• Abu Dhabi City Tour

    Looking for the most incredible place to spend your holidays? Abu Dhabi is here to offer you modern architecture and rich culture! Positively, Abu Dhabi Tourist Places is providing the Abu Dhabi City Tour along with top-notch services. On this tour, you will get to know about the hidden gems of Abu Dhabi. Some of the most fascinating places that you will see in this tour are the Ferrari World Abu Dhabi, the BAPS Swaminarayan Temple, and Heritage Village. If you grab this chance to be a part of this tour, you may get to experience the best times of your life! So, pack your bags now!

    Visit:- https://abudhabitouristplaces.com/product/tour/abu-dhabi-city-tour/

    #abudhabicitytour #abudhabitourfromdubai #abudhabitourpackage

    Abu Dhabi City Tour Looking for the most incredible place to spend your holidays? Abu Dhabi is here to offer you modern architecture and rich culture! Positively, Abu Dhabi Tourist Places is providing the Abu Dhabi City Tour along with top-notch services. On this tour, you will get to know about the hidden gems of Abu Dhabi. Some of the most fascinating places that you will see in this tour are the Ferrari World Abu Dhabi, the BAPS Swaminarayan Temple, and Heritage Village. If you grab this chance to be a part of this tour, you may get to experience the best times of your life! So, pack your bags now! Visit:- https://abudhabitouristplaces.com/product/tour/abu-dhabi-city-tour/ #abudhabicitytour #abudhabitourfromdubai #abudhabitourpackage
    0 Reacties ·0 aandelen ·5 Views
  • https://about.me/blossombydaisy
    https://about.me/blossombydaisy
    0 Reacties ·0 aandelen ·3 Views
  • https://blossombydaisy.com.au/pages/florist-burnside
    https://blossombydaisy.com.au/pages/florist-burnside
    Florist Burnside, Same Day Flower Delivery, Florist Near Me
    blossombydaisy.com.au
    Florist Burnside. Same day flower delivery from Blossom by Daisy. Local Florist near you in Burnside. Buy beautiful & fresh flowers online.
    0 Reacties ·0 aandelen ·5 Views
  • https://ontoplist.in.net/article/petals-of-perfection-celebrating-lifes-moments-with-melbournes-best-blooms
    https://postr.blog/blossoms-that-speak-tailored-florals-for-every-melbourne-occasion
    https://guest-post.org/from-petals-to-people-how-melbournes-local-florists-are-spreading-joy/
    https://younivix.com/blossombydaisy
    https://ontoplist.in.net/article/petals-of-perfection-celebrating-lifes-moments-with-melbournes-best-blooms https://postr.blog/blossoms-that-speak-tailored-florals-for-every-melbourne-occasion https://guest-post.org/from-petals-to-people-how-melbournes-local-florists-are-spreading-joy/ https://younivix.com/blossombydaisy
    0 Reacties ·0 aandelen ·4 Views
  • https://newsworldstream.com/from-studio-to-suburb-the-heartfelt-reach-of-melbournes-floristry
    https://bloghub.in.net/profile/blossomby-daisy-876
    https://bloghub.in.net/article/melbourne-in-bloom-delivering-floral-joy-across-every-suburb
    https://ontoplist.in.net/profile/blossomby-daisy-682
    https://newsworldstream.com/from-studio-to-suburb-the-heartfelt-reach-of-melbournes-floristry https://bloghub.in.net/profile/blossomby-daisy-876 https://bloghub.in.net/article/melbourne-in-bloom-delivering-floral-joy-across-every-suburb https://ontoplist.in.net/profile/blossomby-daisy-682
    0 Reacties ·0 aandelen ·3 Views
  • https://blossombydaisy.medium.com/blooming-with-purpose-why-local-florists-matter-more-than-ever-906a69f51a40
    https://euromediawire.com/blogs/from-petals-to-porches-the-blooming-journey-of-your-bouquet/
    https://blogingers.com/petals-with-a-purpose-sending-smiles-across-melbournes-suburbs/
    https://blossombydaisy.medium.com/blooming-with-purpose-why-local-florists-matter-more-than-ever-906a69f51a40 https://euromediawire.com/blogs/from-petals-to-porches-the-blooming-journey-of-your-bouquet/ https://blogingers.com/petals-with-a-purpose-sending-smiles-across-melbournes-suburbs/
    Blooming with Purpose: Why Local Florists Matter More Than Ever
    blossombydaisy.medium.com
    In a fast-paced world where everything is just a click away, the charm and importance of a local florist might seem like a thing of the…
    0 Reacties ·0 aandelen ·3 Views
  • https://instapaper.com/p/blossombydaisy
    https://instapaper.com/p/blossombydaisy
    Instapaper
    instapaper.com
    A simple tool for saving web pages to read later on your iPhone, iPad, Android, computer, or Kindle.
    0 Reacties ·0 aandelen ·3 Views
  • Top BAMS Colleges in India: Eligibility, Ranking & Admission Guide


    Looking for the best BAMS colleges in India? Here's a detailed list of top Ayurvedic colleges with updated 2025 rankings, eligibility criteria, and admission details. Whether you're preparing for NEET-UG or planning a career in Ayurveda, this guide will help you choose the right BAMS college. Learn about the best institutions like BHU, NIA Jaipur, and Gujarat Ayurved University, including academic strengths, locations, and how to apply. # BAMS colleges in India, top Ayurvedic colleges, best BAMS institutes
    Top BAMS Colleges in India: Eligibility, Ranking & Admission Guide Looking for the best BAMS colleges in India? Here's a detailed list of top Ayurvedic colleges with updated 2025 rankings, eligibility criteria, and admission details. Whether you're preparing for NEET-UG or planning a career in Ayurveda, this guide will help you choose the right BAMS college. Learn about the best institutions like BHU, NIA Jaipur, and Gujarat Ayurved University, including academic strengths, locations, and how to apply. # BAMS colleges in India, top Ayurvedic colleges, best BAMS institutes
    0 Reacties ·0 aandelen ·3 Views
  • Introducing the DUDUU_MENDEZ VCF Generator – Your Ultimate Contact Sharing Solution!

    What is a VCF File?
    A VCF (vCard File) is a digital business card that stores contact details (name, phone, email, etc.). It’s universally compatible with phones (Android/iOS), email clients, and CRM tools—making contact sharing quick and professional!

    Why Use Our VCF Generator?
    **Easy Sharing**: Create and download VCF files in seconds.
    **Bulk Contacts**: Collect multiple contacts via forms (great for events, teams, or businesses).
    **Track & Analyze**: Monitor form submissions in real-time on your dashboard.
    **Secure & Control**: Delete forms or data anytime.

    How It Works:
    1️⃣ **Visit**: [https://duduumendez.xyz/service/vcf-generator]
    2️⃣ **Login/Signup**: Create a free account.
    3️⃣ **Build Your Form**: Add fields (name, phone, email, etc.).
    4️⃣ **Share the Form**: Let others submit their details.
    5️⃣ **Download VCF**: Get all contacts in a single file!

