa inayotumika kununulia mapenzi, itaendelea kutumika kudumisha upendo huo. Usijihusishe na kitendo kama hicho.

    14.usijitambulishe kama "mwanaume halisi", hakuna kitu kama "mwanaume halisi". SIMP pekee ndizo zinazoitwa hivyo. Wewe ni wa thamani kubwa au huna.

    15. Jifunze jinsi ya kujitetea.

    16. Haijalishi umeanguka mara ngapi, pumua kwa kina na uinuke tena.

    17.dakika sh£ inakukataa, misheni imefutwa. Usiamue kuwa rafiki wa h£r. Songa mbele haraka iwezekanavyo. Kuna wanawake bilioni 3.97 duniani.

    18. Marafiki zako watakujenga au watakuvunja. Chagua kwa busara.

    19. Waheshimu na wapende wazazi wako. Walikuleta kwenye ulimwengu huu.

    20.anza 2025 na Mungu. Maliza na Mungu. Kaa Savage”.

    Plz like & follow
    Chukua hii tumia Hizi “Sheria 20 za 2025 kuelekea mafanikio yako.. 1. Hakuna ngono. Epuka kitu chochote kitakachokuchochea kuitazama. 2. Fanya mazoezi mara tatu hadi nne kila wiki. 3. Soma kurasa 10 za kitabu cha kujiboresha au kitabu cha historia kila siku. 4. Hasira si rafiki yako. Idhibiti kabla ya kukudhibiti. 5. kila wakati jitahidi kukaa nadhifu 80% ya wakati. 6. Usiwe mcheshi ili kumvutia mtu yeyote. Hasa w0m£n. 7. Fanya kazi kabla ya Burudani. Fanya kile unachohitaji kufanya kabla ya kwenda kwa kile unachotaka kufanya. 8. Uvutaji sigara hudhuru zaidi kuliko inavyopenda. Achana nayo. 9.samehe lakini usisahau somo ulilojifunza. 10. Kuwa na Maono. Kuwa na kusudi. Pambana kuelekea hilo. 11. Usikubali Kudharauliwa. 12. Usifanye mzaha na maisha yako ya kifedha. 13. Pesa inayotumika kununulia mapenzi, itaendelea kutumika kudumisha upendo huo. Usijihusishe na kitendo kama hicho. 14.usijitambulishe kama "mwanaume halisi", hakuna kitu kama "mwanaume halisi". SIMP pekee ndizo zinazoitwa hivyo. Wewe ni wa thamani kubwa au huna. 15. Jifunze jinsi ya kujitetea. 16. Haijalishi umeanguka mara ngapi, pumua kwa kina na uinuke tena. 17.dakika sh£ inakukataa, misheni imefutwa. Usiamue kuwa rafiki wa h£r. Songa mbele haraka iwezekanavyo. Kuna wanawake bilioni 3.97 duniani. 18. Marafiki zako watakujenga au watakuvunja. Chagua kwa busara. 19. Waheshimu na wapende wazazi wako. Walikuleta kwenye ulimwengu huu. 20.anza 2025 na Mungu. Maliza na Mungu. Kaa Savage”. Plz like & follow🙏
    Like
    1
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·38 Views
  • SOMA HII utajifunza kitu hapa kwa Achraf Hakimi : “Tangu talaka yangu, nimejifunza kujipenda zaidi na kujitunza. Imenifundisha mengi, imenifanya kuwa na nguvu zaidi, na leo, najua jinsi ya kusimamia uhusiano.”

    “Mimi sijaoa, najisikia vizuri, nafurahia wakati wangu na familia yangu, watoto wangu na mimi mwenyewe. Ni ngumu kupata mtu anayefaa, lakini kwa nini ikiwa wanakuja. Unapopata pesa nyingi, unaweza kuamini watu wachache tu.

    Nadhani ni mama pekee anayekupenda, haijalishi pesa. Siku zote nimejifunza jinsi ya kusimamia pesa zangu kwa shukrani kwa mama yangu. Mimi huuliza maoni yake kila wakati kabla ya kununua nyumba au gari, kwa sababu yeye ndiye aliyesimamia kila kitu.

    Sherehe yangu ya pengwini ilikuwa kujitolea kwa Sergio Ramos, ambaye nilimuahidi hili ikiwa ningefunga. Wengine wanafikiri ilikuwa kuichezea Uhispania, lakini sivyo. Uhispania ni nyumba yangu ya pili, kama Morocco, na imenipa maisha bora. Achraf Hakimi aliguswa moyo sana na kumwaga machozi alipokuwa akizungumza kuhusu watoto wake.

