Upgrade to Pro

  • "Naitwa Diva Gizeélè Malinzi Natokea Tanga na Bukoba ... So far mi Ni Tanga finest nafanya kazi Wasafi Media .. Sina mume wala mtoto ...but looking forwad to have alein&alain🙂‍↔️

    Naipenda Yanga daima mbele nyuma mwiko ..

    Je wewe unaitwa Nani? unatoka mkoa gan .. una mke au mume una mchumba au una ki boyfriend au ki girlfriend afu ati una shabikia Team gan ?!" - Diva Thebowse.

    "Naitwa Diva Gizeélè Malinzi Natokea Tanga na Bukoba ... So far mi Ni Tanga finest😜 nafanya kazi Wasafi Media .. Sina mume wala mtoto ...but looking forwad to have alein&alain🙂‍↔️ Naipenda Yanga daima mbele nyuma mwiko .. Je wewe unaitwa Nani? unatoka mkoa gan .. una mke au mume una mchumba au una ki boyfriend au ki girlfriend afu ati una shabikia Team gan ?!" - Diva Thebowse.
    ·38 Ansichten

  • Urafiki na Mapenzi.

    Ni mahali pa amani mbali na upuuzi wa ulimwengu.
    Ni kukaa pamoja kwa ukimya.
    Ni kusimama dhidi ya ulimwengu pamoja.
    Ni nuru gizani.
    Daima ni kutafuta njia ya kurudi kwa kila mmoja.
    Ni kimbilio katika dhoruba.
    Ni kutembea njia tofauti bila kupepesuka.
    Ni kuwa tofauti na kufanana kwa wakati mmoja.
    • Urafiki na Mapenzi. Ni mahali pa amani mbali na upuuzi wa ulimwengu. Ni kukaa pamoja kwa ukimya. Ni kusimama dhidi ya ulimwengu pamoja. Ni nuru gizani. Daima ni kutafuta njia ya kurudi kwa kila mmoja. Ni kimbilio katika dhoruba. Ni kutembea njia tofauti bila kupepesuka. Ni kuwa tofauti na kufanana kwa wakati mmoja.
    Like
    1
    1 Kommentare ·24 Ansichten

  • Mzee Magoma shikilia hapo hapo uliposhika

    #paulswai
    Mzee Magoma shikilia hapo hapo uliposhika😄😄 #paulswai
    Like
    Love
    Haha
    5
    5 Kommentare ·65 Ansichten
  • penalty aliyo okoa CAMARA

    Pin Pin Camara asifananishwe na vitu vya Kijinga

    #paulswai
    penalty aliyo okoa CAMARA 🙌 Pin Pin Camara asifananishwe na vitu vya Kijinga 😀 #paulswai
    Like
    Love
    7
    ·112 Ansichten
  • #paulswai
    #paulswai
    Love
    Haha
    4
    ·113 Ansichten
  • MISIMAMO WA KUNDI (A)

    #paulswai
    MISIMAMO WA KUNDI (A) #paulswai
    Like
    Love
    Yay
    5
    ·107 Ansichten
  • Hii kitaalam inaitwaje
    Hii kitaalam inaitwaje🤣🤣😂😂🤣🤣😂
    Like
    1
    ·49 Ansichten
  • “…kila mara alikuwa akiniomba pesa, nampa… Akiniomba tena, nampa… Nilipomwambia ya kwamba sitaki tena uhusiano wa kifedha kati yetu, tuendelee na uhusiano kama ndugu, ndipo masahibu hayo yalinikuta…” - Paul Pogba akimzungumzia kaka yake, Mathias Pogba (pichani, mwenye fulana nyeupe)…

    Kesi ya ulaghai ya Paul Pogba, imefungiliwa jana huko Mjini Paris Nchini Ufaransa. Katika kesi hiyo, Watu sita (6) wamefikishwa Mahakamani wakituhumiwa kwa ulaghai, kujaribu kupora Euro milioni (18) ambazo ni zaidi ya shilingi Bilioni (50) za Tanzania na kumshikilia Mchezaji huyo wa Timu ya Taifa ya Ufaransa huku wakiwa na silaha (Bunduki).

