Upgrade to Pro

  • 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙

    Karibu Ujifunze vitu mbalimbali kama
    - Kutengeneza WhatsApp Bot kwa njia mbalimbali na nyepesi
    - Jifunze namna ya kupata Followers,likes, na comments kwa mitandao ya tiktok na instagram
    - Kutengeneza viruses
    - Kutengeneza international phone Numbers
    - Namna ya kuhack Social media zote
    - Wifi Hacking
    - Bluetooth hacking

    UTAPATA VITU KAMA
    1. Azam Max Pro
    2. Dstv Premium
    3. Startimes Premium

    Join WhatsApp channel
    https://whatsapp.com/channel/0029VacgCaPKmCPGmTmrnT04


    Telegram Channel
    https://t.me/duduu_mendez_store

    Kama telegram yako inasumbua fanya hivi https://whatsapp.com/channel/0029VacgCaPKmCPGmTmrnT04/153


    Namna ya kufungua link za telegram bila shida
    https://whatsapp.com/channel/0029VacgCaPKmCPGmTmrnT04/152


    once MENDEZ forever MENDEZ

    > 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V4.1
    ▶︎ ●────────── 0:41
    𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 Karibu Ujifunze vitu mbalimbali kama - Kutengeneza WhatsApp Bot kwa njia mbalimbali na nyepesi - Jifunze namna ya kupata Followers,likes, na comments kwa mitandao ya tiktok na instagram - Kutengeneza viruses - Kutengeneza international phone Numbers - Namna ya kuhack Social media zote - Wifi Hacking - Bluetooth hacking UTAPATA VITU KAMA 1. Azam Max Pro 2. Dstv Premium 3. Startimes Premium Join WhatsApp channel https://whatsapp.com/channel/0029VacgCaPKmCPGmTmrnT04 Telegram Channel https://t.me/duduu_mendez_store Kama telegram yako inasumbua fanya hivi https://whatsapp.com/channel/0029VacgCaPKmCPGmTmrnT04/153 Namna ya kufungua link za telegram bila shida https://whatsapp.com/channel/0029VacgCaPKmCPGmTmrnT04/152 once MENDEZ forever MENDEZ > 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V4.1 ▶︎ ●────────── 0:41
    WHATSAPP.COM
    DUDUU_MENDEZ TIPS | WhatsApp Channel
    DUDUU_MENDEZ TIPS WhatsApp Channel. Get full Internet and networking tips. 51 followers
    Like
    1
    ·494 Views
  • 🛜BLUETOOTH HACKING BLUE JACKING

    0kwanza angalia Bluetooth ya kwenye PC yako kama ipo UP ili uweze kufanya hili jambo na kama haipo UP basi fanya hivyo ili uweze kufanikisha hili swala, wengi tumezoea IPCONFIG au IFCONFIG kuangalia address zetu katika network basi ata kwenye bluetooth pia tunaangalia address.
    kama ulivyoona apo tunaangalia address yetu na bluetooth card name yetu kwa kutumia command ya HCICONFIG. ila imeonesha kuwa bluetooth ipo DOWN hivyo basi kufanya kua UP kuna muda utakutana na tatizo la kua ipo blocked na RFKILL ni swala dogo kwa kua utacheck list yake.....
    na ku unblock bluetooth na kuifanya kua UP kwa kutumia command fupi na ndogo na baada ya kuweka Bluetooth UP ndio uweze kuscan kujua ni Bluetooth gani ipo katika eneo hilo na kujua address na jina la bluetooth hiyo...
    baada ya kuweka Bluetooth UP basi utahitaji kuscan ilo eneo ulipo kupata Bluetooth ambazo zipo eneo hilo ili kupata majina na address zao na kuendelea zaidi kujua hizo Bluetooth zipo katika device ipi simu au device ipi hapa utaweza kutumia tools mbalimbali....
    unaweza ukatumia HCITOOL au BTSCANNER kujua vitu vyote hivyo na kisha kutimiza unayotaka, nimefunika baadhi ya sehemu kwa kua ni siri yangu sio vizuri kuzionesha kila mtu aone ila ukifanya uko na wewe utaona zako .

    baadaya kujua hivyo basi utaanza kuping iyo Bluetooth bila kuweka kipimo cha iyo ping yan we unaweka endless ping tena unafungua ata terminal tatu ni unaping tu mpk kieleweke kwa kutumia protocol ya L2PING ambapo utachagua na size ya frame yako .