    ** Perfect For:**
    Businesses collecting client details.
    Event organizers managing attendees.
    Teams streamlining contact sharing.

    ** Get Started Now**:
    [https://duduumendez.xyz/service/vcf-generator]

    Join the DUDUU_MENDEZ COMMUNITY today and simplify contact management!

    #VCF #DigitalBusinessCard #ContactManagement #TechTools
    #Duduumendez #DUDUU_MENDEZ #mendez
    🚀 Introducing the DUDUU_MENDEZ VCF Generator – Your Ultimate Contact Sharing Solution! 📌 What is a VCF File? A VCF (vCard File) is a digital business card that stores contact details (name, phone, email, etc.). It’s universally compatible with phones (Android/iOS), email clients, and CRM tools—making contact sharing quick and professional! ✨ Why Use Our VCF Generator? ✅ **Easy Sharing**: Create and download VCF files in seconds. ✅ **Bulk Contacts**: Collect multiple contacts via forms (great for events, teams, or businesses). ✅ **Track & Analyze**: Monitor form submissions in real-time on your dashboard. ✅ **Secure & Control**: Delete forms or data anytime. 🌐 How It Works: 1️⃣ **Visit**: [https://duduumendez.xyz/service/vcf-generator] 2️⃣ **Login/Signup**: Create a free account. 3️⃣ **Build Your Form**: Add fields (name, phone, email, etc.). 4️⃣ **Share the Form**: Let others submit their details. 5️⃣ **Download VCF**: Get all contacts in a single file! **💡 Perfect For:** ✔️ Businesses collecting client details. ✔️ Event organizers managing attendees. ✔️ Teams streamlining contact sharing. **🔗 Get Started Now**: 👉 [https://duduumendez.xyz/service/vcf-generator] Join the DUDUU_MENDEZ COMMUNITY today and simplify contact management! 🚀 #VCF #DigitalBusinessCard #ContactManagement #TechTools #Duduumendez #DUDUU_MENDEZ #mendez
    Like
    1
    · 0 Reacties ·0 aandelen ·14 Views
  • Mtu asiye wajibika ni mtu wa visingizio sana .

    Siku ya jana nimebahatika kusoma habari ya dada mmojaaliye itwa Herben Girma ambaye alikuwa haoni wala asikii lakini alikuwa dada wa kwanza kumaliza shahada ya sheria katika chuo kikuu maarufu sana nchini marekani na duniani si kingine bali ni havard university.

    Yeye binafsi alikuwa naulemavu huo lakini pia mama yake Haben alikuwa mkimbizi kutoka Eritea na alikimbia kutokana na vita iliyo kuwa imetokana miaka mingi huko nyuma.

    Kutokana na ulemavu wake na pia kutokana na familia aliyo tokea tulitegemea asubiri kupewa msaada na wasamalia wema ila yeye alikuwa tofauti aliamua kuwajibika kwa maisha yake .

    Herben anasema aliamua kuwajibika kikamilifu katika maisha yake namnukuu *"Nilikuwa na ndoto ya kuwa mwanasheria maarufu sana na hakuona kinacho weza kumzuia na alifanikisha kufika ndoto hiyo ."*

    Kama ujajoin group karibu ujoin ili tuweze jifunza pamoja .
    https://chat.whatsapp.com/IxkPEsnxi02ExNGrlmbWR4
    .
    Kwakawaida kama angejionea huruma basi angebaki kuwa omba omba ila kwakuwa aliweza kuuwajibisha ubongo wake ukakubali na kumfanya mkuu.

    Kadiri unavyo laumu ndivyo unavyo uambia ubongo wako wewe siyo wa kuwajibika na wenyewe unachukua hivyo hivyo.

    Watu wa aina hii mdo watu wanao panga mipango na wanategemea wengine kuwatimilizia malengo yao.

    Ok unasema nini ngoja nikuonyeshe kwenye biblia jinsi watu walivyo taka kujitetea kuwajibika na jinsi Mungu alivyo wajibu.

    1.wakati Mungu anauona uwezo wa kishujaa na kikombozi ndani ya Gidion yeye akuona hivyo yeye alikuwa anaona kama awezi kuwajibika juu ya kazi aliyo itiwa.

    Waamuzi 6:15

    [15]Akamwambia, Ee Bwana, nitawaokoa Israeli kwa jinsi gani? *Tazama, jamaa zangu ndio walio maskini sana katika Manase, na mimi ndimi niliye mdogo katika nyumba ya baba yangu*

    Gidion alikuwa anazani sababu ya kutoka katika koo masikini na ndogo kabisa lakini kumbe anawajibu mkubwa sana wakufanyika mkombozi na mwamuzi .

    Haikujalisha kuwa ametokea katika mazingira gani yeye akafanyika lango la uamsho kwa wenzake na kuwakomboa wenzake wote .

    Kwa uwezo gani ule ule wa kutumia upinde na mishare na akashinda .

    Ok kuna hadithi maarufu sana katika agano la kare inayo muhusu Daudi na Goliath ambayo Daudi akuwa war expert wala train soldier lakini Goliath alikua skill and trained soldier mwenye medani za kutosha lakini aliangushwa na Daudi kwa kutumia kombeo.

    Kumbe kuwajibika hakutokani na kiasi unacho pata bali kunatokana na utayari wako wa kuwajibika .

    Siku utakayo amua kuanza kuwajibika ndo siku utayo anza kuwa mshindi .

    Ukianza kuthubutu Mungu ataanza kukutumia katika ukuu ule ule na kukufanya kuwa moja ya wakuu katika taifa husika.

    Ok i hope umejifunza kitu na kujua kuwa hakuna kinacho weza kukuzuia ukiwa na jambo lako na hakika utaweza kuanza kuwajibika acha kupiga kelele sana maisha ni yako.

    Take care.naitwa sylvester kutoka (build new eden) ni mwalimu wa neno la Mungu .