    Alisema: “Watoto wangu ni wa maana sana kwangu. Nitawaambia kwamba baba atawapenda, popote walipo, na atawalinda daima. Kumekuwa na nyakati ngumu ambazo sijawaona vile nilivyotaka, lakini najifunza kutoka kwao kila siku, hasa kuona upendo wanaonipa.” (Abtals)
    SOMA HII utajifunza kitu hapa kwa Achraf Hakimi 🇲🇦: “Tangu talaka yangu, nimejifunza kujipenda zaidi na kujitunza. Imenifundisha mengi, imenifanya kuwa na nguvu zaidi, na leo, najua jinsi ya kusimamia uhusiano.” “Mimi sijaoa, najisikia vizuri, nafurahia wakati wangu na familia yangu, watoto wangu na mimi mwenyewe. Ni ngumu kupata mtu anayefaa, lakini kwa nini ikiwa wanakuja. Unapopata pesa nyingi, unaweza kuamini watu wachache tu. Nadhani ni mama pekee anayekupenda, haijalishi pesa. Siku zote nimejifunza jinsi ya kusimamia pesa zangu kwa shukrani kwa mama yangu. Mimi huuliza maoni yake kila wakati kabla ya kununua nyumba au gari, kwa sababu yeye ndiye aliyesimamia kila kitu. Sherehe yangu ya pengwini 🐧 ilikuwa kujitolea kwa Sergio Ramos, ambaye nilimuahidi hili ikiwa ningefunga. Wengine wanafikiri ilikuwa kuichezea Uhispania, lakini sivyo. Uhispania ni nyumba yangu ya pili, kama Morocco, na imenipa maisha bora. Achraf Hakimi aliguswa moyo sana na kumwaga machozi alipokuwa akizungumza kuhusu watoto wake. Alisema: “Watoto wangu ni wa maana sana kwangu. Nitawaambia kwamba baba atawapenda, popote walipo, na atawalinda daima. Kumekuwa na nyakati ngumu ambazo sijawaona vile nilivyotaka, lakini najifunza kutoka kwao kila siku, hasa kuona upendo wanaonipa.” (Abtals)
    0 Commentarios ·0 Acciones ·25 Views
  • Mshambuliaji wa kimataifa wa Nigeria, Victor Boniface, anayeichezea Bayer Leverkusen ya Ujerumani, ameachana na mpenzi wake, Rikke Hermine, raia wa Norway. Wawili hao walikuwa katika uhusiano wa kimapenzi kwa miaka minne, lakini wameamua kuvunja uhusiano wao kutokana na kugundua kuwa Victor kwenye mali zake ameandika majina ya mama yake tu.

    Chanzo cha habari kinaeleza kuwa uamuzi wa Rikke kuachana na Victor ulitokana na kugundua kuwa katika mali zote za mshambuliaji huyo, majina ya mama yake mzazi pekee ndiyo yaliyoandikwa. Hali hii ilimfanya Rikke kuhisi kuwa hakuwa na nafasi ya kutosha katika maisha ya Victor, jambo lililomfanya kuchukua hatua hiyo.

    Aidha, inadaiwa kuwa Rikke alikuwa akishinikiza kufunga ndoa baada ya kuwa wapenzi kwa muda mrefu, huku Victor akiwa tayari kufunga naye ndoa lakini kwa sharti la kusaini mkataba wa awali (prenup).

    Prenup ni Mkataba wa awali kabla ya kufunga ndoa ambao unalenga kulinda mali za pande zote mbili endapo itatokea mkaachana kila mmoja anabaki na alichokuja nacho katika ndoa na sio kugawana mali, ila bibie Rikkie amekuwa mgumu kukubali hilo hivyo kuachana

    #tanzania #kenya #daressalaam #africa #zanzibar #diamondplatnumz #arusha #mwanza #dodoma #uganda #wcb #travel #life #safari #wasafi #love #millardayoupdates #mbeya #nairobi #harmonize #rwanda #eastafrica #kilimanjaro #alikiba #gainwithmchina #serengeti #wasafitv #fashion #wasafimedia #wemasepetu
    Mshambuliaji wa kimataifa wa Nigeria, Victor Boniface, anayeichezea Bayer Leverkusen ya Ujerumani, ameachana na mpenzi wake, Rikke Hermine, raia wa Norway. Wawili hao walikuwa katika uhusiano wa kimapenzi kwa miaka minne, lakini wameamua kuvunja uhusiano wao kutokana na kugundua kuwa Victor kwenye mali zake ameandika majina ya mama yake tu. Chanzo cha habari kinaeleza kuwa uamuzi wa Rikke kuachana na Victor ulitokana na kugundua kuwa katika mali zote za mshambuliaji huyo, majina ya mama yake mzazi pekee ndiyo yaliyoandikwa. Hali hii ilimfanya Rikke kuhisi kuwa hakuwa na nafasi ya kutosha katika maisha ya Victor, jambo lililomfanya kuchukua hatua hiyo. Aidha, inadaiwa kuwa Rikke alikuwa akishinikiza kufunga ndoa baada ya kuwa wapenzi kwa muda mrefu, huku Victor akiwa tayari kufunga naye ndoa lakini kwa sharti la kusaini mkataba wa awali (prenup). Prenup ni Mkataba wa awali kabla ya kufunga ndoa ambao unalenga kulinda mali za pande zote mbili endapo itatokea mkaachana kila mmoja anabaki na alichokuja nacho katika ndoa na sio kugawana mali, ila bibie Rikkie amekuwa mgumu kukubali hilo hivyo kuachana #tanzania #kenya #daressalaam #africa #zanzibar #diamondplatnumz #arusha #mwanza #dodoma #uganda #wcb #travel #life #safari #wasafi #love #millardayoupdates #mbeya #nairobi #harmonize #rwanda #eastafrica #kilimanjaro #alikiba #gainwithmchina #serengeti #wasafitv #fashion #wasafimedia #wemasepetu
    0 Commentarios ·0 Acciones ·89 Views
  • #JeWajua Msako mkali wa wahamiaji uliofanyika nchini Marekani siku ya Jumapili na kusababisha kukamatwa kwa watu 956, idadi hiyo ikiwa kubwa zaidi tangu Donald Trump arejee mamlakani, kulingana na shirika la Uhamiaji na Utekelezaji wa Forodha (ICE).