    Kesi hiyo katika Mahakama ya jinai ya Paris, imewashangaza wengi kwa sababu Watuhumiwa ni Marafiki wa karibu wa Paul Pogba, waliokulia wote sehemu moja, Mitaa ya Roissy-en-Brie, Kaskazini mwa Jiji la Paris, lakini kubwa zaidi, wakishirikiana na Kaka wa Paul Pogba, Mathias Pogba ambaye ni mdogo wake.

    Mmoja wa watuhumiwa hao, aliiambia Mahakama kuwa “alichukizwa kuona Paul Pogba, anawasahau marafiki zake wa ‘kitaa’ na kuwaacha masikini baada ya kupata mafanikio katika soka…”

    Paul Pogba mwenyewe, ambaye wakati wa tukio alikuwa katika mafanikio makubwa Manchester United huku akijiandaa kuhamia Juventus ya Italia, hakuwepo Mahakamani hapo hiyo jana ambapo aliwakilishwa na Mawakili wake watatu (3): Wakili Pierre-Jean Douvier, Wakili Alexia Alfonsi na Wakili Carine Piccio.

    Kesi hiyo itaendelea kusikilizwa hadi Disemba 3, 2024, huku Watuhumiwa wote wakijiandaa kutumikia kifungo kati ya miaka saba (7) na miaka kumi (10) Jela endapo watakutwa na hatia.
    “…kila mara alikuwa akiniomba pesa, nampa… Akiniomba tena, nampa… Nilipomwambia ya kwamba sitaki tena uhusiano wa kifedha kati yetu, tuendelee na uhusiano kama ndugu, ndipo masahibu hayo yalinikuta…” - Paul Pogba akimzungumzia kaka yake, Mathias Pogba (pichani, mwenye fulana nyeupe)… Kesi ya ulaghai ya Paul Pogba, imefungiliwa jana huko Mjini Paris Nchini Ufaransa. Katika kesi hiyo, Watu sita (6) wamefikishwa Mahakamani wakituhumiwa kwa ulaghai, kujaribu kupora Euro milioni (18) ambazo ni zaidi ya shilingi Bilioni (50) za Tanzania 🇹🇿 na kumshikilia Mchezaji huyo wa Timu ya Taifa ya Ufaransa 🇫🇷 huku wakiwa na silaha (Bunduki). Kesi hiyo katika Mahakama ya jinai ya Paris, imewashangaza wengi kwa sababu Watuhumiwa ni Marafiki wa karibu wa Paul Pogba, waliokulia wote sehemu moja, Mitaa ya Roissy-en-Brie, Kaskazini mwa Jiji la Paris, lakini kubwa zaidi, wakishirikiana na Kaka wa Paul Pogba, Mathias Pogba ambaye ni mdogo wake. Mmoja wa watuhumiwa hao, aliiambia Mahakama kuwa “alichukizwa kuona Paul Pogba, anawasahau marafiki zake wa ‘kitaa’ na kuwaacha masikini baada ya kupata mafanikio katika soka…” Paul Pogba mwenyewe, ambaye wakati wa tukio alikuwa katika mafanikio makubwa Manchester United huku akijiandaa kuhamia Juventus ya Italia, hakuwepo Mahakamani hapo hiyo jana ambapo aliwakilishwa na Mawakili wake watatu (3): Wakili Pierre-Jean Douvier, Wakili Alexia Alfonsi na Wakili Carine Piccio. Kesi hiyo itaendelea kusikilizwa hadi Disemba 3, 2024, huku Watuhumiwa wote wakijiandaa kutumikia kifungo kati ya miaka saba (7) na miaka kumi (10) Jela endapo watakutwa na hatia.
    ·52 Ansichten
  • Nahodha wa Simba Sc Mohamed Hussein amepokea kiasi cha Tshs Milioni tano kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Bravos

    #paulswai
    Nahodha wa Simba Sc 🇹🇿 Mohamed Hussein amepokea kiasi cha Tshs Milioni tano kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Bravos 🇦🇴 #paulswai
    Love
    Like
    6
    ·107 Ansichten
  • Heri ya siku ya kuzaliwa Moussa Camara.