    Kama ujajoin group karibu ujoin ili tuweze jifunza pamoja .
    https://chat.whatsapp.com/IxkPEsnxi02ExNGrlmbWR4
    .
    #build new eden
    #restore men position
    Mtu asiye wajibika ni mtu wa visingizio sana . Siku ya jana nimebahatika kusoma habari ya dada mmojaaliye itwa Herben Girma ambaye alikuwa haoni wala asikii lakini alikuwa dada wa kwanza kumaliza shahada ya sheria katika chuo kikuu maarufu sana nchini marekani na duniani si kingine bali ni havard university. Yeye binafsi alikuwa naulemavu huo lakini pia mama yake Haben alikuwa mkimbizi kutoka Eritea na alikimbia kutokana na vita iliyo kuwa imetokana miaka mingi huko nyuma. Kutokana na ulemavu wake na pia kutokana na familia aliyo tokea tulitegemea asubiri kupewa msaada na wasamalia wema ila yeye alikuwa tofauti aliamua kuwajibika kwa maisha yake . Herben anasema aliamua kuwajibika kikamilifu katika maisha yake namnukuu *"Nilikuwa na ndoto ya kuwa mwanasheria maarufu sana na hakuona kinacho weza kumzuia na alifanikisha kufika ndoto hiyo ."* Kama ujajoin group karibu ujoin ili tuweze jifunza pamoja . https://chat.whatsapp.com/IxkPEsnxi02ExNGrlmbWR4 . Kwakawaida kama angejionea huruma basi angebaki kuwa omba omba ila kwakuwa aliweza kuuwajibisha ubongo wake ukakubali na kumfanya mkuu. Kadiri unavyo laumu ndivyo unavyo uambia ubongo wako wewe siyo wa kuwajibika na wenyewe unachukua hivyo hivyo. Watu wa aina hii mdo watu wanao panga mipango na wanategemea wengine kuwatimilizia malengo yao. Ok unasema nini ngoja nikuonyeshe kwenye biblia jinsi watu walivyo taka kujitetea kuwajibika na jinsi Mungu alivyo wajibu. 1.wakati Mungu anauona uwezo wa kishujaa na kikombozi ndani ya Gidion yeye akuona hivyo yeye alikuwa anaona kama awezi kuwajibika juu ya kazi aliyo itiwa. Waamuzi 6:15 [15]Akamwambia, Ee Bwana, nitawaokoa Israeli kwa jinsi gani? *Tazama, jamaa zangu ndio walio maskini sana katika Manase, na mimi ndimi niliye mdogo katika nyumba ya baba yangu* Gidion alikuwa anazani sababu ya kutoka katika koo masikini na ndogo kabisa lakini kumbe anawajibu mkubwa sana wakufanyika mkombozi na mwamuzi . Haikujalisha kuwa ametokea katika mazingira gani yeye akafanyika lango la uamsho kwa wenzake na kuwakomboa wenzake wote . Kwa uwezo gani ule ule wa kutumia upinde na mishare na akashinda . Ok kuna hadithi maarufu sana katika agano la kare inayo muhusu Daudi na Goliath ambayo Daudi akuwa war expert wala train soldier lakini Goliath alikua skill and trained soldier mwenye medani za kutosha lakini aliangushwa na Daudi kwa kutumia kombeo. Kumbe kuwajibika hakutokani na kiasi unacho pata bali kunatokana na utayari wako wa kuwajibika . Siku utakayo amua kuanza kuwajibika ndo siku utayo anza kuwa mshindi . Ukianza kuthubutu Mungu ataanza kukutumia katika ukuu ule ule na kukufanya kuwa moja ya wakuu katika taifa husika. Ok i hope umejifunza kitu na kujua kuwa hakuna kinacho weza kukuzuia ukiwa na jambo lako na hakika utaweza kuanza kuwajibika acha kupiga kelele sana maisha ni yako. Take care.naitwa sylvester kutoka (build new eden) ni mwalimu wa neno la Mungu . Kama ujajoin group karibu ujoin ili tuweze jifunza pamoja . https://chat.whatsapp.com/IxkPEsnxi02ExNGrlmbWR4 . #build new eden #restore men position
    0 Reacties ·0 aandelen ·23 Views
  • Sijui kwanini nimesikia kuandika haya , ila naamini kuna mtu atajifunza kitu na inawezekana huyo mtu akawa wewe.

    Nimekuwa nikikaana watu wengi sana hasa vijana mara nyingi wananiuliza nini mtazamo wangu kuhusu mahusiano mpaka ndoa .

    Leo nitaongea machache sana kabla ya kutoa mtazamo natamani ujue haya pengine utajua naelekea wapi katika kutoa mtizamo wangu.

    Naomba nizungumzie vipindi vitatu muhimu vya mahusiano (ndoa).

    1.love
    Kipindi cha upofu wa mapenzi .kipindi kinacho anza urafiki mpka uchumba.

    Ni kipindi ambacho unahisi girl/boy friend wako unamjua lakini uhalisia bado ujaanza kumjua .

    Hiki ndicho kipindi ambacho unaongozwa na hisia zaidi kuliko akiri .

    Ndo kipindi pekee unaweza kosana na kila mtu ili kulinda pendo lenu.

    Waswahili tunakiita love bila kunyumbua lakini wagiriki walinyumbua wanakiita Eros's wakimaanisha kipindi cha mahaba wazungu wanakiita romantic love.

    Kipindi cha pili kinaitwa realization.

    Hiki ndicho kipindi muhimu sana katika maisha .

    Kipindi ambacho unamjua mwenzako uhalisia wake wote tofauti na vile ulivyo kuwa unamuona kwa nje.

    Ndo kipindi ambacho unaijionea rangi halisi ya mwenzako na wakati huo huo uko ndani ya kiapo ambacho kifo uwatenganisha .

    Kipindi hiki ndicho kinaitwa kipinndi cha kuchukuliana na kuvumiliana .

    Hiki ndicho kipindi ambacho familia inaweza tengenezwa kwa amani au lah.

    Join group kwa mafundisho zaidi https://chat.whatsapp.com/IxkPEsnxi02ExNGrlmbWR4

    Kipindi cha tatu: Redemption period

    Kipindi cha majuto ,hiki ndicho kipindi kigumu sana katika mahusiano au ndoa .

    Ni kipindi kinacho tokea na makosa yaliyo zalishwa zaidi na kipindi cha kwanza kabisa yaani love .

    Hiki ndicho kipindi unakuwa na machaguo mawili tu moja uamue kuacha ufe kiroho au uamue kuvumilia ili uwe imara zaidi.

    Kutokea hapo ndipo neno mwili mmoja linakamilika kwa maana ya kuchukuliana na mwenzako katika madhaifu yake kama yako na yako kama yake.

    Nimeandika kwa uchache sana lakini kwa mtazamo wangu vijana kutokujua vipindi hivi ndio matokeo ya migogoro katika ndoa au mahusiano

    Mfano ukishavuka kipindi cha uhalisia (, realization) unapasw usiingie katika majuto bali uingie kipindi cha kuchukuliana na kuvumiliana mtazaa kitu kinaitwa kutendeana na hapo ndipo upendo wa kimaisha ule usio na sababu unazaliwa .

    Nashusha karamu yangu chini ila nakukumbusha kabla ujawaza kuoa au kuolewa au hata kama umeshaolewa au kuoa tambua vipindi hivi na anza kuishi uku ukiwa na maarifa ya kila kipindi ili uje uinusuru familia yako kesho.