    Mashirika kadhaa ya serikali yenye mamlaka mapya ya kuwaweka kizuizini wasio na vibali yalihusika katika kamata kamata hiyo kwenye miji kadhaa ikiwa ni pamoja na Chicago, Newark na Miami. Moja ya ahadi alizotoa Donald Trump wakati wa kampeni yake, ni kuwafukuza nchi Marekani wahamiaji wasio na vibali.

    Mtangulizi wake Joe Biden aliwarejesha makwao wastani wa wahamiaji 311 kila siku, kulingana na ICE, wengi wao wakiwa watu ambao walikuwa wamefanya uhalifu. Tangu aingie madarakani, Trump ametekeleza maagizo 21 kurekebisha mfumo wa uhamiaji wa Marekani.

    Huko Miami siku ya Jumapili, vyombo vya kutekeleza sheria vya serikali vilichukua "hatua kadhaa za uhamiaji," Uchunguzi wa Usalama wa jiji hilo ulisema kwenye mitandao ya kijamii.

    #tanzania #kenya #daressalaam #africa #zanzibar #diamondplatnumz #arusha #mwanza #dodoma #uganda #wcb #travel #life #safari #wasafi #love #millardayoupdates #mbeya #nairobi #harmonize #rwanda #eastafrica #kilimanjaro #alikiba #gainwithmchina #serengeti #wasafitv #fashion #wasafimedia
    #JeWajua Msako mkali wa wahamiaji uliofanyika nchini Marekani siku ya Jumapili na kusababisha kukamatwa kwa watu 956, idadi hiyo ikiwa kubwa zaidi tangu Donald Trump arejee mamlakani, kulingana na shirika la Uhamiaji na Utekelezaji wa Forodha (ICE). Mashirika kadhaa ya serikali yenye mamlaka mapya ya kuwaweka kizuizini wasio na vibali yalihusika katika kamata kamata hiyo kwenye miji kadhaa ikiwa ni pamoja na Chicago, Newark na Miami. Moja ya ahadi alizotoa Donald Trump wakati wa kampeni yake, ni kuwafukuza nchi Marekani wahamiaji wasio na vibali. Mtangulizi wake Joe Biden aliwarejesha makwao wastani wa wahamiaji 311 kila siku, kulingana na ICE, wengi wao wakiwa watu ambao walikuwa wamefanya uhalifu. Tangu aingie madarakani, Trump ametekeleza maagizo 21 kurekebisha mfumo wa uhamiaji wa Marekani. Huko Miami siku ya Jumapili, vyombo vya kutekeleza sheria vya serikali vilichukua "hatua kadhaa za uhamiaji," Uchunguzi wa Usalama wa jiji hilo ulisema kwenye mitandao ya kijamii. #tanzania #kenya #daressalaam #africa #zanzibar #diamondplatnumz #arusha #mwanza #dodoma #uganda #wcb #travel #life #safari #wasafi #love #millardayoupdates #mbeya #nairobi #harmonize #rwanda #eastafrica #kilimanjaro #alikiba #gainwithmchina #serengeti #wasafitv #fashion #wasafimedia
    0 Commentarios ·0 Acciones ·87 Views
  • WIKI YA WAZEE WENYE FURAHA.

    PUNGUZA:
    Chumvi.
    Sukari.
    Unga uliokobolewa.
    Bidhaa za maziwa.
    Bidhaa zilizochakatwa.

    VYAKULA VINAVYOHITAJIKA:
    Mboga za majani;
    Mbegu za mikunde;
    Maharage;
    Karanga;
    Mayai;
    Mafuta yaliyosindikwa baridi (Mizeituni, Nazi, …);
    Matunda.