    USIPENDE KUACHA BLUETOOTH YAKO ON UTAKUJA KUIBIWA VITU VYAKO KWENYE SIMU BILA KUJUA.
    🛜BLUETOOTH HACKING BLUE JACKING 0kwanza angalia Bluetooth ya kwenye PC yako kama ipo UP ili uweze kufanya hili jambo na kama haipo UP basi fanya hivyo ili uweze kufanikisha hili swala, wengi tumezoea IPCONFIG au IFCONFIG kuangalia address zetu katika network basi ata kwenye bluetooth pia tunaangalia address. kama ulivyoona apo tunaangalia address yetu na bluetooth card name yetu kwa kutumia command ya HCICONFIG. ila imeonesha kuwa bluetooth ipo DOWN hivyo basi kufanya kua UP kuna muda utakutana na tatizo la kua ipo blocked na RFKILL ni swala dogo kwa kua utacheck list yake..... na ku unblock bluetooth na kuifanya kua UP kwa kutumia command fupi na ndogo na baada ya kuweka Bluetooth UP ndio uweze kuscan kujua ni Bluetooth gani ipo katika eneo hilo na kujua address na jina la bluetooth hiyo... baada ya kuweka Bluetooth UP basi utahitaji kuscan ilo eneo ulipo kupata Bluetooth ambazo zipo eneo hilo ili kupata majina na address zao na kuendelea zaidi kujua hizo Bluetooth zipo katika device ipi simu au device ipi hapa utaweza kutumia tools mbalimbali.... unaweza ukatumia HCITOOL au BTSCANNER kujua vitu vyote hivyo na kisha kutimiza unayotaka, nimefunika baadhi ya sehemu kwa kua ni siri yangu sio vizuri kuzionesha kila mtu aone ila ukifanya uko na wewe utaona zako . baadaya kujua hivyo basi utaanza kuping iyo Bluetooth bila kuweka kipimo cha iyo ping yan we unaweka endless ping tena unafungua ata terminal tatu ni unaping tu mpk kieleweke kwa kutumia protocol ya L2PING ambapo utachagua na size ya frame yako . 🤫USIPENDE KUACHA BLUETOOTH YAKO ON UTAKUJA KUIBIWA VITU VYAKO KWENYE SIMU BILA KUJUA.
    Like
    2
    ·289 Views
  • Je simu yako intaneti Iko slow?
    Unahitaji kuongeza kasi? Simu kuwa slow kwenye
    intaneti ni jambo linalochukiza sana.

    Akuna mtu anayependa Unajikuta umenunua kifurushi
    chako Cha intaneti shida ukiwasha data

    • unatuma ujumbe Whatsapp inakataa
    • status hazifunguki
    • unatizama YouTube video ina ganda ganda
    • unafungua tovuti mbalimbali zinachelewa ina load
    sana.
    • unafungua Instagram kutizama picha au kupata
    update ya post mpya inachelewa.
    • unapakua kitu mtandaoni kina ganda nk

    Nini ufanye kuongeza kasi ya intaneti
    1️⃣ clear cache
    Ni kweli ku clear cache akuongezi nafasi kwenye
    internal storage ya simu yako lakini kunaongeza kasi
    ya intaneti. Kama upendelei kufanya clear cache kwa
    muda mrefu utasababisha simu kuwa slow pamoja
    na intaneti.

    2️⃣ close your app
    Kuna wakati intaneti inakua slow kwenye simu
    kutokana na baadhi ya app kutumika bila wewe kujua
    labda ulizifungua na ulipomaliza kutumia ukuzifunga
    zikawa zinatumika bila wewe kujua ivyo ni muhimu
    kuzifunga.