    Take care,, naitwa sylvester Mwakabende kutoka (Build new eden ministry)

    Join group kwa mafundisho zaidi https://chat.whatsapp.com/IxkPEsnxi02ExNGrlmbWR4

    #build new eden
    #restore men position
    Sijui kwanini nimesikia kuandika haya , ila naamini kuna mtu atajifunza kitu na inawezekana huyo mtu akawa wewe. Nimekuwa nikikaana watu wengi sana hasa vijana mara nyingi wananiuliza nini mtazamo wangu kuhusu mahusiano mpaka ndoa . Leo nitaongea machache sana kabla ya kutoa mtazamo natamani ujue haya pengine utajua naelekea wapi katika kutoa mtizamo wangu. Naomba nizungumzie vipindi vitatu muhimu vya mahusiano (ndoa). 1.love Kipindi cha upofu wa mapenzi .kipindi kinacho anza urafiki mpka uchumba. Ni kipindi ambacho unahisi girl/boy friend wako unamjua lakini uhalisia bado ujaanza kumjua . Hiki ndicho kipindi ambacho unaongozwa na hisia zaidi kuliko akiri . Ndo kipindi pekee unaweza kosana na kila mtu ili kulinda pendo lenu. Waswahili tunakiita love bila kunyumbua lakini wagiriki walinyumbua wanakiita Eros's wakimaanisha kipindi cha mahaba wazungu wanakiita romantic love. Kipindi cha pili kinaitwa realization. Hiki ndicho kipindi muhimu sana katika maisha . Kipindi ambacho unamjua mwenzako uhalisia wake wote tofauti na vile ulivyo kuwa unamuona kwa nje. Ndo kipindi ambacho unaijionea rangi halisi ya mwenzako na wakati huo huo uko ndani ya kiapo ambacho kifo uwatenganisha . Kipindi hiki ndicho kinaitwa kipinndi cha kuchukuliana na kuvumiliana . Hiki ndicho kipindi ambacho familia inaweza tengenezwa kwa amani au lah. Join group kwa mafundisho zaidi https://chat.whatsapp.com/IxkPEsnxi02ExNGrlmbWR4 Kipindi cha tatu: Redemption period Kipindi cha majuto ,hiki ndicho kipindi kigumu sana katika mahusiano au ndoa . Ni kipindi kinacho tokea na makosa yaliyo zalishwa zaidi na kipindi cha kwanza kabisa yaani love . Hiki ndicho kipindi unakuwa na machaguo mawili tu moja uamue kuacha ufe kiroho au uamue kuvumilia ili uwe imara zaidi. Kutokea hapo ndipo neno mwili mmoja linakamilika kwa maana ya kuchukuliana na mwenzako katika madhaifu yake kama yako na yako kama yake. Nimeandika kwa uchache sana lakini kwa mtazamo wangu vijana kutokujua vipindi hivi ndio matokeo ya migogoro katika ndoa au mahusiano Mfano ukishavuka kipindi cha uhalisia (, realization) unapasw usiingie katika majuto bali uingie kipindi cha kuchukuliana na kuvumiliana mtazaa kitu kinaitwa kutendeana na hapo ndipo upendo wa kimaisha ule usio na sababu unazaliwa . Nashusha karamu yangu chini ila nakukumbusha kabla ujawaza kuoa au kuolewa au hata kama umeshaolewa au kuoa tambua vipindi hivi na anza kuishi uku ukiwa na maarifa ya kila kipindi ili uje uinusuru familia yako kesho. Take care,, naitwa sylvester Mwakabende kutoka (Build new eden ministry) Join group kwa mafundisho zaidi https://chat.whatsapp.com/IxkPEsnxi02ExNGrlmbWR4 #build new eden #restore men position
    0 Reacties ·0 aandelen ·44 Views
  • Bitcoin Service Phone Number

    Need help with a Bitcoin transaction or ATM issue? Contact the official Bitcoin service phone number at +1 (833) 798-5146 for fast and reliable support. Visit Crypto Customer Care for assistance with wallet issues, lost funds, or scams. Get expert help resolving crypto problems anytime.

    https://crypto-customer-care-org.pissedconsumer.com/customer-service.html
    https://sites.google.com/view/bitcoinservicephonenumber/home

    #bitcoin #bitcoinhelp #cryptocustomerservice #investsmart #blockchainsupport #crypto #bitcoinservice #cryptohelpline #cryptocustomercare #bitcoinexchange
    Bitcoin Service Phone Number Need help with a Bitcoin transaction or ATM issue? Contact the official Bitcoin service phone number at +1 (833) 798-5146 for fast and reliable support. Visit Crypto Customer Care for assistance with wallet issues, lost funds, or scams. Get expert help resolving crypto problems anytime. https://crypto-customer-care-org.pissedconsumer.com/customer-service.html https://sites.google.com/view/bitcoinservicephonenumber/home #bitcoin #bitcoinhelp #cryptocustomerservice #investsmart #blockchainsupport #crypto #bitcoinservice #cryptohelpline #cryptocustomercare #bitcoinexchange
    0 Reacties ·0 aandelen ·34 Views
  • https://www.youtube.com/watch?v=mRzspUwAIdQ
    https://www.youtube.com/watch?v=mRzspUwAIdQ
    0 Reacties ·0 aandelen ·41 Views
  • Vp apa kuna utofauti saivi
    Vp apa kuna utofauti saivi
    Like
    2
    · 1 Reacties ·0 aandelen ·73 Views
  • Mathayo 18:10- 12
    [10]Angalieni msidharau mmojawapo wadogo hawa; kwa maana nawaambia ya kwamba malaika wao mbinguni siku zote huutazama uso wa Baba yangu aliye mbinguni.

    *[11][Kwa maana Mwana wa Adamu alikuja kukiokoa kilichopotea.*

    Hili ndilo kusudi kubwa la Yesu lilikuwa ni kuja kukomboa kile kilicho ibiwa au kupotea na si kuja kukihukumu kile kilicho potea.

    Yesu alikuja ili amrejeze mwanadamu katika nafasi yake ambayo aliipoteza pale bustanini eden baada ya dhambi kuingia.

    Maandiko yanasema *"wote walio mpokea aliwapa uwezo wa kuwa wana"* na ukisha pata nafasi ya kuwa mwana unaanza kuwa na kazi sawa kabisa na Kristo Yesu ya kuwarudisha wanadamu wengine kwenye nafasi zao na ndio maana ya wokovu halisi.

    Badala ya kumtenga mpendwa aliye tenda dhambi kama mpendwa ambae umefanyika kuwa mwana unapaswa umuombee na kumrudisha kwenye nafasi yake ya kawaida.

    Yesu anatolea mfano huu
    Mathayo 18:12
    [12]Mwaonaje? Mtu akiwa na kondoo mia, mmoja akampotea, je! Hawaachi wale tisa na tisini, akaenda milimani, na kumtafuta yule aliyepotea?

    Sasa lazima tujue kama mfugaji anaweza kufanya hivyo ndivyo ata sisi watu tulio okoka tunapaswa kuishi na kutafuta kondoo wote kuwarudisha zizini kwani iko thawabu kubwa katika kufanya hivyo.

    Mfanye masihi wa Bwana ajivunie wewe katika huduma kama tu ukiweza kutokuwa na moyo wa choyo ubinsfsi na usengenyaji tunweza lete wengi Sana kwa Yesu na jina la yesu likatukuzwa sana.
    .Mathayo 7:1-2
    [1]Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi.
    Judge not, that ye be not judged.
    [2]Kwa kuwa hukumu ile mhukumuyo, ndiyo mtakayohukumiwa; na kipimo kile mpimiacho, ndicho mtakachopimiwa. .