    MAMBO MATATU UNAYOPASWA KUJARIBU KUSAHAU:
    Umri wako.
    Mambo ya zamani.
    Malalamiko yako.

    MAMBO MUHIMU UNAYOPASWA KUTHAMINI:
    Familia yako;
    Marafiki zako;
    Mawazo yako chanya;
    Nyumba safi na ya kukaribisha.

    MAMBO MATATU YA MSINGI UNAYOPASWA KUJIFUNZA:
    Daima tabasamu / cheka.
    Fanya mazoezi ya mwili mara kwa mara kwa kasi yako mwenyewe.
    Angalia na kudhibiti uzito wako.

    MTINDO WA MAISHA MUHIMU SITA UNAYOPASWA KUFANYA:
    Usisubiri hadi uwe na kiu kunywa maji.
    Usisubiri hadi uchoke kupumzika.
    Usisubiri hadi uwe mgonjwa kufanya uchunguzi wa matibabu.
    Usisubiri miujiza kumwamini Mungu.
    Usipoteze kamwe kujiamini.
    Kaa chanya na daima tumaini kesho bora.

    KAMA UNA MARAFIKI KATIKA UMRI HUU (47-90 MIAKA), TAFADHALI WATUMIE HII.
    WIKI YA WAZEE WENYE FURAHA.
    WIKI YA WAZEE WENYE FURAHA. PUNGUZA: Chumvi. Sukari. Unga uliokobolewa. Bidhaa za maziwa. Bidhaa zilizochakatwa. VYAKULA VINAVYOHITAJIKA: Mboga za majani; Mbegu za mikunde; Maharage; Karanga; Mayai; Mafuta yaliyosindikwa baridi (Mizeituni, Nazi, …); Matunda. MAMBO MATATU UNAYOPASWA KUJARIBU KUSAHAU: Umri wako. Mambo ya zamani. Malalamiko yako. MAMBO MUHIMU UNAYOPASWA KUTHAMINI: Familia yako; Marafiki zako; Mawazo yako chanya; Nyumba safi na ya kukaribisha. MAMBO MATATU YA MSINGI UNAYOPASWA KUJIFUNZA: Daima tabasamu / cheka. Fanya mazoezi ya mwili mara kwa mara kwa kasi yako mwenyewe. Angalia na kudhibiti uzito wako. MTINDO WA MAISHA MUHIMU SITA UNAYOPASWA KUFANYA: Usisubiri hadi uwe na kiu kunywa maji. Usisubiri hadi uchoke kupumzika. Usisubiri hadi uwe mgonjwa kufanya uchunguzi wa matibabu. Usisubiri miujiza kumwamini Mungu. Usipoteze kamwe kujiamini. Kaa chanya na daima tumaini kesho bora. KAMA UNA MARAFIKI KATIKA UMRI HUU (47-90 MIAKA), TAFADHALI WATUMIE HII. WIKI YA WAZEE WENYE FURAHA.
    0 Commentarios ·0 Acciones ·35 Views
  • ANDIKA MALENGO YAKO KWA WINO, LAKINI MIKAKATI YAKO KWA PENCIL

    Maisha ni safari iliyojaa ndoto, matarajio na changamoto. Katika safari hii, uwazi wa kusudi na uthabiti wa kukabiliana ni masahaba wawili muhimu. Kwangu mimi, malengo ni dira ya maisha. Yanatoa mwelekeo kwa juhudi zetu na maana ya matendo yetu. Zinatukumbusha sisi ni nani na tunataka kuwa nani. Kuandika malengo yako kwa wino kunaashiria kudumu na umuhimu wao. Inamaanisha kujitolea kwa ndoto zako na kukataa kuacha maono uliyonayo mwenyewe. Unapoandika malengo yako kwa wino, unatangaza kwa ulimwengu na kwako mwenyewe kuwa ndoto hizi haziwezi kujadiliwa. Haimaanishi njia itakuwa rahisi, lakini inamaanisha kuwa marudio yanafaa. Ingawa malengo yanapaswa kubaki thabiti, mikakati ya kuyafikia lazima iwe rahisi kubadilika. Kuandika mikakati yako kwa penseli inaashiria kubadilika. Maisha hayatabiriki, na mara chache njia ya mafanikio sio mstari ulionyooka. Vizuizi vitatokea, mipango inaweza kuyumba, na hali zinaweza kubadilika. Lakini hiyo sio sababu ya kuacha malengo yako, ni mwaliko wa kubadilisha mtazamo wako. Moja ya janga kubwa katika maisha ni wakati watu kukata tamaa kwa ndoto zao kwa sababu mikakati yao ya awali haikufanya kazi. Wanachanganya kushindwa katika utekelezaji na kushindwa kwa kusudi. Lakini nikukumbushe kuwa kushindwa sio kinyume cha mafanikio; ni sehemu yake.