    #paulswai
    Heri ya siku ya kuzaliwa Moussa Camara. #paulswai
    Like
    Love
    6
    1 Kommentare ·89 Ansichten
  • - Abdul Hamza anarudi kutoka kwenye majeraha ambayo yalimuweka nje kwa kipindi kirefu na anaaminiwa na kocha Fadlu Davids kuanza kwenye mchezo wa kiushindani wa kimataifa wa CAF.

    Hamza amecheza kwa kiwango bora kwenye eneo lake huku akiwa mtulivu pale timu inapokuwa na mpira na kupiga pasi sahihi za kuanzisha mashambulizi.

    Hamza ni aina ya beki wa kati unaetamani kuwa nae kwenye timu yako...!

    #paulswai
    - Abdul Hamza anarudi kutoka kwenye majeraha ambayo yalimuweka nje kwa kipindi kirefu na anaaminiwa na kocha Fadlu Davids kuanza kwenye mchezo wa kiushindani wa kimataifa wa CAF. Hamza amecheza kwa kiwango bora kwenye eneo lake huku akiwa mtulivu pale timu inapokuwa na mpira na kupiga pasi sahihi za kuanzisha mashambulizi. Hamza ni aina ya beki wa kati unaetamani kuwa nae kwenye timu yako...! #paulswai
    Like
    Love
    4
    1 Kommentare ·95 Ansichten
  • Mussa Camara golikipa namba moja wa Simba sc amekuwa kwenye kiwango bora kwenye mchezo wa leo wa kimataifa dhidi ya Bravo.

    Mussa Camara amefanya saves kadhaa huku akicheza mkwaju wa penati mwanzoni mwa kipindi cha pili huku akilinda lango lake lisifungwe.

    Mussa Camara ni golikipa wa kiwango cha juu..!

    #paulswai
    Mussa Camara golikipa namba moja wa Simba sc amekuwa kwenye kiwango bora kwenye mchezo wa leo wa kimataifa dhidi ya Bravo. Mussa Camara amefanya saves kadhaa huku akicheza mkwaju wa penati mwanzoni mwa kipindi cha pili huku akilinda lango lake lisifungwe. Mussa Camara ni golikipa wa kiwango cha juu..! #paulswai
    Like
    Love
    4
    1 Kommentare ·111 Ansichten
  • Tuliojifunza shairi hili miaka yetu darasa la nne
    Gonga likes hapa
    Tuliojifunza shairi hili miaka yetu darasa la nne Gonga likes hapa 💪
    Like
    Love
    3
    1 Kommentare ·25 Ansichten ·13 Ansichten
  • Heshima ya nchi imelindwa.
    TotalEnergiesCAFCC

    #paulswai
    Heshima ya nchi imelindwa. TotalEnergiesCAFCC #paulswai
    Like
    Love
    5
    2 Kommentare ·94 Ansichten
  • Moussa Camara anadaka mkwaju wa penati na kuifanya Simba sc iendelee kuongoza kwa bao moja dhidi ya Bravo.

    Moussa Camara anaonyesha kwanini Simba sc wanaendelea kumuamini kwenye nafasi yake.

    #paulswai
    Moussa Camara anadaka mkwaju wa penati na kuifanya Simba sc iendelee kuongoza kwa bao moja dhidi ya Bravo. Moussa Camara anaonyesha kwanini Simba sc wanaendelea kumuamini kwenye nafasi yake. #paulswai
    Like
    Love
    3
    1 Kommentare ·121 Ansichten
  • MWALIMU NA MWANAFUNZI.

    Mtoto: Mwalimu mimi nataka nisome darasa la nne kwani hili la3 halinifai.