    Kumbe ukiona ndugu yako anaanguka dhambini na wewe unamuona mwite mkanye ili kuutunza na kuhuheshimsha mwili wa Kristo Yesu.

    Ukisimamisha wengine na wewe itasimamishwa pia siku utakapo zimia moyo ,ukiwaacha wengine nawe utachwa siku utakapo zimia moyo .

    Tujifunze kuonyana kwa kila saa tunapo ona hatuendi tunavyo paswa kwenda wokovu ni kuonyana na kuchukuliana.

    Nikisema kuchukuliana simaanishi uingie dhambini hapana ila yakupasa kuchukuliana na wenzako ili uwarudishe watu kwenye nafasi ambayo Kristo anahiitaji .

    Kama ukifanya hivyo lazima taji upate sawa sawa na neno lake.

    Ufunuo wa Yohana 2:7
    [7]Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindaye, nitampa kula matunda ya mti wa uzima, ulio katika bustani ya Mungu.

    Kukaa kwenye bustani ya Mungu siyo tu kwenda mbinguni unaanza ustawi wa maisha hapa duniani kisha uzima wa milele .

    Natumai tumejifunza kitu Mungu akubaliki sana tuwe na siku njema na asubui njema .

    Kwa mafundisho zaidi ya neno la Mungu karibu katika group
    https://chat.whatsapp.com/IxkPEsnxi02ExNGrlmbWR4

    #build new eden
    #restore men position
    Mathayo 18:10- 12 [10]Angalieni msidharau mmojawapo wadogo hawa; kwa maana nawaambia ya kwamba malaika wao mbinguni siku zote huutazama uso wa Baba yangu aliye mbinguni. *[11][Kwa maana Mwana wa Adamu alikuja kukiokoa kilichopotea.* Hili ndilo kusudi kubwa la Yesu lilikuwa ni kuja kukomboa kile kilicho ibiwa au kupotea na si kuja kukihukumu kile kilicho potea. Yesu alikuja ili amrejeze mwanadamu katika nafasi yake ambayo aliipoteza pale bustanini eden baada ya dhambi kuingia. Maandiko yanasema *"wote walio mpokea aliwapa uwezo wa kuwa wana"* na ukisha pata nafasi ya kuwa mwana unaanza kuwa na kazi sawa kabisa na Kristo Yesu ya kuwarudisha wanadamu wengine kwenye nafasi zao na ndio maana ya wokovu halisi. Badala ya kumtenga mpendwa aliye tenda dhambi kama mpendwa ambae umefanyika kuwa mwana unapaswa umuombee na kumrudisha kwenye nafasi yake ya kawaida. Yesu anatolea mfano huu Mathayo 18:12 [12]Mwaonaje? Mtu akiwa na kondoo mia, mmoja akampotea, je! Hawaachi wale tisa na tisini, akaenda milimani, na kumtafuta yule aliyepotea? Sasa lazima tujue kama mfugaji anaweza kufanya hivyo ndivyo ata sisi watu tulio okoka tunapaswa kuishi na kutafuta kondoo wote kuwarudisha zizini kwani iko thawabu kubwa katika kufanya hivyo. Mfanye masihi wa Bwana ajivunie wewe katika huduma kama tu ukiweza kutokuwa na moyo wa choyo ubinsfsi na usengenyaji tunweza lete wengi Sana kwa Yesu na jina la yesu likatukuzwa sana. .Mathayo 7:1-2 [1]Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi. Judge not, that ye be not judged. [2]Kwa kuwa hukumu ile mhukumuyo, ndiyo mtakayohukumiwa; na kipimo kile mpimiacho, ndicho mtakachopimiwa. . Kumbe ukiona ndugu yako anaanguka dhambini na wewe unamuona mwite mkanye ili kuutunza na kuhuheshimsha mwili wa Kristo Yesu. Ukisimamisha wengine na wewe itasimamishwa pia siku utakapo zimia moyo ,ukiwaacha wengine nawe utachwa siku utakapo zimia moyo . Tujifunze kuonyana kwa kila saa tunapo ona hatuendi tunavyo paswa kwenda wokovu ni kuonyana na kuchukuliana. Nikisema kuchukuliana simaanishi uingie dhambini hapana ila yakupasa kuchukuliana na wenzako ili uwarudishe watu kwenye nafasi ambayo Kristo anahiitaji . Kama ukifanya hivyo lazima taji upate sawa sawa na neno lake. Ufunuo wa Yohana 2:7 [7]Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa. Yeye ashindaye, nitampa kula matunda ya mti wa uzima, ulio katika bustani ya Mungu. Kukaa kwenye bustani ya Mungu siyo tu kwenda mbinguni unaanza ustawi wa maisha hapa duniani kisha uzima wa milele . Natumai tumejifunza kitu Mungu akubaliki sana tuwe na siku njema na asubui njema . Kwa mafundisho zaidi ya neno la Mungu karibu katika group https://chat.whatsapp.com/IxkPEsnxi02ExNGrlmbWR4 #build new eden #restore men position
    0 Reacties ·0 aandelen ·163 Views
  • https://medicscaless.com/should-you-take-daily-ed-medication/
    https://medicscaless.com/should-you-take-daily-ed-medication/
    0 Reacties ·0 aandelen ·73 Views
  • *Nguvu iliyoko katika kumsikia Mungu.*

    Kutoka 15:26
    [26]akawaambia, Kwamba *utaisikiza kwa bidii sauti ya BWANA, Mungu wako*, na kuyafanya yaliyoelekea mbele zake, na kutega masikio usikie maagizo yake, na kuzishika amri zake, *mimi sitatia juu yako maradhi yo yote* niliyowatia Wamisri; kwa kuwa Mimi ndimi BWANA nikuponyaye.

    Wanaislaeri walipo toka misri na kuvuka mpaka bahari ya shamu.

    Walipo fika mbele wakakutana na maji machungu wakaendelea nungunikia musa.

    Na katika hayo Musa alimlilia Bwana na maji yalipatikana.

    Lakini andiko letu linasema ikiwa utasikiliza sauti ya bwana kwa bidiii kuna matokeo utayapata

    Kumbe ukiokoka na ukataka utembee katika nguvu zake za neno lake, watu waponywe kupitia wewe lazima ujifunze kumsikia Bwana Mungu wako kwanza.

    Jicho na sikio lake liko kil mahali sema ni wachache wanao lisikia na kuona kile anacho kisema na kulifanyia kazi lile wanaloliona na sababu kubwa ni kukosa bidii katika kumtafuta Bwana au kukosa maarifa sahihi juu ya neno au kukosa imani kabisa katika neno lake.

    Zaburi 91:14-15
    [14]Kwa kuwa amekaza kunipenda
    Nitamwokoa; na kumweka palipo juu,
    Kwa kuwa amenijua Jina langu.
    .
    [15]Ataniita nami nitamwitikia;
    Nitakuwa pamoja naye taabuni,
    Nitamwokoa na kumtukuza;

    Kumbe kama tukilijiua jina la Bwana lazima atatupa matokeo yenye tija katkka maisha .