    3️⃣ Uninstall apps
    Kama Kuna app ambayo utumi kwenye simu yako
    basi iondoe au fanya ku disable maana kuna baadhi
    ya program zinakula sana bando ata kama utumi
    kwenye simu yako

    4️⃣ tumia browser/ app tofauti
    Sio kwamba utaongeza kasi tu ya intaneti pia
    itakusaidia kuondokana na matumiizi ya kutumia
    bando kubwa kwenye simu yako, kwani program za
    lite version zinatumia data ndogo kuliko zile original.

    Pendelea pia kutumia browser tofauti tofauti kama
    vile Opera mini, uc browser, Mozilla lite sio kutumia
    browser moja TU.

    5️⃣ reset network yako
    Kuwa na tabia ya kureseti network kila baada ya
    mwenzi utafanya simu yako kuwa na kasi kwenye
    upande wa intaneti Kuna mtu toka anunue simu
    hawajai ku reset network.

    ingia setting >> system>> reset option >> reset wifi,
    mobile & Bluetooth utaweka password au pattern
    yako Kisha itaji reset.

    Pia Ingia tena setting >> Mobile network>> chagua
    line yako kama tigo, Airtel, voda, halotel >>choose
    network >> ondoa automatically Restart simu yako.

    washikaji tujifunze
    Je simu yako intaneti Iko slow? Unahitaji kuongeza kasi? Simu kuwa slow kwenye intaneti ni jambo linalochukiza sana. Akuna mtu anayependa Unajikuta umenunua kifurushi chako Cha intaneti shida ukiwasha data • unatuma ujumbe Whatsapp inakataa • status hazifunguki • unatizama YouTube video ina ganda ganda • unafungua tovuti mbalimbali zinachelewa ina load sana. • unafungua Instagram kutizama picha au kupata update ya post mpya inachelewa. • unapakua kitu mtandaoni kina ganda nk Nini ufanye kuongeza kasi ya intaneti 1️⃣ clear cache Ni kweli ku clear cache akuongezi nafasi kwenye internal storage ya simu yako lakini kunaongeza kasi ya intaneti. Kama upendelei kufanya clear cache kwa muda mrefu utasababisha simu kuwa slow pamoja na intaneti. 2️⃣ close your app Kuna wakati intaneti inakua slow kwenye simu kutokana na baadhi ya app kutumika bila wewe kujua labda ulizifungua na ulipomaliza kutumia ukuzifunga zikawa zinatumika bila wewe kujua ivyo ni muhimu kuzifunga. 3️⃣ Uninstall apps Kama Kuna app ambayo utumi kwenye simu yako basi iondoe au fanya ku disable maana kuna baadhi ya program zinakula sana bando ata kama utumi kwenye simu yako 4️⃣ tumia browser/ app tofauti Sio kwamba utaongeza kasi tu ya intaneti pia itakusaidia kuondokana na matumiizi ya kutumia bando kubwa kwenye simu yako, kwani program za lite version zinatumia data ndogo kuliko zile original. Pendelea pia kutumia browser tofauti tofauti kama vile Opera mini, uc browser, Mozilla lite sio kutumia browser moja TU. 5️⃣ reset network yako Kuwa na tabia ya kureseti network kila baada ya mwenzi utafanya simu yako kuwa na kasi kwenye upande wa intaneti Kuna mtu toka anunue simu hawajai ku reset network. ingia setting >> system>> reset option >> reset wifi, mobile & Bluetooth utaweka password au pattern yako Kisha itaji reset. Pia Ingia tena setting >> Mobile network>> chagua line yako kama tigo, Airtel, voda, halotel >>choose network >> ondoa automatically Restart simu yako. washikaji tujifunze 😇😇😇
    ·265 Views
  • Mgonjwa wa Kwanza wa Neuralink Aeleza Uzoefu Wake

    🎙Katika mahojiano, mgonjwa wa kwanza aliyewekewa kipandikizi cha Neuralink ameeleza uzoefu wake. Mgonjwa huyu, ambaye ni kiwete kutoka shingo kushuka chini, sasa anaweza kudhibiti vifaa kwa nguvu ya mawazo yake. Wakati wa kuwekewa kipandikizi kwa mara ya kwanza, kilitoka kwa sababu wanasayansi hawakuzingatia harakati za ubongo ndani ya kipenyo cha milimita moja, na ilibidi wafanye upasuaji tena.