    Mwalimu: Kwa nini unasema hivyo?

    Mtoto: Nina akili…

    Basi mwalimu akamueleza mkuu wa shule na mkuu kaitisha interview kwa dogo. Maswali ni haya….

    Mwalimu: Kwenye ndege kuna matofali 20 tukitoa moja tukalidondosha chini yatabaki mangapi?

    Dogo: Yatabaki 19.

    Mwalimu: Nipe hatua za kumuweka tembo kwenye friji.

    Dogo: Unafungua friji unamuweka tembo kisha unafunga.

    Mwalimu: Nipe hatua za kumuweka nyani kwenye friji.

    Dogo: Unafungua friji unamtoa tembo ulemuweka..unamueka nyani kisha unafunga friji.

    Mwalimu: Kuna sherehe ya siku ya kuzaliwa kwa simba, wanyama wote wameenda kasoro mmoja. Ni nani na kwa nini?

    Dogo: Ni nyani kwa sababu tumemuweka kwenye friji.

    Mwalimu: Bibi kizee amevuka mto unaokuwaga na mamba na viboko wakali, aliwezaje?

    Dogo: Aliweza kwani mamba na viboko nao walienda kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa simba.

    Mwalimu: Ingawa bibi kizee alivuka mto, baadae alikufa. Unadhani ni kwanini alikufa?

    Dogo: Alidondokewa na lile tofali tulotoa kwenye ndege na kutupa chini.

    Mwalimu mkuu: Huyu dogo akasome chuo kikuu….


    NIMEAMUA KUONDOKA NAE ATANIFAHA SANA
    MWALIMU NA MWANAFUNZI. Mtoto: Mwalimu mimi nataka nisome darasa la nne kwani hili la3 halinifai. Mwalimu: Kwa nini unasema hivyo? Mtoto: Nina akili… Basi mwalimu akamueleza mkuu wa shule na mkuu kaitisha interview kwa dogo. Maswali ni haya…. Mwalimu: Kwenye ndege kuna matofali 20 tukitoa moja tukalidondosha chini yatabaki mangapi? Dogo: Yatabaki 19. Mwalimu: Nipe hatua za kumuweka tembo kwenye friji. Dogo: Unafungua friji unamuweka tembo kisha unafunga. Mwalimu: Nipe hatua za kumuweka nyani kwenye friji. Dogo: Unafungua friji unamtoa tembo ulemuweka..unamueka nyani kisha unafunga friji. Mwalimu: Kuna sherehe ya siku ya kuzaliwa kwa simba, wanyama wote wameenda kasoro mmoja. Ni nani na kwa nini? Dogo: Ni nyani kwa sababu tumemuweka kwenye friji. Mwalimu: Bibi kizee amevuka mto unaokuwaga na mamba na viboko wakali, aliwezaje? Dogo: Aliweza kwani mamba na viboko nao walienda kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa simba. Mwalimu: Ingawa bibi kizee alivuka mto, baadae alikufa. Unadhani ni kwanini alikufa? Dogo: Alidondokewa na lile tofali tulotoa kwenye ndege na kutupa chini. Mwalimu mkuu: Huyu dogo akasome chuo kikuu…. 😆😆😆😆😆😆😆😆 😁😁😁😂😂😂NIMEAMUA KUONDOKA NAE ATANIFAHA SANA
    Like
    1
    ·53 Ansichten
  • Mapumziko. TotalEnergiesCAFCC

    #paulswai
    Mapumziko. TotalEnergiesCAFCC #paulswai
    Like
    Love
    4
    1 Kommentare ·124 Ansichten
  • GOOOOOOOOOOOOOAL
    DK26
    Ahoua ⚽️