    Hatupati matokeo katika wokovu sababu hatutaki kuweka imani kwa Mungu wetu na kumtukuza katika kila hatua na kuliishi kusudi lake .

    Maradhi na zaifu nimatokeo ya mtu kutoiishi bidii katika yeye .

    Kumbe iko siri kubwa sana katika kutii na kufuata yale aliyo kuagiza ili akulipe matokeo ya ,kustawi kiafya ,kiuchumi kifamilia na kila hatua.

    Najaribu kukuonesha namna gani mtu akiokoka anapaswa kusitawi kwa kukufunuliw siri hii ya kufuata maagizo ,kusikia sauti ya bwana na kumtazama yeye kabla ya kutazama wengine.

    Hesabu 21:2-3
    [2]Basi Israeli akaweka nadhiri kwa BWANA akasema, *Kama wewe utawatia watu hawa mikononi mwangu kweli ndipo mimi nitaiharibu miji yao kabisa*.

    [3]BWANA akasikiza *sauti ya Israeli*, akawatia Wakanaani mikononi mwao; nao wakawaharibu wao na miji yao kabisa; na jina la mahali hapo likaitwa Horma.

    Kwa kuwa islaeri walimtambua Bwana naye akawatambua kwa kuwatimiliza neno walilo liomba .

    Tumekuwa watu tuliokosa matokeo sababu tunaishi nje ya mapenzi ya Bwana wetu kristo au htutaki kumsikiliza ,kumtii na kumfuata arafu tunataka atupe matokeo.

    Daudi kwenye zaburi anasema kwa kuwa umenipenda

    [14]Kwa kuwa amekaza kunipenda
    *Nitamwokoa; na kumweka palipo juu, Kwa kuwa amenijua Jina langu*

    Kumbe ujapata kuwa juu sababu tu ujampenda bwana au ujalijua jina lake .

    Watu wengi wanamfamu Mungu wakati wa kutoa mapepo lakini hawamfahamu Mungu wakati wa kilimo au biashara zao na kwa kuwa hujamjua Mungu ktika kilimo basi na yeye anakupa nguvu au mafuta katika kuomba lakini katika kukuweka juu anakuacha kwa kuwa pia kuna kanuni zake pia.

    Asubui njema na baraka tele katika ijumaa ya leo .

    Tusiache kujifunza jambo jipya katika maisha kwa majina na itwa mwl Sylvester Mwakabende kutoka (build new eden ministry)

    Kwa mafundisho zaidi karibu tujifunze kupitia watsap group kwa kujiunga na link hii hapa chini .

    #build new eden
    #restore men position @
    *Nguvu iliyoko katika kumsikia Mungu.* Kutoka 15:26 [26]akawaambia, Kwamba *utaisikiza kwa bidii sauti ya BWANA, Mungu wako*, na kuyafanya yaliyoelekea mbele zake, na kutega masikio usikie maagizo yake, na kuzishika amri zake, *mimi sitatia juu yako maradhi yo yote* niliyowatia Wamisri; kwa kuwa Mimi ndimi BWANA nikuponyaye. Wanaislaeri walipo toka misri na kuvuka mpaka bahari ya shamu. Walipo fika mbele wakakutana na maji machungu wakaendelea nungunikia musa. Na katika hayo Musa alimlilia Bwana na maji yalipatikana. Lakini andiko letu linasema ikiwa utasikiliza sauti ya bwana kwa bidiii kuna matokeo utayapata Kumbe ukiokoka na ukataka utembee katika nguvu zake za neno lake, watu waponywe kupitia wewe lazima ujifunze kumsikia Bwana Mungu wako kwanza. Jicho na sikio lake liko kil mahali sema ni wachache wanao lisikia na kuona kile anacho kisema na kulifanyia kazi lile wanaloliona na sababu kubwa ni kukosa bidii katika kumtafuta Bwana au kukosa maarifa sahihi juu ya neno au kukosa imani kabisa katika neno lake. Zaburi 91:14-15 [14]Kwa kuwa amekaza kunipenda Nitamwokoa; na kumweka palipo juu, Kwa kuwa amenijua Jina langu. . [15]Ataniita nami nitamwitikia; Nitakuwa pamoja naye taabuni, Nitamwokoa na kumtukuza; Kumbe kama tukilijiua jina la Bwana lazima atatupa matokeo yenye tija katkka maisha . Hatupati matokeo katika wokovu sababu hatutaki kuweka imani kwa Mungu wetu na kumtukuza katika kila hatua na kuliishi kusudi lake . Maradhi na zaifu nimatokeo ya mtu kutoiishi bidii katika yeye . Kumbe iko siri kubwa sana katika kutii na kufuata yale aliyo kuagiza ili akulipe matokeo ya ,kustawi kiafya ,kiuchumi kifamilia na kila hatua. Najaribu kukuonesha namna gani mtu akiokoka anapaswa kusitawi kwa kukufunuliw siri hii ya kufuata maagizo ,kusikia sauti ya bwana na kumtazama yeye kabla ya kutazama wengine. Hesabu 21:2-3 [2]Basi Israeli akaweka nadhiri kwa BWANA akasema, *Kama wewe utawatia watu hawa mikononi mwangu kweli ndipo mimi nitaiharibu miji yao kabisa*. [3]BWANA akasikiza *sauti ya Israeli*, akawatia Wakanaani mikononi mwao; nao wakawaharibu wao na miji yao kabisa; na jina la mahali hapo likaitwa Horma. Kwa kuwa islaeri walimtambua Bwana naye akawatambua kwa kuwatimiliza neno walilo liomba . Tumekuwa watu tuliokosa matokeo sababu tunaishi nje ya mapenzi ya Bwana wetu kristo au htutaki kumsikiliza ,kumtii na kumfuata arafu tunataka atupe matokeo. Daudi kwenye zaburi anasema kwa kuwa umenipenda [14]Kwa kuwa amekaza kunipenda *Nitamwokoa; na kumweka palipo juu, Kwa kuwa amenijua Jina langu* Kumbe ujapata kuwa juu sababu tu ujampenda bwana au ujalijua jina lake . Watu wengi wanamfamu Mungu wakati wa kutoa mapepo lakini hawamfahamu Mungu wakati wa kilimo au biashara zao na kwa kuwa hujamjua Mungu ktika kilimo basi na yeye anakupa nguvu au mafuta katika kuomba lakini katika kukuweka juu anakuacha kwa kuwa pia kuna kanuni zake pia. Asubui njema na baraka tele katika ijumaa ya leo . Tusiache kujifunza jambo jipya katika maisha kwa majina na itwa mwl Sylvester Mwakabende kutoka (build new eden ministry) Kwa mafundisho zaidi karibu tujifunze kupitia watsap group kwa kujiunga na link hii hapa chini . #build new eden #restore men position @
    0 Reacties ·0 aandelen ·314 Views
  • What is Revival?Revival is bringing new life to a person’s spirit through God’s power. It’s like waking up something that’s been asleep. Revival brings blessings, grace, and positive changes through the Holy Spirit. It starts with one person and then spreads to others

    .Example of King Josiah (2 Kings 22)
    Josiah became king after his father, Ahaziah, who did not please God. When Josiah found the Book of the Law (God’s Word), he read it and saw the mistakes of his ancestors. He decided to make changes:He asked God what to do (2 Kings 22:13).