    Tofauti kati ya waliofanikiwa na wasiofanikiwa sio kutokuwepo kwa changamoto bali uwepo wa ustahimilivu. Mlango mmoja unapofungwa, watu waliofanikiwa hutafuta mlango mwingine, au hujijengea wenyewe. Wanaelewa kuwa kukata tamaa kwa mkakati sio sawa na kukata tamaa kwa lengo. Kuandika mikakati yako kwa penseli inamaanisha uko tayari kujifunza, kukua, na kujaribu mambo mapya. Inamaanisha kuwa wewe ni mnyenyekevu vya kutosha kukiri wakati kitu hakifanyi kazi na kuwa na ujasiri wa kujaribu tena. Mfikirie mkulima anayepanda mbegu zake. Lengo lake ni kuvuna mavuno, lengo hilo limeandikwa kwa wino. Lakini ikiwa mvua itashindwa au udongo unathibitisha kuwa hauna rutuba, yeye haachi ndoto yake ya mavuno. Badala yake, anarekebisha mkakati wake. Anaweza kutafuta umwagiliaji, kurutubisha udongo, au kujaribu mazao mapya. Lengo linabaki, lakini mbinu inabadilika. Leo, ninakupa changamoto ya kutazama upya malengo yako. Je, zimeandikwa kwa wino, zisizotikisika na dhoruba za maisha? Na vipi kuhusu mikakati yako, je, zimeandikwa kwa penseli, tayari kurekebishwa inavyohitajika? Kumbuka, ndoto zako zinafaa kupigania. Usiruhusu majaribio machache yaliyoshindwa kukushawishi kuyaacha. Kama msemo unavyokwenda, "Wakati mpango haufanyi kazi, badilisha mpango, lakini sio lengo."

    Wacha malengo yako yawe nyota yako inayokuongoza, isiyobadilika na isiyobadilika. Lakini acha mikakati yako iwe kama upepo, inaweza kubadilika na kuwa huru. Pamoja, watakuongoza kwenye mafanikio.

    ANDIKA MALENGO YAKO KWA WINO, LAKINI MIKAKATI YAKO KWA PENCIL Maisha ni safari iliyojaa ndoto, matarajio na changamoto. Katika safari hii, uwazi wa kusudi na uthabiti wa kukabiliana ni masahaba wawili muhimu. Kwangu mimi, malengo ni dira ya maisha. Yanatoa mwelekeo kwa juhudi zetu na maana ya matendo yetu. Zinatukumbusha sisi ni nani na tunataka kuwa nani. Kuandika malengo yako kwa wino kunaashiria kudumu na umuhimu wao. Inamaanisha kujitolea kwa ndoto zako na kukataa kuacha maono uliyonayo mwenyewe. Unapoandika malengo yako kwa wino, unatangaza kwa ulimwengu na kwako mwenyewe kuwa ndoto hizi haziwezi kujadiliwa. Haimaanishi njia itakuwa rahisi, lakini inamaanisha kuwa marudio yanafaa. Ingawa malengo yanapaswa kubaki thabiti, mikakati ya kuyafikia lazima iwe rahisi kubadilika. Kuandika mikakati yako kwa penseli inaashiria kubadilika. Maisha hayatabiriki, na mara chache njia ya mafanikio sio mstari ulionyooka. Vizuizi vitatokea, mipango inaweza kuyumba, na hali zinaweza kubadilika. Lakini hiyo sio sababu ya kuacha malengo yako, ni mwaliko wa kubadilisha mtazamo wako. Moja ya janga kubwa katika maisha ni wakati watu kukata tamaa kwa ndoto zao kwa sababu mikakati yao ya awali haikufanya kazi. Wanachanganya kushindwa katika utekelezaji na kushindwa kwa kusudi. Lakini nikukumbushe kuwa kushindwa sio kinyume cha mafanikio; ni sehemu yake. Tofauti kati ya waliofanikiwa na wasiofanikiwa sio kutokuwepo kwa changamoto bali uwepo wa ustahimilivu. Mlango mmoja unapofungwa, watu waliofanikiwa hutafuta mlango mwingine, au hujijengea wenyewe. Wanaelewa kuwa kukata tamaa kwa mkakati sio sawa na kukata tamaa kwa lengo. Kuandika mikakati yako kwa penseli inamaanisha uko tayari kujifunza, kukua, na kujaribu mambo mapya. Inamaanisha kuwa wewe ni mnyenyekevu vya kutosha kukiri wakati kitu hakifanyi kazi na kuwa na ujasiri wa kujaribu tena. Mfikirie mkulima anayepanda mbegu zake. Lengo lake ni kuvuna mavuno, lengo hilo limeandikwa kwa wino. Lakini ikiwa mvua itashindwa au udongo unathibitisha kuwa hauna rutuba, yeye haachi ndoto yake ya mavuno. Badala yake, anarekebisha mkakati wake. Anaweza kutafuta umwagiliaji, kurutubisha udongo, au kujaribu mazao mapya. Lengo linabaki, lakini mbinu inabadilika. Leo, ninakupa changamoto ya kutazama upya malengo yako. Je, zimeandikwa kwa wino, zisizotikisika na dhoruba za maisha? Na vipi kuhusu mikakati yako, je, zimeandikwa kwa penseli, tayari kurekebishwa inavyohitajika? Kumbuka, ndoto zako zinafaa kupigania. Usiruhusu majaribio machache yaliyoshindwa kukushawishi kuyaacha. Kama msemo unavyokwenda, "Wakati mpango haufanyi kazi, badilisha mpango, lakini sio lengo." Wacha malengo yako yawe nyota yako inayokuongoza, isiyobadilika na isiyobadilika. Lakini acha mikakati yako iwe kama upepo, inaweza kubadilika na kuwa huru. Pamoja, watakuongoza kwenye mafanikio.
    0 Commentarios ·0 Acciones ·54 Views
  • Tangu ajiunge na Al Nassr, Cristiano Ronaldo amefunga mabao 8️⃣5️⃣ katika michezo 9️⃣4️⃣ akitoa pasi za mabao 1️⃣9️⃣ .
    Tangu ajiunge na Al Nassr, Cristiano Ronaldo amefunga mabao 8️⃣5️⃣ katika michezo 9️⃣4️⃣ akitoa pasi za mabao 1️⃣9️⃣ .
    0 Commentarios ·0 Acciones ·72 Views
  • Katika hotuba yake kwa Taifa lake la Congo kwa njia ya Televisheni, Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo , Felex Tshekesedi ameweka msimamo kuwa hakuna mazungumzo na Waasi wa M23 na badala yake akasema "majibu makali yaliyoratibiwa" dhidi ya kile alichokiita "Magaidi". Tshisekedi amehimiza Wacongo wote kuungana pamoja na kuunga mkono mapambano ya Jeshi kutwaa tena udhibiti wa Mji wa Goma pamoja na zenye fujo Mashariki mwa Congo.