    Sasa, mgonjwa huyu anaweza kuvinjari TikTok, kuwasiliana kupitia Twitter, kufanya manunuzi mtandaoni, na kucheza michezo ya kompyuta kwa kuunganisha kipandikizi kwenye kompyuta kupitia Bluetooth na programu maalum. Amebainisha kuwa kipandikizi hicho hakileti maumivu wala hali ya kutojisikia vizuri.

    #Hora_Tech
    #Neuralink #mahojiano #Bluetooth
    🧠 Mgonjwa wa Kwanza wa Neuralink Aeleza Uzoefu Wake 🌐 🎙Katika mahojiano, mgonjwa wa kwanza aliyewekewa kipandikizi cha Neuralink ameeleza uzoefu wake. Mgonjwa huyu, ambaye ni kiwete kutoka shingo kushuka chini, sasa anaweza kudhibiti vifaa kwa nguvu ya mawazo yake. Wakati wa kuwekewa kipandikizi kwa mara ya kwanza, kilitoka kwa sababu wanasayansi hawakuzingatia harakati za ubongo ndani ya kipenyo cha milimita moja, na ilibidi wafanye upasuaji tena. 🥸 Sasa, mgonjwa huyu anaweza kuvinjari TikTok, kuwasiliana kupitia Twitter, kufanya manunuzi mtandaoni, na kucheza michezo ya kompyuta kwa kuunganisha kipandikizi kwenye kompyuta kupitia Bluetooth na programu maalum. Amebainisha kuwa kipandikizi hicho hakileti maumivu wala hali ya kutojisikia vizuri. ➤ #Hora_Tech #Neuralink #mahojiano #Bluetooth
    Like
    Love
    2
    ·839 Views
  • ⛳️ Sasisho la Kipengele Kipya cha
    WhatsApp: Uhamisho wa Faili Kupitia Bluetooth!

    ➤ Habari njema! WhatsApp inafanya kazi kwenye kipengele kipya kitakachorahisisha maisha yako: Uhamishaji wa Faili Kupitia Bluetooth!

    Jinsi Inavyofanya Kazi:

    ➤ Hakuna haja ya intaneti: Tumia Bluetooth kuhamisha faili kati ya akaunti za WhatsApp mbili tofauti.
    Haraka na salama: Faili zako zitahamishiwa kwa sekunde chache na kwa usalama.

    🖱Kipengele hiki bado kinaendelezwa, lakini kitapatikana hivi karibuni kwenye toleo jipya la WhatsApp.

    Stay home & follow for more! @Hora_Tech
    #WhatsApp #Bluetooth #UhamishajiFaili #Teknolojia #Habari #Hora_Tech
    ⛳️ Sasisho la Kipengele Kipya cha WhatsApp: Uhamisho wa Faili Kupitia Bluetooth! ➤ Habari njema! 🪀WhatsApp🪀 inafanya kazi kwenye kipengele kipya kitakachorahisisha maisha yako: Uhamishaji wa Faili Kupitia Bluetooth! Jinsi Inavyofanya Kazi: ➤ Hakuna haja ya intaneti: Tumia 🔋Bluetooth kuhamisha faili kati ya akaunti za WhatsApp mbili tofauti. Haraka na salama: 🎥Faili zako zitahamishiwa kwa sekunde chache na kwa usalama. 🖱Kipengele hiki bado kinaendelezwa, lakini kitapatikana hivi karibuni kwenye toleo jipya la WhatsApp. ©️Stay home & follow for more! @Hora_Tech #WhatsApp #Bluetooth #UhamishajiFaili #Teknolojia #Habari #Hora_Tech
    Like
    Love
    2
    ·538 Views