    He gathered the leaders of Judah and shared God’s Word with them.He made a promise to God:To follow God.To obey His commands.

    To keep His teachings with all his heart.After Josiah made this promise, the people of Judah followed his example. He destroyed idols of false gods and removed priests who worshiped them. This brought true revival to his nation.Joshua’s Revival (Joshua 24:15-16)

    Joshua gave the Israelites a choice:

    serve God or false gods. He said, “My family and I will serve the Lord.” His decision inspired others to follow God.Revival Starts with You
    Revival isn’t for everyone at once. It begins with one person who decides to follow God fully. Like Josiah and Joshua, you need to:

    Let go of old ways that go against God.Make a promise to follow God.Be an example for others.

    Challenge
    Ask yourself: Have I decided to follow God like Josiah and Joshua? Or do I still have doubts? True revival starts when you choose to change and follow God.Learn More
    If you want to study God’s Word more,
    join this WhatsApp group:
    https://chat.whatsapp.com/IxkPEsnxi02ExNGrlmbWR

    Sylvester Mwakabende from Build New Eden.
    #BuildNewEden
    #RestoreMenPosition
    What is Revival?Revival is bringing new life to a person’s spirit through God’s power. It’s like waking up something that’s been asleep. Revival brings blessings, grace, and positive changes through the Holy Spirit. It starts with one person and then spreads to others .Example of King Josiah (2 Kings 22) Josiah became king after his father, Ahaziah, who did not please God. When Josiah found the Book of the Law (God’s Word), he read it and saw the mistakes of his ancestors. He decided to make changes:He asked God what to do (2 Kings 22:13). He gathered the leaders of Judah and shared God’s Word with them.He made a promise to God:To follow God.To obey His commands. To keep His teachings with all his heart.After Josiah made this promise, the people of Judah followed his example. He destroyed idols of false gods and removed priests who worshiped them. This brought true revival to his nation.Joshua’s Revival (Joshua 24:15-16) Joshua gave the Israelites a choice: serve God or false gods. He said, “My family and I will serve the Lord.” His decision inspired others to follow God.Revival Starts with You Revival isn’t for everyone at once. It begins with one person who decides to follow God fully. Like Josiah and Joshua, you need to: Let go of old ways that go against God.Make a promise to follow God.Be an example for others. Challenge Ask yourself: Have I decided to follow God like Josiah and Joshua? Or do I still have doubts? True revival starts when you choose to change and follow God.Learn More If you want to study God’s Word more, join this WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/IxkPEsnxi02ExNGrlmbWR Sylvester Mwakabende from Build New Eden. #BuildNewEden #RestoreMenPosition
    0 Reacties ·0 aandelen ·381 Views
  • UAMSHO.
    Maana ni kurudi kwenye uzima.
    Ni mminiko wa nguvu na uwepo wa Mungu ndani ya mtu uletao kibali ,neema na baraka.

    Uamsho ni uziilisho wa roho mtakatifu ndani ya mtu na kuleta matokeo chanya.

    Kwa kawaida tunaamsha kitu kilicho lala ,ko lengo la somo hili ni kurejesha uzimani nafsi ya mtu mmoja mmoja .

    Uamsho ni jambo linalo anza na mtu kisha matokeo ya uamsho ndiyo yanayo tukuta sote.

    Mfano mfalme Yosiah alilisi ufalme baada ya baba yake kufa na baba yake alikuwa mfalme Ahazia ambaye akufanya mema machoni pa Bwana.

    2 Wafalme 22:13
    [13]Enendeni, mkamwulize BWANA kwa ajili yangu, na kwa ajili ya watu hawa, na kwa ajili ya Yuda yote, katika habari za maneno ya kitabu hiki kilichoonekana; kwa kuwa hasira ya BWANA ni kubwa aliyotukasirikia, kwa sababu baba zetu hawakuyaangalia maneno ya kitabu hiki, kufanya kama hayo yote tuliyoandikiwa.

    Baada ya kuuliza sasa sikiliza jawabu alilo pewa .

    [16]BWANA asema hivi, Tazama, mimi nitaleta uovu juu ya mahali hapa, na juu yao wakaao hapa, naam, maneno yote ya kitabu alichokisoma mfalme wa Yuda;

    [17]kwa sababu wameniacha mimi, wameifukizia uvumba miungu mingine, ili wapate kunikasirisha kwa kazi yote ya mikono yao; kwa hiyo hasira yangu itawaka juu ya mahali hapa, isizimike

    Kumbe kuna mambo unayapatia sababu tu walio kutangulia waliyafanya ndio maana tunahitqji uamsho.

    muda wa uamsho ndani ya nyumba ya baba yake na taifa lote ulifika .

    Kilicho fanya yuda uqmsho uje ni baada ya kusikia habari za kitabu cha torati ambalo leo hii ndio neno la Mungu.

    2wafalme 22:18-20.

    Ukisoma hapo utaona alivho kifanya baada ya kusikia habari za kitabu aliamua kukusanya wafalme wa yuda wote kwa ajiri ya kuwaambia .

    Na alipo wakusanya kwa kuwa uamsho ni wa mtu akafanya agano lake na Mungu.

    Yeye aliazimia mambo kazaa moja

    1.nikumfuata Bwana
    2.kuyashika maagizo yote.
    3.kuzifuata shuhuda zake .
    4.kuzifuata na kutii amri zake .
    5.navyote hivi atavifanya kwa moyo wote na kwa roho yake yote.

    Baada ya mfalme Yosiah kufanya agano na Mungu wake matokeoa yake wengine wote wakalifuata lile agano .

    Uamsho ndivyo unavyo fanyika ni lazima wewe ulie amua kuwa mfuasi wa kristo uweke agano na Mungu ndipo matokeo yake wengine watakuja ndani ya agano lako.

    Na ndio wanavyo fanya wote waacha alama katika dunia.

    Sababu ya uchovu wa imani makanisa tunazani uamsho ni wa kila mtu na kuhimizana mara utasikia ibada ya uamsho no wafundishe watu wamjue roho mtakatifu lazima watakuwa wameamka.

    Nakukumbusha kuwa huyu mtu yeye alikuwa mwema na aliahidiwa kustarehe na kuishi maisha ya amani mpaka anakufa .

    Ukiendelea kusoma utaona jama alivunja sanamu zote ,ambazo baba zake waliweka kuziabudu alivunja,akawatoa makuhani wote waliowekwa, akawatoa makuhani wote ,mahanithi wote wanawake wafuma mapazia.