    " Kuweni na uhakika wa jambo moja: Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo haitajiruhusu kufedheheshwa . Tutapigana na tutashinda," amekaririwa akisema Rais huyo.

    Mchambuzi wa Siasa za Kimataifa Kutoka Nchini Tanzania, Zungu alikuwa na hayo ya kusema

    "Huu mzozo unaenda kupanuka zaidi jeshi la Congo ni dhaifu ni wazi kuwa halina uwezo wa kutosha kupambana na M23 sasa basi watahitaji washirika ili kurejesha uthibiti na kuwafukuza M23 wanaoungwa mkono na Kagame nini kitatokea?

    Kingine ni wazi kuwa mzozo huu umeushinda nguvu jumuiya ya AFRIKA MASHARIKI, si Kagame wala Tshisekedi wote ukiwasikiliza hawana imani na jumuiya hii, rejea kikao cha mwisho cha marais wa Afrika mashariki ambapo Congo iligoma kuhudhuria kisa Rwanda!!

    Tuimboee Congo pande zote zinazopigana zimechagua mtutu na sio meza!!"

    Katika hotuba yake kwa Taifa lake la Congo kwa njia ya Televisheni, Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 🇨🇩, Felex Tshekesedi ameweka msimamo kuwa hakuna mazungumzo na Waasi wa M23 na badala yake akasema "majibu makali yaliyoratibiwa" dhidi ya kile alichokiita "Magaidi". Tshisekedi amehimiza Wacongo wote kuungana pamoja na kuunga mkono mapambano ya Jeshi kutwaa tena udhibiti wa Mji wa Goma pamoja na zenye fujo Mashariki mwa Congo. " Kuweni na uhakika wa jambo moja: Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo haitajiruhusu kufedheheshwa . Tutapigana na tutashinda," amekaririwa akisema Rais huyo. Mchambuzi wa Siasa za Kimataifa Kutoka Nchini Tanzania, Zungu alikuwa na hayo ya kusema "Huu mzozo unaenda kupanuka zaidi jeshi la Congo ni dhaifu ni wazi kuwa halina uwezo wa kutosha kupambana na M23 sasa basi watahitaji washirika ili kurejesha uthibiti na kuwafukuza M23 wanaoungwa mkono na Kagame nini kitatokea? Kingine ni wazi kuwa mzozo huu umeushinda nguvu jumuiya ya AFRIKA MASHARIKI, si Kagame wala Tshisekedi wote ukiwasikiliza hawana imani na jumuiya hii, rejea kikao cha mwisho cha marais wa Afrika mashariki ambapo Congo iligoma kuhudhuria kisa Rwanda!! Tuimboee Congo pande zote zinazopigana zimechagua mtutu na sio meza!!"
    0 Commentarios ·0 Acciones ·56 Views
  • Wataalamu wa kutafsiri katuni mpo wapi
    Wataalamu wa kutafsiri katuni mpo wapi 👇
    0 Commentarios ·0 Acciones ·36 Views
  • Unampa maksi ngapi uyu jamaa kati ya 1-10

