1 Yohana 3:1-3
[1]Tazameni, ni pendo la namna gani alilotupa Baba, kwamba tuitwe wana wa Mungu; na ndivyo tulivyo. Kwa sababu hii ulimwengu haututambui, kwa kuwa haukumtambua yeye.
.
[2]Wapenzi, sasa tu wana wa Mungu, wala haijadhihirika bado tutakavyokuwa; lakini twajua ya kuwa atakapodhihirishwa, tutafanana naye; kwa maana tutamwona kama alivyo.
[3]Na kila mwenye matumaini haya katika yeye hujitakasa, kama yeye alivyo mtakatifu.
Huu ni upendo wa Kristo kuwa mtu akimwamini anamfanya kuwa mwana na anakuwa sehemu ya urithi.
Kwani kwa kawaida mwana ndiye anayerithi sehemu ya badaye.na Mungu anatufanya kuwa wana kwa kupitia Yesu Kristo.
Na kama ukiwa mwana maana yake upaswi kuwa wakawaida ,wewe ni mbarikiwa na mrithi wa baraka zote alizopewa Abraham baba yetu katika imani.
Yohana 1:12-13
[12]Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake;
[13]waliozaliwa, si kwa damu, wala si kwa mapenzi ya mwili, wala si kwa mapenzi ya mtu, bali kwa Mungu.
Naendelea kukuonyesha kuwa wewe ni mtoto wa Mungu toka siku ulipo okoka na kama ni hivyo ardhi lazima ikutii kama ilivyo mtii yakobo, biashara lazima ikutii kwani wewe ndiye kichwa siyo mkia.
Changamoto kubwa watu wa Mungu imani zetu juu ya Mungu ndogo sana tunaamini sana katika maarifa yetu na jitihada zetu pekee.
Yohana 20:17
[17]Yesu akamwambia. Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.
Lakini ukijua siri hii utajua kuwa toka ulipo fanyika kuwa mwana kuna uwezo uliupata wa kubarikiwa kupita hesabu ya kawaida.
Natamani ujue siri hii kuwa toka ulipo okoka wewe so mtumwa tena bali wewe ni mmliki kwa kuwa umepata uwezo wa kuwa mwana.
Yohana 16:4
[4]Lakini nimewaambia hayo, ili makusudi saa ile itakapokuja myakumbuke ya kuwa mimi naliwaambia.
Utakapo onyeshwa kwenye kioo maisha yako uliyo paswa kuishi baada ya kufanyika kuwa mwana na ukifananisha na maisha ya mateso uliyo yaishi kwa kukosa ufunuo .
Nikutakie jumapili njema sana na Mungu kufunue ujue majukumu(haki) ya mwana kwa baba yake.
Ok naitwa sylvester Mwakabende Kutoka (build new eden)
#Restoremenposition
#Buildneweden

0 Yorumlar
·0 hisse senetleri
·42 Views