    Kama watu tunataka kuwa chanzo cha uamsho lazima lazima ukubali kuacha asili yako na kama yosiah alivyo acha na kumfuatq bwana.

    Kuna mtu mwingine pia anaitwa Yoshua pia alipo taka kurudisha kanisa maala pake aliwapa chaguo lakini yeye alikuwa na azimio lake ndani ya moyo wake.

    Yoshua 24:15-16
    [15]Nanyi kama mkiona ni vibaya kumtumikia BWANA, chagueni hivi leo mtakayemtumikia; kwamba ni miungu ile ambayo baba zenu waliitumikia ng’ambo ya Mto, au kwamba ni miungu ya wale Waamori ambao mnakaa katika nchi yao; lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia BWANA.
    .
    [16]Hao watu wakajibu wakasema, Hasha! Tusimwache BWANA, ili kuitumikia miungu mingine;

    Islaeri walipo anza kufuata miungu mingine alilazimika kuonyesha njia na njia hiyo ni kuwapa watu chaguo huku yeye akifanya agano na Mungu.

    Mchungaji kabla ujawaza kuhusu uamsho jiulize wewe je umeazimia kumfuata bwana kama shujaaa wako au na wewe una mashaka.

    Kama unapenda kujifunza zaidi neno karibu katika group la watsap.
    https://chat.whatsapp.com/IxkPEsnxi02ExNGrlmbWR4

    Ok naitwa Sylvester Mwakabende kutoka (Build new eden)

    #build new eden
    #restore men position
    UAMSHO. Maana ni kurudi kwenye uzima. Ni mminiko wa nguvu na uwepo wa Mungu ndani ya mtu uletao kibali ,neema na baraka. Uamsho ni uziilisho wa roho mtakatifu ndani ya mtu na kuleta matokeo chanya. Kwa kawaida tunaamsha kitu kilicho lala ,ko lengo la somo hili ni kurejesha uzimani nafsi ya mtu mmoja mmoja . Uamsho ni jambo linalo anza na mtu kisha matokeo ya uamsho ndiyo yanayo tukuta sote. Mfano mfalme Yosiah alilisi ufalme baada ya baba yake kufa na baba yake alikuwa mfalme Ahazia ambaye akufanya mema machoni pa Bwana. 2 Wafalme 22:13 [13]Enendeni, mkamwulize BWANA kwa ajili yangu, na kwa ajili ya watu hawa, na kwa ajili ya Yuda yote, katika habari za maneno ya kitabu hiki kilichoonekana; kwa kuwa hasira ya BWANA ni kubwa aliyotukasirikia, kwa sababu baba zetu hawakuyaangalia maneno ya kitabu hiki, kufanya kama hayo yote tuliyoandikiwa. Baada ya kuuliza sasa sikiliza jawabu alilo pewa . [16]BWANA asema hivi, Tazama, mimi nitaleta uovu juu ya mahali hapa, na juu yao wakaao hapa, naam, maneno yote ya kitabu alichokisoma mfalme wa Yuda; [17]kwa sababu wameniacha mimi, wameifukizia uvumba miungu mingine, ili wapate kunikasirisha kwa kazi yote ya mikono yao; kwa hiyo hasira yangu itawaka juu ya mahali hapa, isizimike Kumbe kuna mambo unayapatia sababu tu walio kutangulia waliyafanya ndio maana tunahitqji uamsho. muda wa uamsho ndani ya nyumba ya baba yake na taifa lote ulifika . Kilicho fanya yuda uqmsho uje ni baada ya kusikia habari za kitabu cha torati ambalo leo hii ndio neno la Mungu. 2wafalme 22:18-20. Ukisoma hapo utaona alivho kifanya baada ya kusikia habari za kitabu aliamua kukusanya wafalme wa yuda wote kwa ajiri ya kuwaambia . Na alipo wakusanya kwa kuwa uamsho ni wa mtu akafanya agano lake na Mungu. Yeye aliazimia mambo kazaa moja 1.nikumfuata Bwana 2.kuyashika maagizo yote. 3.kuzifuata shuhuda zake . 4.kuzifuata na kutii amri zake . 5.navyote hivi atavifanya kwa moyo wote na kwa roho yake yote. Baada ya mfalme Yosiah kufanya agano na Mungu wake matokeoa yake wengine wote wakalifuata lile agano . Uamsho ndivyo unavyo fanyika ni lazima wewe ulie amua kuwa mfuasi wa kristo uweke agano na Mungu ndipo matokeo yake wengine watakuja ndani ya agano lako. Na ndio wanavyo fanya wote waacha alama katika dunia. Sababu ya uchovu wa imani makanisa tunazani uamsho ni wa kila mtu na kuhimizana mara utasikia ibada ya uamsho no wafundishe watu wamjue roho mtakatifu lazima watakuwa wameamka. Nakukumbusha kuwa huyu mtu yeye alikuwa mwema na aliahidiwa kustarehe na kuishi maisha ya amani mpaka anakufa . Ukiendelea kusoma utaona jama alivunja sanamu zote ,ambazo baba zake waliweka kuziabudu alivunja,akawatoa makuhani wote waliowekwa, akawatoa makuhani wote ,mahanithi wote wanawake wafuma mapazia. Kama watu tunataka kuwa chanzo cha uamsho lazima lazima ukubali kuacha asili yako na kama yosiah alivyo acha na kumfuatq bwana. Kuna mtu mwingine pia anaitwa Yoshua pia alipo taka kurudisha kanisa maala pake aliwapa chaguo lakini yeye alikuwa na azimio lake ndani ya moyo wake. Yoshua 24:15-16 [15]Nanyi kama mkiona ni vibaya kumtumikia BWANA, chagueni hivi leo mtakayemtumikia; kwamba ni miungu ile ambayo baba zenu waliitumikia ng’ambo ya Mto, au kwamba ni miungu ya wale Waamori ambao mnakaa katika nchi yao; lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia BWANA. . [16]Hao watu wakajibu wakasema, Hasha! Tusimwache BWANA, ili kuitumikia miungu mingine; Islaeri walipo anza kufuata miungu mingine alilazimika kuonyesha njia na njia hiyo ni kuwapa watu chaguo huku yeye akifanya agano na Mungu. Mchungaji kabla ujawaza kuhusu uamsho jiulize wewe je umeazimia kumfuata bwana kama shujaaa wako au na wewe una mashaka. Kama unapenda kujifunza zaidi neno karibu katika group la watsap. https://chat.whatsapp.com/IxkPEsnxi02ExNGrlmbWR4 Ok naitwa Sylvester Mwakabende kutoka (Build new eden) #build new eden #restore men position
    0 Reacties ·0 aandelen ·346 Views
  • ✍🏻 Jonathan Tah amemaliza vipimo na mda sio mrefu anaweza kutia saini FC Bayern
    ❤️🤍✍🏻 Jonathan Tah amemaliza vipimo na mda sio mrefu anaweza kutia saini FC Bayern 📍
    Wow
    1
    · 0 Reacties ·0 aandelen ·91 Views
Zoekresultaten