    #paulswai
    Unampa maksi ngapi uyu jamaa kati ya 1-10 #paulswai
    Haha
    1
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·82 Views ·3
  • mauaji haya
    mauaji haya😃
    Like
    1
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·41 Views
  • Wallpaper
    Wallpaper
    Love
    1
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·60 Views
  • Screen wallpaper hd
    Screen wallpaper hd
    Like
    Love
    2
    · 0 Commentarios ·0 Acciones ·63 Views
  • Screen wallpaper hd
    Screen wallpaper hd
    Love
    1
    · 1 Commentarios ·0 Acciones ·64 Views
  • Wasiwasi kati ya Rwanda na Afrika Kusini umeongezeka sana. Hii ni baada ya Rais wa Rwanda Paul Kagame kutoa onyo kali kwa Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa, akisema kwamba Rwanda imejiandaa kwa makabiliano iwapo kutakuwa na ulazima wa kufanya hivyo.

    Taarifa ya Bw Kagame ilikuwa inajibu maoni ya Bw Ramaphosa juu ya jukumu la Kikosi cha Ulinzi cha Rwanda na Kikundi cha Waasi cha M23 katika mapigano yanayoendelea katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

    Jibu la Rais Paul Kagame kwa Cyril Ramaphosa liliashiria mzozo mbaya wa kidiplomasia kati ya Afrika Kusini na Rwanda.

    Katika taarifa iliyo na maneno makali akimjibu moja kwa moja Cyril Ramaphosa kwenye mtandao wa kijamii wa X, Bwana Kagame alimshtumu Rais wa Afrika Kusini kwa kupotosha mazungumzo ya faragha juu ya hali tete mashariki mwa DRC.

    Kiongozi huyo wa Rwanda pia alisema Bwana Ramaphosa alikuwa hajaonya Rwanda juu ya shughuli zake za kijeshi DRC lakini badala yake alikuwa ameomba msaada wa vifaa, pamoja na umeme, chakula, na maji kwa wanajeshi wa Afrika Kusini.

    Wakati akikaribisha juhudi za Afrika Kusini za amani, Bwana Kagame alisisitiza kwamba nchi hiyo haikuwa katika nafasi ya kuwa mtafutaji amani wala mpatanishi na alionya zaidi kwamba ikiwa Afrika Kusini inataka makabiliano, Rwanda ingejibu ipasavyo.
    (Zungu)

    Wasiwasi kati ya Rwanda na Afrika Kusini umeongezeka sana. Hii ni baada ya Rais wa Rwanda Paul Kagame kutoa onyo kali kwa Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa, akisema kwamba Rwanda imejiandaa kwa makabiliano iwapo kutakuwa na ulazima wa kufanya hivyo. Taarifa ya Bw Kagame ilikuwa inajibu maoni ya Bw Ramaphosa juu ya jukumu la Kikosi cha Ulinzi cha Rwanda na Kikundi cha Waasi cha M23 katika mapigano yanayoendelea katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Jibu la Rais Paul Kagame kwa Cyril Ramaphosa liliashiria mzozo mbaya wa kidiplomasia kati ya Afrika Kusini na Rwanda. Katika taarifa iliyo na maneno makali akimjibu moja kwa moja Cyril Ramaphosa kwenye mtandao wa kijamii wa X, Bwana Kagame alimshtumu Rais wa Afrika Kusini kwa kupotosha mazungumzo ya faragha juu ya hali tete mashariki mwa DRC. Kiongozi huyo wa Rwanda pia alisema Bwana Ramaphosa alikuwa hajaonya Rwanda juu ya shughuli zake za kijeshi DRC lakini badala yake alikuwa ameomba msaada wa vifaa, pamoja na umeme, chakula, na maji kwa wanajeshi wa Afrika Kusini. Wakati akikaribisha juhudi za Afrika Kusini za amani, Bwana Kagame alisisitiza kwamba nchi hiyo haikuwa katika nafasi ya kuwa mtafutaji amani wala mpatanishi na alionya zaidi kwamba ikiwa Afrika Kusini inataka makabiliano, Rwanda ingejibu ipasavyo. (Zungu)
    0 Commentarios ·0 Acciones ·62 Views
  • "Rais wa Afrika Kusini tumeongea siku mbili nyuma na alisema M23 hawajauwa Wanajeshi wake bali FARDC na hakutoa onyo lolote labda kama aliongea kwa Kilugha ambacho Mimi sikifahamu, ila kama Afrika Kusini wanataka kuchangia kwenye upatikanaji wa amani huko Congo hilo ni jambo zuri sana, ila kama Afrika Kusini wanataka vurugu basi Rwanda itajibu mapigo muda wowote na saa yoyote ile” Paul Kagame, Rais wa Rwanda .