    SIMBA SC 1️⃣🆚️0️⃣ BRAVOS

    #paulswai
    GOOOOOOOOOOOOOAL DK26 Ahoua ⚽️ SIMBA SC 1️⃣🆚️0️⃣ BRAVOS #paulswai
    Like
    Love
    4
    1 Kommentare ·128 Ansichten
  • Kutana na mme mkorofi na mke mkorofi angalia matokeo siku moja mke aliandika latiba kwa mume wake na kuibandaka chumbani kwao ratiba hiyo ilisomeka kama ifwatavyo-;
    RATIBA YA KUKUPA;
    Jumatatu-sikupi
    JUMANNE-sikupi
    JUMATANO-nakupa
    ARHAMIS-sikupi
    IJUMAA-sikupi
    JUMAMOSI-sikupi
    JUMAPILI-nakupa
    Sihitaji usumbufu siku ambazo sikupi
    MUME KUONA HIYO RATIBA NAE akaandika yake iliyo someka hivi:-
    RATIBA YA KULALA NJE:
    J'3-nje
    J'4-nje
    J'5-naumwa
    Alhamis-nje
    Ijumaa-nje
    Jumamosi-nje
    Jumapili-naumwa

    Ww si unajifanya nunda, siku nitakazo umwasitaki usumbufu.

    NANI MKALI ZAIDI?
    Kutana na mme mkorofi na mke mkorofi angalia matokeo siku moja mke aliandika latiba kwa mume wake na kuibandaka chumbani kwao ratiba hiyo ilisomeka kama ifwatavyo-; RATIBA YA KUKUPA; Jumatatu-sikupi JUMANNE-sikupi JUMATANO-nakupa ARHAMIS-sikupi IJUMAA-sikupi JUMAMOSI-sikupi JUMAPILI-nakupa Sihitaji usumbufu siku ambazo sikupi MUME KUONA HIYO RATIBA NAE akaandika yake iliyo someka hivi:- RATIBA YA KULALA NJE: J'3-nje J'4-nje J'5-naumwa Alhamis-nje Ijumaa-nje Jumamosi-nje Jumapili-naumwa Ww si unajifanya nunda, siku nitakazo umwasitaki usumbufu. NANI MKALI ZAIDI?😂😂😂😂
    Like
    1
    ·46 Ansichten
  • Kutana na mme mkorofi na mke mkorofi angalia matokeo siku moja mke aliandika latiba kwa mume wake na kuibandaka chumbani kwao ratiba hiyo ilisomeka kama ifwatavyo-;
    RATIBA YA KUKUPA;
    Jumatatu-sikupi
    JUMANNE-sikupi
    JUMATANO-nakupa
    ARHAMIS-sikupi
    IJUMAA-sikupi
    JUMAMOSI-sikupi
    JUMAPILI-nakupa
    Sihitaji usumbufu siku ambazo sikupi
    MUME KUONA HIYO RATIBA NAE akaandika yake iliyo someka hivi:-
    RATIBA YA KULALA NJE:
    J'3-nje
    J'4-nje
    J'5-naumwa
    Alhamis-nje
    Ijumaa-nje
    Jumamosi-nje
    Jumapili-naumwa

    Ww si unajifanya nunda, siku nitakazo umwasitaki usumbufu.

    NANI MKALI ZAIDI?
    Kutana na mme mkorofi na mke mkorofi angalia matokeo siku moja mke aliandika latiba kwa mume wake na kuibandaka chumbani kwao ratiba hiyo ilisomeka kama ifwatavyo-; RATIBA YA KUKUPA; Jumatatu-sikupi JUMANNE-sikupi JUMATANO-nakupa ARHAMIS-sikupi IJUMAA-sikupi JUMAMOSI-sikupi JUMAPILI-nakupa Sihitaji usumbufu siku ambazo sikupi MUME KUONA HIYO RATIBA NAE akaandika yake iliyo someka hivi:- RATIBA YA KULALA NJE: J'3-nje J'4-nje J'5-naumwa Alhamis-nje Ijumaa-nje Jumamosi-nje Jumapili-naumwa Ww si unajifanya nunda, siku nitakazo umwasitaki usumbufu. NANI MKALI ZAIDI?😂😂😂😂
    Like
    1
    ·20 Ansichten
Suchergebnis