    "Rais wa Afrika Kusini tumeongea siku mbili nyuma na alisema M23 hawajauwa Wanajeshi wake bali FARDC na hakutoa onyo lolote labda kama aliongea kwa Kilugha ambacho Mimi sikifahamu, ila kama Afrika Kusini wanataka kuchangia kwenye upatikanaji wa amani huko Congo hilo ni jambo zuri sana, ila kama Afrika Kusini wanataka vurugu basi Rwanda itajibu mapigo muda wowote na saa yoyote ile” Paul Kagame, Rais wa Rwanda 🇷🇼.
    0 Commentarios ·0 Acciones ·59 Views
  • Baada ya kuripotiwa kuwa zaidi ya Watanzania mia tatu (300) wamerudishwa Nchini Tanzania kufuatia agizo la Rais wa Marekani , Donald Trump la kuwaondoa Watu wanaoishi Nchini Marekani kinyume cha sheria, Mange Kimambi ameibuka na kusema hayo:

    "Naomba niwaambie ndugu zangu kwa mara ya mwisho na nisione ten comments za issue hii. Ni hivi mimi sitokaa nirudishwe Tanzania… Yani hiyo kitu ifuteni kabisa. Haipoooo.

    .Huyo jamaa aliekatwa kwenye hii picha hawezi kubali nirudishwe kwa kimama hata siku moja Atapambana na serikali yake juu chini hadi waniache . Alafu hata hatohitaji kupambana maana huyo ni supporter wa Trump, kipindi cha uchaguzi kidogo tupeane talaka maana mimi Trump sijawahi kumwelewa…Huyo jamaa aliekatwa kwenye picha barua moja tu au simu moja tu wanamwachia mpare wake….. … Siwezi guswa na mtu mimi.- Mange kimambi, Mwanaharakati (Mtanzania) aishiye Nchini Marekani .

    Baada ya kuripotiwa kuwa zaidi ya Watanzania mia tatu (300) wamerudishwa Nchini Tanzania 🇹🇿 kufuatia agizo la Rais wa Marekani 🇺🇸, Donald Trump la kuwaondoa Watu wanaoishi Nchini Marekani kinyume cha sheria, Mange Kimambi ameibuka na kusema hayo: "Naomba niwaambie ndugu zangu kwa mara ya mwisho na nisione ten comments za issue hii. Ni hivi mimi sitokaa nirudishwe Tanzania… Yani hiyo kitu ifuteni kabisa. Haipoooo. .Huyo jamaa aliekatwa kwenye hii picha hawezi kubali nirudishwe kwa kimama hata siku moja 🤣🤣🤣Atapambana na serikali yake juu chini hadi waniache 🤣🤣🤣🤣🤣. Alafu hata hatohitaji kupambana maana huyo ni supporter wa Trump, kipindi cha uchaguzi kidogo tupeane talaka maana mimi Trump sijawahi kumwelewa…Huyo jamaa aliekatwa kwenye picha barua moja tu au simu moja tu wanamwachia mpare wake….. 🤣🤣🤣🤣🤣… Siwezi guswa na mtu mimi.- Mange kimambi, Mwanaharakati (Mtanzania) aishiye Nchini Marekani 🇺🇸.
    0 Commentarios ·0 Acciones ·67 Views
  • Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo , Félix Tshisekedi na Rais wa Burundi , Evariste Ndayishimiye wamekataa kuhudhuria mkutano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ulioitishwa na Rais wa Kenya , William Ruto, ambao pia ulipangwa kumjumuisha Rais wa Rwanda Paul Kagame ambaye alishasema kuwa yupo tayari kuhudhuria mkutano huo ila kwa kusisitiza, yagusiwe kiini haswa cha ngorongoro uliopo kati ya DR Congo na Waasi.

    Aidha, Tshisekedi amesema kuwa hatoweza kuhudhuria mkutano huo kwa sababu ya ratiba.

    Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 🇨🇩, Félix Tshisekedi na Rais wa Burundi 🇧🇮, Evariste Ndayishimiye wamekataa kuhudhuria mkutano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ulioitishwa na Rais wa Kenya 🇰🇪, William Ruto, ambao pia ulipangwa kumjumuisha Rais wa Rwanda 🇷🇼 Paul Kagame ambaye alishasema kuwa yupo tayari kuhudhuria mkutano huo ila kwa kusisitiza, yagusiwe kiini haswa cha ngorongoro uliopo kati ya DR Congo na Waasi. Aidha, Tshisekedi amesema kuwa hatoweza kuhudhuria mkutano huo kwa sababu ya ratiba.
    0 Commentarios ·0 Acciones ·60 Views
Resultados de la búsqueda